Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bado aliocheza nao wanamtetea. Hii inamaanisha Ole bado yupo.

At the mean time acha tuone maajabu
Inauma sana kuangali mpira wa Man U,

Ndio mana mimi nilishaachaga kabisa kuangalia waka kujipa presha na hii timu.

Ni uozo mtupu, shenzi zao hawa. Ole na vivulana vyake michoso kweli yani.
 
No Mkuu, unaongea ishu ya kufikirika ndio maana nimeshangaa

Hivi shabiki wa Man Utd naye akitaja wachezaji ambao walihitajika summer si itakuwa tunaongelea mambo ambayo hayapo

Au niseme na Pochetino/Julian angekuwa kocha wetu msingetufunga/tungewafunga haitaleta sense
Nashindwa niandikaje ili unielewe.

Ila ngoja nijaribu.

Arsenal haijamsajili Ozil wala Aouar ambao ni viungo washambualiaji. Na huku haina kiungo mshambuliaji hata mmoja katika kikosi na hakuna mbadala.

Man ilimtaka Sancho, RW, lakini Rashford ni RW, Daniel ni RW. Na pia ikamsajili Pellistri.

Ikamtaka Reguilon, ikamkosa, ikamsajili Telles.

Ikamtaka Bale, ikamkosa, ikamsajili Traore.

Ikamtaka Thiago, ikamkosa, lakini akaja De Beek huku wakiwepo Pogba na Fernandes na CDMs wakina Fred.

Kocha? Hapa sasa sikujua kama mlitaka kubadili kocha pia.

So point yangu ilikua hiyo.

Arsenal ilikosa watu na haina mbadala na ikasecure ushindi.
 
Fuatilia comments zangu zote uone msimamo wangu juu ya Lindelof na Maguire.

Lindelof huwa anaficha makosa mengi sana ya huyo mbuzi ila bahati mbaya yeye ndiyo hutupiwa mzigo.
Chief mkwawa na member mwingine simkumbuki ndiye ilikua tunawekana sawa juu ya uwezo wa lindelof. Figured man u nzima mna imani na harry kuliko lindelof
 
Fuatilia comments zangu zote ujue msimamo wangu juu ya Lindelof
 
Mimi ni mmoja wapo ninayemkubali Maguire kuliko Lindelof

Maguire shida yake kubwa ni pace, lakini makosa mengine aliyofanya msimu huu ni kutokana na majanga aliyokumbana nayo Ugiriki, kwanza kisaikojia na pili hakupata muda mrefu wa ku train (hakuwa match fit). Ukitaka kum judge Maguire vizuri ni yule aliyekuwa Leicester na msimu wa kwanza pale Man Utd

Maguire ana ku offer interception, blocking, leadership, moving ball from back kwenda mbele, magoli, vichwa kuokoa n.k.

Lindelof ni Maguire asiweza kupiga vichwa, aliyekosa uongozi na asiyeleta hatari kwenye goli la wapinzani
Chief mkwawa na member mwingine simkumbuki ndiye ilikua tunawekana sawa juu ya uwezo wa lindelof. Figured man u nzima mna imani na harry kuliko lindelof
 
Chief mkwawa na member mwingine simkumbuki ndiye ilikua tunawekana sawa juu ya uwezo wa lindelof. Figured man u nzima mna imani na harry kuliko lindelof
kwa pesa aliyonunuliwa ndio maana watu wanaamini hatokuwa mbovu ila huyu jamaa ndio mbovu hasa pale nyuma...Lindelof anakuwaga mbuzi wa kafara tu.
 
Mimi ni mmoja wapo ninayemkubali Maguire kuliko Lindelof

Maguire shida yake kubwa ni pace, lakini makosa mengine aliyofanya msimu huu ni kutokana na majanga aliyokumbana nayo Ugiriki, kwanza kisaikojia na pili hakupata muda mrefu wa ku train (hakuwa match fit). Ukitaka kum judge Maguire vizuri ni yule aliyekuwa Leicester na msimu wa kwanza pale Man Utd

Maguire ana ku offer interception, blocking, leadership, moving ball from back kwenda mbele, magoli, vichwa kuokoa n.k.

Lindelof ni Maguire asiweza kupiga vichwa, aliyekosa uongozi na asiyeleta hatari kwenye goli la wapinzani
Ni kweli hana pace. Lakini pia ana poor marking na poor decision.

Ikatokea kuna CB wanne, Axel, Victor, Baily na Harry na ninatakiwa kuchagua wa kuingia kikosini kwenye mechi hiyo mechi nitachezesha mabeki 3 na Maguire atakaa nje.
 
Kila nikiangalia mchezaji mmoja mmoja wa timu yetu na nikilinganisha matokeo yetu nahisi kama nipo ndotoni aisee...Ole anakwama wapi hivi jamani?
Mpira haujawai kuchezwa na mchezaji mmoja mmoja
Ni team work
Haupo ndotoni ila una ujinga umekutawala
 
Sawa

Mimi kwangu Maguire na Tuanzebe ndio first choices

Bailly tatizo sometime anatumia nguvu nyingi kuliko akili

Kwa mechi ya jana wote wamezingua especially Maguire kwenye goli la kwanza, yeye ndio center half halafu captain, lakini angalia jinsi walivyojipanga mpaka Demba ba akabaki peke yake akafunga kiulaini

Hata hivyo United kuna tatizo kubwa kuliko kuangalia mchezaji mmoja mmoja
Ni kweli hana pace. Lakini pia ana poor marking na poor decision.

Ikatokea kuna CB wanne, Axel, Victor, Baily na Harry na ninatakiwa kuchagua wa kuingia kikosini kwenye mechi hiyo mechi nitachezesha mabeki 3 na Maguire atakaa nje.
 
Mpira haujawai kuchezwa na mchezaji mmoja mmoja
Ni team work
Haupo ndotoni ila una ujinga umekutawala
Mkuu ulikosa namna yakunikosoa mpk ukaamua kunipa cheo cha ujinga? Najua matokeo hayaletwi na mchezaji mmoja lakini kwetu tuna wachezaji bora kwakuwaangalia mmoja, sasa kocha anashindwa wapi kuwaunganisha hawa watu walete matokeo chanya?
 
Sawa

Mimi kwangu Maguire na Tuanzebe ndio first choices

Bailly tatizo sometime anatumia nguvu nyingi kuliko akili

Kwa mechi ya jana wote wamezingua especially Maguire kwenye goli la kwanza, yeye ndio center half halafu captain, lakini angalia jinsi walivyojipanga mpaka Demba ba akabaki peke yake akafunga kiulaini

Hata hivyo United kuna tatizo kubwa kuliko kuangalia mchezaji mmoja mmoja
Ukiniuliza mimi mi naona tatizo ni morali ya timu na kocha. Kwa wachezaji wa man u ingekua na kocha kama Ferguson au Wenger ukikutana na Palace we ni unaenda kuangalia mnashinda ngapi.

Halafu Van Gaal na Mourinho mkashindwa kuwavumilia. Wazee mna hatari.
 
Mkuu ulikosa namna yakunikosoa mpk ukaamua kunipa cheo cha ujinga? Najua matokeo hayaletwi na mchezaji mmoja lakini kwetu tuna wachezaji bora kwakuwaangalia mmoja, sasa kocha anashindwa wapi kuwaunganisha hawa watu walete matokeo chanya?
Unafikiri Sosha hataki kuwaunganisha hao wachezaji??
Mfupa (timu) iliyomshinda fisi (mourinho) nani ataweza??

Wachezaji wenyewe hao hawaunganishiki,

Hivi ukiambiwa Fred ni Brazilian utakubali?? Na nyie ndio mchezaji wenu tegemezi

Pole sana kwa kukupa cheo hicho mkuu
 
Ed wardwood amemkubali
Sir. Alex Ferguson amemkubali
Familia ya glazer imemkubali

Ila kuna fisi maji mmoja wa pale manzese anakuambia Sosha atimuliwe

Chuma ole mitano tena,
Weka chochote kinachoonyesha babu amemkubali
 
Unafikiri Sosha hataki kuwaunganisha hao wachezaji??
Mfupa (timu) iliyomshinda fisi (mourinho) nani ataweza??

Wachezaji wenyewe hao hawaunganishiki,

Hivi ukiambiwa Fred ni Brazilian utakubali?? Na nyie ndio mchezaji wenu tegemezi

Pole sana kwa kukupa cheo hicho mkuu
Kwa maneno yako haya una maanisha kocha na wachezaji wake wote wabovu?
 
Mkuu Van Gaal na Jose muda wao katika ubora wao ulishapita, lakini pengine huyu aliyopo, Jose ana afadhali

Lakini kwa sasa hatuhitaji afadhali, tunahitaji kocha mzuri

Kwangu niliondoa imani kwa Ole tangu msimu uliopita, baada ya kupigwa na Burnley

Back
Top Bottom