Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mkuu kwa mechi ya jana kama martial angelikuwepo basi naamini daniel james angelipelekwa upande wa kulia.
daniel james mechi za chelsea anacheza mara kwa mara na ndio game plan ya ole

FA CUP = chelsea 3 man utd 1
View attachment 1611362
===========

premier league
chelsea 0 man utd 2
View attachment 1611366

premier league
man utd 4 chelsea 0
aliingia kipindi cha pili
Ni kweli ila aliingia sub hii mechi, na James kucheza Kulia na akicheza Kushoto ni tofauti kabisa kimajukumu. Kushoto ndio upande wetu ambao magoli yanatoka wakati kulia kuna Bissaka ambaye hata akikaa na james wanakaba kaba tu kule hakuna expectation kubwa.

Angalia position map ya jana
i7f0friox4v51.jpg

Mata winga wetu wa kulia alikuwa anacheza kati kama Fernandez vile, chelsea walijaza wachezaji kibao kushoto kuharibu mipango yetu, kulia kwetu wakimuacha Chilwell akipita tu,

Kama Martial angekuwepo na kushoto kukawa na Mtu hata Kulia Angecheza james story ingekuwa nyengine kwa Hilo gape na Jinsi Chelsea walivyobet.

Ndio maana Mkuu unaona Tunapiga sana kelele hii issue ya winga wa Kulia, mimi naamini Hata Bissaka sio mbaya ushambuliaji kama watu wanavyoamini bali hana tu patner kule mbele, muda wote akipewa pasi Bissaka yeye ndio last man hana wa kumpasia, mata yupo katikati.
 
Vdb sio winga, tunarudi pale pale, james amecheza sababu Martial yupo suspended, Woodward angemleta Sancho wala usingemuona James pale.

Mechi ya jana Alivyoingia pogba na Cavani tulikuwa tumetawala mpira ila hatukuwa na threat yoyote kwenye goli, sababu Fernandez alipelekwa winga ya Kulia, Fernandez sio winga, Vdb pia sio winga, haitusaidii chochote hawa jamaa wakikaa pembeni,

Ila Alivyotoka Mc tominay na Kuingia Greenwood, Fernandez akarudi kati ghafla tukaanza tena kuwa Threat kwenye Goli lao, dk za mwisho tumewakosa Nafasi za kutosha tu.

Na wale Haters wa Martial nawakumbusha tu, Record zetu mbovu bila Martial zinaendelea.
Wacha kupotosha watu ww nani kakuambia kiungo mshambuliaji anacheza namba moja tu? Unaposema vdb co winga unamaanisha nini? Unataka winga mpk awe anamwaga mitungi c ndiyo? Kwa taarifa yako vdb anaweza kucheza wing ya kushoto hata kulia pia anaweza kucheza namba kumi hilo kwa anayejua mpira yyte yule lazima ajue hilo wacha mambo yako.

Kuhusu Martial km unampenda we mpende hakuna shida mana wengi tulikuwa tunampenda hvyo hvyo lkn mwishowe tukaona anazingua cz mpira unachezwa uwanjani kweupee wala co chumbani.
 
Sio lazima acheze kama winger per se..mimi mechi zote alizocheza VdB kama Sub amekuwa akikaa upande wa kushoto..

Na kama James anacheza kisa Martial ni mgonjwa na hakuna option nyingine basi huyu kocha wetu ana tatizo..ni bora angeanza Fred,McTominay,Pogba,Fernandes na Cavani +Rashford up top..

Na nikuulize VdB ili atleast acheze unadhani inabidi atafutiwe nafasi sehemu gani?
Hivi mkuu unafkiri mechi ya jana Tungeua winga ya Kushoto tungetoka? Nimeeka picha hapo juu position wise timu zilivyocheza, lampard alijaza watu wake kulia kwao ili kupambana na kushoto kwetu, kama umeangalia mechi utaona James wa chelsea alivyokuwa threat, Havertz muda wote alikuwa akikaa upande ule Ku mpressure shaw. Azpilicueta alikuwa ana Act kama beki wa Kulia etc.

Na vdb akiingia Either Fernandez anatoka ama Fernandez anahama namba, mfano mechi ya Newcastle alivyoingia VDB fernandez akacheza kama winga wa kushoto,

Kwa macho Ya ole Nafasi ya VDB ni kama Fernandez nyuma ya striker.

Kama jana umeangalia Silva anajua kutembea na Cavani, ila Rashford alikuwa mwiba kwao, unapokuwa na wachezaji wenye speed sio tu wanakusaidia kwenye ushambuliaji bali hata kuzuia wachezaji fulani wasipande, kati ya hizo midfield ulizosema zianze zingeweza kublock mashambulizi ya pembeni ya Azpi na james kwa pamoja? Tungekuwa na wachezaji wengi katikati na pembeni tungekuwa vulnerable.
 
Wacha kupotosha watu ww nani kakuambia kiungo mshambuliaji anacheza namba moja tu? Unaposema vdb co winga unamaanisha nini? Unataka winga mpk awe anamwaga mitungi c ndiyo? Kwa taarifa yako vdb anaweza kucheza wing ya kushoto hata kulia pia anaweza kucheza namba kumi hilo kwa anayejua mpira yyte yule lazima ajue hilo wacha mambo yako.

Kuhusu Martial km unampenda we mpende hakuna shida mana wengi tulikuwa tunampenda hvyo hvyo lkn mwishowe tukaona anazingua cz mpira unachezwa uwanjani kweupee wala co chumbani.
Nakumbuka pia comment yako kuwa utd haimuhitaji sancho wala winga wa kulia, bali striker. Mkuu unaishi kwenye dunia yako ya Kipekee kama unafiri VDB ni winga, hasa hasa pale Epl.

Sifa za VDB
-anajua kutoa pasi za mwisho
-anatoa pasi fupi fupi
-hakai na mpira
-magoli yake anafunga akiwa ndani ya box etc

Yupo weak kwenye pace na defensive contribution, VDB ni mata mrefu aliechangamka changamka,

Eka VDB kushoto na Mata kulia watoto watapita tu kwenye mbavu kila siku tutafungwa na mtakuja humu kumtukana Ole.

Na martial Ameprove time to time yeye ndio link ya Attack ya United, asipokuwepo timu inafanya Vibaya, msimu uliopita mwanzo alimiss mechi 6 tukawa tunahangaika tu kule mbele, alivyorudi na mambo yakawa mazuri.

Amecheza mechi zote kwenye winning streak yetu toka february mpaka kuisha msimu.
 
2015/16 Leicester City kila mtu alisema ni nguvu ya soda. Mpaka wanachukua ubingwa.

Msimu huu unaweza kuwa wa Everton.

Mashabiki ni mchezaji wa 12 uwanjani. Bila mashabiki, timu ndogo zinapata ujasiri wa kuzi-face team kubwa.

Jana watu wengi walimpa ushindi West Ham against Man City.
 
Mkuu naunga mkono hoja kuwa James hakupaswa kuanza, lakini kwa mtazamo wangu mtu sahihi wa kuanza alikuwa ni Mason

Nilichokiona Ole ameingia kwenye mechi kiuoga zaidi kwa kumuweka James badala ya more capable offensive player

Fred na Scott walitosha kubalance ulinzi, badala ya kumuongeza James ambaye ni mzuri kwenye ku track back opponent lakini going Foward hana msaada mkubwa

VDB pia ni option nzuri japo mimi nilipenda zaidi aanze Greenwood kwenye Right Attacking Flank
Thus why watu huwa wanasema kocha wetu ni "substandard"..week moja anafanya right things next week anatoa boko la maana..

Nafasi ya James angecheza VdB angeongeza quality passes kule mbele maana Fernandes alikuwa off kimtindo na pia angeongeza idadi ya watu kwenye box..Tumemsajili wa nini VdB?

Fred na Scott wote hawa ni poor Offensively,defensively wako vizuri,sasa inabidi uwe na wachezaji wanaotengeneza nafasi na kuzitumia vizuri ili uweze kushinda mechi kama hizi..

Game ya PSG Pogba alivyoingia aliongeza quality kule mbele na possession ikaongezeka na tukapata bao,kitu ambacho hakikuwepo kabla ya Pogba kuingia

Inabidi tuchukue point asee,maana wakubwa wengine wanapoteana,Ole inabidi ajitahidi ili baadae tuwe nafasi nzuri
 
Nakumbuka pia comment yako kuwa utd haimuhitaji sancho wala winga wa kulia, bali striker. Mkuu unaishi kwenye dunia yako ya Kipekee kama unafiri VDB ni winga, hasa hasa pale Epl.

Sifa za VDB
-anajua kutoa pasi za mwisho
-anatoa pasi fupi fupi
-hakai na mpira
-magoli yake anafunga akiwa ndani ya box etc

Yupo weak kwenye pace na defensive contribution, VDB ni mata mrefu aliechangamka changamka,

Eka VDB kushoto na Mata kulia watoto watapita tu kwenye mbavu kila siku tutafungwa na mtakuja humu kumtukana Ole.

Na martial Ameprove time to time yeye ndio link ya Attack ya United, asipokuwepo timu inafanya Vibaya, msimu uliopita mwanzo alimiss mechi 6 tukawa tunahangaika tu kule mbele, alivyorudi na mambo yakawa mazuri.

Amecheza mechi zote kwenye winning streak yetu toka february mpaka kuisha msimu.
Nimesema vdb anaweza kuwa winga hilo halihitaji degree ya ukocha kujua mkuu soccer imebadilika sana, kikosi chetu pia hakimuhitaji Sancho ili kuwa untouchable this season tunahitaji kocha tu wa kupanga kikosi vzr tukashinda mechi nyng, ss we hebu angalia mechi ya juzi unaweka vdb benchi unaanzisha James kweli?
 
Mkuu naunga mkono hoja kuwa James hakupaswa kuanza, lakini kwa mtazamo wangu mtu sahihi wa kuanza alikuwa ni Mason

Nilichokiona Ole ameingia kwenye mechi kiuoga zaidi kwa kumuweka James badala ya more capable offensive player

Fred na Scott walitosha kubalance ulinzi, badala ya kumuongeza James ambaye ni mzuri kwenye ku track back opponent lakini going Foward hana msaada mkubwa

VDB pia ni option nzuri japo mimi nilipenda zaidi aanze Greenwood kwenye Right Attacking Flank
Nilisema VdB atleast kama Mason bado hajawa fit maana tuliambiwa na Ole alikuwa na injury..Lakini kama alikuwa fit ilibidi aanze
 
Nimesema vdb anaweza kuwa winga hilo halihitaji degree ya ukocha kujua mkuu soccer imebadilika sana, kikosi chetu pia hakimuhitaji Sancho ili kuwa untouchable this season tunahitaji kocha tu wa kupanga kikosi vzr tukashinda mechi nyng, ss we hebu angalia mechi ya juzi unaweka vdb benchi unaanzisha James kweli?
mkuu sijui hata niongee vipi tena lol, tuanze taratibu.

jana Mata ndio winga wetu wa kulia, ila mata hajui kukokota mpira akachukua mtu na kuingia ndani, yeye ni mtu wa pasi zaidi anatafuta upenyo na kupenyeza pasi. angalia upande wetu wa kulia ulivyokuwa, hii ni pass map ya jana

1603622547160.png

hali hio inasababisha Bissaka kuwa isolated maana anapanda mwenyewe, na pia inamfanya awe vulnerable, kinachomsaidia ni kwamba tu yupo vizuri kwenye ukabaji ila angekuwa full back mwengine hapo ni majanga.

hapo nilipozungushia Blue ni pengo la sancho hilo, hakujapigwa pasi wala watu hawaendi, huko garasa zouma lilikuwa linacheza tulimfanya jana akaonekana kama Vidic, anakuja mpaka golini kwetu kushambulia bila wasiwasi, tungekuwa na winga wa kulia mzuri angetoa pressure nzuri kwake, na kwa Chilwell.

tu assume kama mnavyotaka nyie Angeanza VDB badala ya james, tuangalie upande wa Kulia wa Chelsea
i7f0friox4v51.jpg

hapo kuna
-kai havertz
-reece James
-Azpilicueta

kati ya hao wawili wakabaji James na Azpi wana mbio balaa, james ana mbio kushambulia na kukaba vile vile unapokuwa na winga asiejua kudrible na hana speed ina maana
1. hataweza kumsaidia luke shaw kutrack back mtu mwenye speed
2. hao mabeki hawatapata shida kumkaba sababu hata wakimuacha hatua kadhaa nyuma wapo confident wataweza kumfikia.
 
View attachment 1611441

Ok sawa umechambua vzr, ss niambie ktk hayo uliyoyaongea James aliplay role gn hapo?
 
James jana alicheza Winga wa kushoto, Japo hakufanya vizuri kwenye ushambuliaji ila bado ana track back, na moja ya sababu ya James kutofanya vizuri ni kwamba amejaziwa watu upande ule, na chelsea wanapojaza watu kule na wao pia wanapunguza idadi ya watu wanaoshambulia mahala pengine (kulia kwetu).
 
Vdb sio winga, tunarudi pale pale, james amecheza sababu Martial yupo suspended, Woodward angemleta Sancho wala usingemuona James pale.

Mechi ya jana Alivyoingia pogba na Cavani tulikuwa tumetawala mpira ila hatukuwa na threat yoyote kwenye goli, sababu Fernandez alipelekwa winga ya Kulia, Fernandez sio winga, Vdb pia sio winga, haitusaidii chochote hawa jamaa wakikaa pembeni,

Ila Alivyotoka Mc tominay na Kuingia Greenwood, Fernandez akarudi kati ghafla tukaanza tena kuwa Threat kwenye Goli lao, dk za mwisho tumewakosa Nafasi za kutosha tu.

Na wale Haters wa Martial nawakumbusha tu, Record zetu mbovu bila Martial zinaendelea.
Ni kweli mkuu,A.Martial ni muhimu sana kwenye kikosi sema basi tu.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
James jana alicheza Winga wa kushoto, Japo hakufanya vizuri kwenye ushambuliaji ila bado ana track back, na moja ya sababu ya James kutofanya vizuri ni kwamba amejaziwa watu upande ule, na chelsea wanapojaza watu kule na wao pia wanapunguza idadi ya watu wanaoshambulia mahala pengine (kulia kwetu).
Soka la kizamani sn hili unaloongelea mkuu yn mchezaji ashindwe kutamba kisa kajaziwa watu upande wake si anahama upande tu cz mchezaji km anaweza basi anaweza tu ukimbana huku anahamia kule na bado anaweza kuleta madhara, ss mchezaji anayetegemea upande mmoja tu wa nn huyo?
 
Cheza mpira ushinde acha kulilia vitu vya kipuuzi..kwahiyo kupata draw na sisi umefurahi sana sio?
Ivyo vitu vya kipuuzi ndo vinafanywa na ili litimu lako ..wewe nakumbuka ndo ulidai Chelsea itapigwa sita, vip jana mumepiga ngap
 
Vdb sio winga, tunarudi pale pale, james amecheza sababu Martial yupo suspended, Woodward angemleta Sancho wala usingemuona James pale.

Mechi ya jana Alivyoingia pogba na Cavani tulikuwa tumetawala mpira ila hatukuwa na threat yoyote kwenye goli, sababu Fernandez alipelekwa winga ya Kulia, Fernandez sio winga, Vdb pia sio winga, haitusaidii chochote hawa jamaa wakikaa pembeni,

Ila Alivyotoka Mc tominay na Kuingia Greenwood, Fernandez akarudi kati ghafla tukaanza tena kuwa Threat kwenye Goli lao, dk za mwisho tumewakosa Nafasi za kutosha tu.

Na wale Haters wa Martial nawakumbusha tu, Record zetu mbovu bila Martial zinaendelea.
Hamna kitu mipira yote iliishia kwa akina Silva na Zouma. Japo dakika 10 za mwisho mlimiliki kwa kiasi chake
 
Back
Top Bottom