Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man huyo ni injury prone na naona ndo sababu ya PSG kuwa sajili kina icardi ....imagine MTU hajacheza mashindano yoyote since January unaona ataweza kuwa the same kweli?
Ukitaka mchezaji asiyeumia tumia play station mkuu..
Lakini Kama ni footBall basi mchezaji kuumia ni kawaida.
Nitajie mchezaji ambaye hajawahi kuwa majeruhi..
Icard,,neyma ,ujio wao ndy uliomuweka banch cavani,, na sio kuwa majeruhi..
 
Kipindi cha kwanza kimeisha timu ime cheza vizuri.
Tuna kaba na kushambulia kwa kushtukiza.
Labda kipindi cha pili kocha anatakiwa amtoe D Jems na Mata.

NB: Ushindi sheria.
 
Kipindi cha kwanza kimeisha timu ime cheza vizuri.
Tuna kaba na kushambulia kwa kushtukiza.
Labda kipindi cha pili kocha anatakiwa amtoe D Jems na Mata.

NB: Ushindi sheria.
Tumelinda zaidi, hakuna wa kupandisha mashambulizi kutokea kati, mbele kumepigwa ganzi.
 
Anyway,,,,, !

Timu inajitahidi !

James Ni Kama hayupo uwanjan, pengine nafasi yake ichukuliwe na VDB awe anaingia ndan kutokea pemben , au aingie kavani , then rashy asogee pemben sehem ya James!

#GGM

Angekuwa kepa tungeongea mengine now
 
Kipindi cha kwanza kimeisha timu ime cheza vizuri.
Tuna kaba na kushambulia kwa kushtukiza.
Labda kipindi cha pili kocha anatakiwa amtoe D Jems na Mata.

NB: Ushindi sheria.
Tumechezaje vizuri wakat timu inajilinda sana, kama vile wanatetea kibarua cha kocha!
Mbele pabutu kule, huu upande wa james ni ukilaza tu kule, huyu james angetolewa kwa mkopo!
 
Kipindi cha kwanza mechi imekuwa mbovu sana pande zote mbili tuone kipindi cha pili chelsea na manchester united huwa wanamech nzur sana lakin safar hii daaa timu zote bado
 
MIELEKA UNITED
IMG-20201024-WA0005.jpeg
 
Leo solskjaer kavuta bangi sijui la wap mwanae james kama yupo likizo tu hamna anachofanya aisee
 
Back
Top Bottom