Unatazama mechi mpaka unasinzia.mnaogopana sana mpaka mechi inapoteza hamu ya kuangalia.
Yeah
Hili ndio lipundamilia originoPAUNDI MILLION 80View attachment 1610912
Libeki la million 80 ..linakunja watu ndita. Kqa sababu ni lingereza litaachwa kama lilivyo.
Baba Lampard kamwaga mapesa hapo. Lazima anune maana anaona hamna jambo.Timu imejaa uoga tu!
Mechi inaisha Ole anacheka ila Lampard kanuna.
Kwani Ole hajaweka mahela hapo uwanjani?Baba Lampard kamwaga mapesa hapo. Lazima anune maana anaona hamna jambo.