UCL returns to Old Trafford
Tuna kikosi kipana kwa sasa Ole asistick na watu walewale tu..awe pia anabadilisha approach tupate mchango wa wachezaji wengine..Mfano Fernandes anaweza kupumzishwa gemu ya leo In my Opinion(IMO) na akaanza mtu mwingine kwenye hiyo nafasi..Same applies to Rashford
My First XI vs RB Leipzig
DDG
Axel Maguire Lindelof Telles
Fred Matic Pogba
VdB
Cavani Martial
SUBS:Henderson,Shaw,AWB,Rashford,Mata,Fernandes,McTominay
Hatuko vibaya kwenye kikosi on paper guys,tuna timu nzuri..Kocha alete magic zake tu
Past?★Sun | Manchester United could have signed Dayot Upamecano five years ago, but offered (500K) under his valuation (700K).★
manutd | View attachment 1614557
Kbs matic game ya Kasi haiwez hawa watt wankmbia blaaaIla Maguire yaani Mungu tu anisamehe,simpendi huyu jamaa basi tu,Tuanzebe kaonesha sumtym sio kutumia hela nyiiiingi,sumtym ni akili za kocha tu kukijua kikosi chake.
Halaf kwa game ya PSG Martial hakua poa sana,anaweka akaingia sub,na mbele waanze Cavani na Greenwood/Rashford.
Kiungo sina shida,ingawa Mactominay angeanza badala ya Matic.
★
Past?
Kbs matic game ya Kasi haiwez hawa watt wankmbia blaaa
Confirmed ama umeokota huko ??Lindelof pia hayupo kwenye squad
Uliangalia mechi tuliyocheza na PSG? Unazungumziaje upambanaji wa tuanzebe siku hiyo?Kikosi sija kielewa kabisa, labda wataalam muni saidie.
Degea
Maguire Lindolof Tuanzebe
Fred
Telles Fernandez Van de bek A. Wan bissaka
Martial Rashfod.
Hapo sijaelewa kwa Tuanzebe.
Wale timu Van de bek leo mchizi wetu kaanza, kilio chetu kime sikilizwa.
Pogba watu wanamlaumu bure tu ,,, usitegemee kila weekend afunge au atoe assist,,, !!!! Anaweza asifunge au kuassist lakn akaweka/Jenga muunganiko mzuri wa timu hasa inaposhambulia ! pengine shida iko alinunuliwa kwa hela nyingi, fans wanademand Zaid ya uwezo wake !!!!Tatizo la kutokupangwa kwa VdB linatokana na ukweli kwamba wakati tukiomba kuwa na kikosi kipana hasa eneo la kati,tulimchukulia MATA,FRED na SCOTT kuwa ni wachezaji wa united lakini hadhi ya carabao na FA tu. Ole akaboresha kikosi kwa kumjumuisha mdachi VdB kwenye kikosi chake.
Bahati mbaya au nzuri tulikuwa tukimtegemea Matic kwenye upande wa kiungo mkabaji kabla na baada ya dirisha la corona na nafasi nyingine mbili zinabaki kwa ajili ya pogba na bruno. Ligi ilipoanza tumefungwa kirahisi sana na makosa yanaanzia kwenye kiungo kushindwa kuleta uwiano mzuri katika ushambuliaji na ukabaji (ole alikuwa anamuonea aibu pogba) ndipo Ole akakumbuka formula iliyofanya akaimbwa 'ole at the wheel' bila kujali mashabiki wanataka sura za aina gani kwenye kikosi chetu cha kwanza; kombo ya fred na mctomminay inawajibika vizuri sana (binafsi nilikuwa muumina wa huu muunganiko kwenye kubalansi timu),ndipo tunabakia na nafasi moja tu ya kiungo mshambuliaji ambapo tuna pogba,bruno na VdB. Suala ni nani aanze?
Nafasi pekee ya kuwaanzisha hawa jamaa walau 2 ndani ya game moja ni pale tutakapoua winga moja wapo (maaana hakuna watu asilia kule) lakini bahati mbaya nyingine ni kuwa mata ambaye ni proven kwenye epl hasa kipindi hiki ambapo ole hataki kupoteza mchezo ni kama amezaliwa upya anaichukua namba kirahisi sana.
Kwahiyo hatima ya uchezaji wa VdB iko mikononi mwa mata au huruma ya Ole baada ya kupigiwa makelele na mashabiki kuhusu huyu dogo.
N;b niliwahi kugusia kuwa pogba auzwe ili tufanye sajili zinazokidhi mahitaji mengi uwanjani kwa kuwa pogba hajawahi kuwa kwenye prime yake tangu aje united. Na hata leo bado naamini katika mawazo yangu hayo.
Kikosi rasmi huwa huwa kinatoka lisaa limoja kabla ya mechi...Hivi vingine huwa ni utabiri au mapendekezo ya site husika.Kikosi sija kielewa kabisa, labda wataalam muni saidie.
Degea
Maguire Lindolof Tuanzebe
Fred
Telles Fernandez Van de bek A. Wan bissaka
Martial Rashfod.
Hapo sijaelewa kwa Tuanzebe.
Wale timu Van de bek leo mchizi wetu kaanza, kilio chetu kime sikilizwa.