So mpira umedunda!!?Leo man u asiposhinda kayataka mwenyewe. Game ya leo hata kama kocha hana mbinu wachezaji wanaweza kufosi na kulazimisha matokeo.
So sioni cha kujadili. Game man u anashinda ni swala la ngapi na jinsi gani atasecure ushindi.
Akifungwa itakua ni mambo ya Shakhtar na Real, Alaves na Barca na Locomotiv Moscow na Atletico.
Acha tuone kama mpira utadunda.
Dah yaani acha tu kweli manure ni hovyo kabisaAma kweli anayekuchania mkeka huwezi kumjua
Hahaha betslips zimeyayuka yayuDah yaani acha tu kweli manure ni hovyo kabisa
manure ni mwezi mchangaHahaha betslips zimeyayuka yayu
Arsenal kaifunga man u huku hana attacking midfielder. Ozil yupo nje Houssem hakusajiliwa.Halafu hapo Arsenal kamfunga Man Utd anajisifu [emoji3]
Ole plan A yake inapofeli hajawahi kuwa na plan B yenye mafanikio
Hii game ya leo tungecheza mipira ya krosi mingi au ya juu kuangukia kwenye box ya adui tungepata magoli
By the way timu ilikuwa ina urgency gani kiasi cha kwamba tumeanza game mpaka mabeki wote wanakwenda kushambulia na tunamuacha Demba ba peke yake [emoji44]
Bora hata timu apewe Kaze [emoji3], Ole atupishe tu
We gave everything but it wasn't meant to be. We'll bounce back even stronger.💪
Next stop #Istanbul.
Unafikir Istanbul ni mteremko?
Subiri uone
Kule watashinda kwan bado wanajua man u ni timu kubwa kumbe hola
Mkuu curie pamoja na Mason Greenwood unapoambiwa kitu usiwe m-bishi hata siku moja. Tulia usubiri muda uwe hakimu.Wale Instabul pia wanafatilia game za united, confidence wanayo ya kutosha mana wanajua watacheza na Cardif City yenye hela.
Unataka kusema nini sasa?
Wewe unaotaIstanbul Basaksehir ni kama kachokoza nyuki halafu bado kabaki eneo la tukio.
With 45 minutes to play, kuongoza 2 - 1 kwa timu yenye sub zake 3 mkononi na nje wakiwepo Pogba, Cavani ni bora waukimbie uwanja wao mapema. [emoji23]
But this is a lesson to Ole, mambo ya playtime tunafanyaga tukishafuzu.
Watu mnapenda mpira wa JF...Leo man u asiposhinda kayataka mwenyewe. Game ya leo hata kama kocha hana mbinu wachezaji wanaweza kufosi na kulazimisha matokeo.
Mwenye msiba wako umekujaWatu mnapenda mpira wa JF...
Daah, ila huyu Maguire sijawahi kumkubali kabisaDefence ya Ole Gunner.View attachment 1619671
Wew umesema man u lazima ipate ushindi leo, Mimi sina msiba..Kiazi ni Ole.Mwenye msiba wako umekuja
Kwa sasa hasimu wako hawez kuwa Liverpool kwa kiwango chako hasimu wako n Leeds Aston villa na wengineo wa caliber hiyoHuyu ole mpaka nahisi Labda ni (TISS) kapenyezwa na mahasimu wetu Liverpool aje kutuhujumu
Hiki kikosi lazima tufungwe tena kwa aibu.
Ningesemaje sasa na ukiangalia mchezaji mmoja mmoja man u yuko vizuri plus timu zote zilikua zimemkanyaga huyu Basaksehir ilikua ni man kwenda kutia mhuri tu.Wew umesema man u lazima ipate ushindi leo, Mimi sina msiba..Kiazi ni Ole.