Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Maguire alitakiwa awe jela muda huu kwa kesi ya robali,
1603006711008.jpg
 
Let me lllllmllpllppl
,,

?,..,
,
.
, ,
.,
. Llplp0l0
L
Lp0plpll

0pl0
L0pp00l
giphy.gif
 
cha kushangaza yule swala mechi ya newcastle united ilimshinda ndipo baadae yakafanywa mabadiliko ya kuingizwa pogba tukarudi kwenye mchezo bora.

bwana ole alivyo wa ajabu amerudi tena na game plan ile ile.
Thus why watu huwa wanasema kocha wetu ni "substandard"..week moja anafanya right things next week anatoa boko la maana..

Nafasi ya James angecheza VdB angeongeza quality passes kule mbele maana Fernandes alikuwa off kimtindo na pia angeongeza idadi ya watu kwenye box..Tumemsajili wa nini VdB?

Fred na Scott wote hawa ni poor Offensively,defensively wako vizuri,sasa inabidi uwe na wachezaji wanaotengeneza nafasi na kuzitumia vizuri ili uweze kushinda mechi kama hizi..

Game ya PSG Pogba alivyoingia aliongeza quality kule mbele na possession ikaongezeka na tukapata bao,kitu ambacho hakikuwepo kabla ya Pogba kuingia

Inabidi tuchukue point asee,maana wakubwa wengine wanapoteana,Ole inabidi ajitahidi ili baadae tuwe nafasi nzuri
 
Kuna litakataka hapa liliropoka baada kupigwa Sita na Spurs, kuwa wanatafuta mnyonge wao walipize kisasi ..kuna lingine likaropoka eti itakuwa ni Chelsea..kwa mpira gani mlionao mshinde sita dhidi yetu?

Kwa huu upumbavu lijitu likikabwa linaanza kusukuma watu uwanjani hamna timu humu

Na bado Refa anapeta
 
Attachments

  • Screenshot_20201024-233837_YouTube.jpg
    Screenshot_20201024-233837_YouTube.jpg
    44.4 KB · Views: 7
Kuna litakataka hapa liliropoka baada kupigwa Sita na Spurs, kuwa wanatafuta mnyonge wao walipize kisasi ..kuna lingine likaropoka eti itakuwa ni Chelsea..kwa mpira gani mlionao mshinde sita dhidi yetu?

Kwa huu upumbavu lijitu likikabwa linaanza kusukuma watu uwanjani hamna timu humu

Na bado Refa anapeta
Cheza mpira ushinde acha kulilia vitu vya kipuuzi..kwahiyo kupata draw na sisi umefurahi sana sio?
 
Thus why watu huwa wanasema kocha wetu ni "substandard"..week moja anafanya right things next week anatoa boko la maana..

Nafasi ya James angecheza VdB angeongeza quality passes kule mbele maana Fernandes alikuwa off kimtindo na pia angeongeza idadi ya watu kwenye box..Tumemsajili wa nini VdB?
second half dhidi ya newcastle, psg na chelsea:
zimetuacha na funzo moja kubwa sana, kumbe tunaweza kucheza vizuri zaidi bila ya kutegemea uwepo wa winga kwa kila pembe.

fred + scott + pogba + bruno = maadui wanateseka sana na timu inakuwa na muunganiko bora sana kila eneo​
jambo la muhimu zaidi linalopaswa kufanyiwa kazi ni hawa fullback wetu ambao bado wanachangia huduma ndogo sana tunapovamia lango la adui, wanapaswa waboreshe viwango vyao au tunapaswa tutafute njia nyengine ya kuondokana na hili tatizo.
bado nauliza huyu daniel james hawezi kucheza fullback?
 
Thus why watu huwa wanasema kocha wetu ni "substandard"..week moja anafanya right things next week anatoa boko la maana..

Nafasi ya James angecheza VdB angeongeza quality passes kule mbele maana Fernandes alikuwa off kimtindo na pia angeongeza idadi ya watu kwenye box..Tumemsajili wa nini VdB?

Fred na Scott wote hawa ni poor Offensively,defensively wako vizuri,sasa inabidi uwe na wachezaji wanaotengeneza nafasi na kuzitumia vizuri ili uweze kushinda mechi kama hizi..

Game ya PSG Pogba alivyoingia aliongeza quality kule mbele na possession ikaongezeka na tukapata bao,kitu ambacho hakikuwepo kabla ya Pogba kuingia

Inabidi tuchukue point asee,maana wakubwa wengine wanapoteana,Ole inabidi ajitahidi ili baadae tuwe nafasi nzuri
Ole anafanya majaribio ya James kama last season alivyofanya na kale ka brazil anakuja kushtuka december yupo out of top 4.

Anaanza kupanga kikosi cha maana I think james awe last option.
 
second half dhidi ya newcastle, psg na chelsea:
zimetuacha na funzo moja kubwa sana, kumbe tunaweza kucheza vizuri zaidi bila ya kutegemea uwepo wa winga kwa kila pembe.

fred + scott + pogba + bruno = maadui wanateseka sana na timu inakuwa na muunganiko bora sana kila eneo​
jambo la muhimu zaidi linalopaswa kufanyiwa kazi ni hawa fullback wetu ambao bado wanachangia huduma ndogo sana tunapovamia lango la adui, wanapaswa waboreshe viwango vyao au tunapaswa tutafute njia nyengine ya kuondokana na hili tatizo.
bado nauliza huyu daniel james hawezi kucheza fullback?
Kwa quality ya James inabidi aondoke United au abadilishwe kama unavyosema awe RB na akomazwe kweli kweli..Telles ana delivery za hatari sana Shaw asubiri,so LB hakuna shida labda Ole azidishe mahaba kwa Shaw asiyeweza kupiga krosi.

Kimsingi hiki kikosi Ole ashindwe yeye tu kupata best of it..
 
Shaw mbona tunam-underrate sana. Anaweza sana kugongeana ujue. Yupo poor kwenye marking tuu, lakini ana speed na anaweza ile gongagonga

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Shaw mbona tunam-underrate sana. Anaweza sana kugengeana ujue. Yupo pooe kwenye marking tuu, lakini ana speed na anaweza ile gongagonga

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu binafsi pia namkubali Sana shaw but shida yake huwa ipo kwenye end product maana anakaba vizuri anasogea mbele vizur na hizo gonga ulizozitaja hapo juu.
 
Thus why watu huwa wanasema kocha wetu ni "substandard"..week moja anafanya right things next week anatoa boko la maana..

Nafasi ya James angecheza VdB angeongeza quality passes kule mbele maana Fernandes alikuwa off kimtindo na pia angeongeza idadi ya watu kwenye box..Tumemsajili wa nini VdB?

Fred na Scott wote hawa ni poor Offensively,defensively wako vizuri,sasa inabidi uwe na wachezaji wanaotengeneza nafasi na kuzitumia vizuri ili uweze kushinda mechi kama hizi..

Game ya PSG Pogba alivyoingia aliongeza quality kule mbele na possession ikaongezeka na tukapata bao,kitu ambacho hakikuwepo kabla ya Pogba kuingia

Inabidi tuchukue point asee,maana wakubwa wengine wanapoteana,Ole inabidi ajitahidi ili baadae tuwe nafasi nzuri
Vdb sio winga, tunarudi pale pale, james amecheza sababu Martial yupo suspended, Woodward angemleta Sancho wala usingemuona James pale.

Mechi ya jana Alivyoingia pogba na Cavani tulikuwa tumetawala mpira ila hatukuwa na threat yoyote kwenye goli, sababu Fernandez alipelekwa winga ya Kulia, Fernandez sio winga, Vdb pia sio winga, haitusaidii chochote hawa jamaa wakikaa pembeni,

Ila Alivyotoka Mc tominay na Kuingia Greenwood, Fernandez akarudi kati ghafla tukaanza tena kuwa Threat kwenye Goli lao, dk za mwisho tumewakosa Nafasi za kutosha tu.

Na wale Haters wa Martial nawakumbusha tu, Record zetu mbovu bila Martial zinaendelea.
 
Kwa quality ya James inabidi aondoke United au abadilishwe kama unavyosema awe RB na akomazwe kweli kweli..Telles ana delivery za hatari sana Shaw asubiri,so LB hakuna shida labda Ole azidishe mahaba kwa Shaw asiyeweza kupiga krosi.

Kimsingi hiki kikosi Ole ashindwe yeye tu kupata best of it..
Ole anaonekana kushindwa kumtengeneza huyu muheshimiwa kuwa mchezaji wa hatari (si kwamba daniel ni mbovu sana), kinachoshangaza bado United tumeendeleza tabia ile ile ya kuwakumbatia wachezaji walioshindwa kufikia malengo yetu badala ya kuwauza kwa fedha ilio bora.

kwa mujibu wa taarifa marcelo bielsa alimuhitaji sana daniel james lakini klabu imekataa, endapo daniel james ataendelea kucheza chini ya kiwango tafsiri yake ni kwamba thamani yake itazidi kupungua(wanaomuhitaji watashindwa kumnunua)

Ole naye amekuwa ni kasuku, mechi yetu ya mwisho tuliocheza na chelsea kwenye FA walitumia mfumo 3-4-3 ili kuimarisha defence yao na kucover space, kwenye mechi hiyo kwa mara nyengine tena Ole alianza na daniel james. alitegemea chelsea wataacha space kubwa sana nyuma ya james ili apate kuwaadhibu kwa counterattack na hatimaye mbinu ile ikafeli na daniel james akawa kituko mechi ile.

jana pia frank lampard alirudi tena na mfumo ule ule wa 3-4-3, bwana Ole naye akarudi tena na daniel james kwa mategemeo yale yale ya kwamba atawaadhibu chelsea kutokana na udhaifu wa defence yao.

nje ya ulimwengu wa counter attack, daniel james ni mchezaji wa mchangani.......nilicomment sana humu ndani juu ya usajili wa huyu dogo swala (kuna nyakati alitaka kuniaibisha na performance yake)
 
Vdb sio winga, tunarudi pale pale, james amecheza sababu Martial yupo suspended, Woodward angemleta Sancho wala usingemuona James pale.
mkuu kwa mechi ya jana kama martial angelikuwepo basi naamini daniel james angelipelekwa upande wa kulia.
daniel james mechi za chelsea anacheza mara kwa mara na ndio game plan ya ole

FA CUP = chelsea 3 man utd 1
1603616535970.png

===========

premier league
chelsea 0 man utd 2
1603616616975.png

premier league
man utd 4 chelsea 0
aliingia kipindi cha pili
 
Vdb sio winga, tunarudi pale pale, james amecheza sababu Martial yupo suspended, Woodward angemleta Sancho wala usingemuona James pale.

Mechi ya jana Alivyoingia pogba na Cavani tulikuwa tumetawala mpira ila hatukuwa na threat yoyote kwenye goli, sababu Fernandez alipelekwa winga ya Kulia, Fernandez sio winga, Vdb pia sio winga, haitusaidii chochote hawa jamaa wakikaa pembeni,

Ila Alivyotoka Mc tominay na Kuingia Greenwood, Fernandez akarudi kati ghafla tukaanza tena kuwa Threat kwenye Goli lao, dk za mwisho tumewakosa Nafasi za kutosha tu.

Na wale Haters wa Martial nawakumbusha tu, Record zetu mbovu bila Martial zinaendelea.
Huyo martial naye anakufurahisha game chache tu , mbona alivyokuwepo hakufunga magoli mnayotaka .... Mkuu HV unajua martial game zote hizo hajatoka na on target hata moja mpk akatolewa na red card? Bora awe backup ya cavani tu
 
Vdb sio winga, tunarudi pale pale, james amecheza sababu Martial yupo suspended, Woodward angemleta Sancho wala usingemuona James pale.

Mechi ya jana Alivyoingia pogba na Cavani tulikuwa tumetawala mpira ila hatukuwa na threat yoyote kwenye goli, sababu Fernandez alipelekwa winga ya Kulia, Fernandez sio winga, Vdb pia sio winga, haitusaidii chochote hawa jamaa wakikaa pembeni,

Ila Alivyotoka Mc tominay na Kuingia Greenwood, Fernandez akarudi kati ghafla tukaanza tena kuwa Threat kwenye Goli lao, dk za mwisho tumewakosa Nafasi za kutosha tu.

Na wale Haters wa Martial nawakumbusha tu, Record zetu mbovu bila Martial zinaendelea.
Sio lazima acheze kama winger per se..mimi mechi zote alizocheza VdB kama Sub amekuwa akikaa upande wa kushoto..

Na kama James anacheza kisa Martial ni mgonjwa na hakuna option nyingine basi huyu kocha wetu ana tatizo..ni bora angeanza Fred,McTominay,Pogba,Fernandes na Cavani +Rashford up top..

Na nikuulize VdB ili atleast acheze unadhani inabidi atafutiwe nafasi sehemu gani?
 
Back
Top Bottom