Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Its a match day

Leo OGS kasema Cavani ataanza

Pale katikati sielewi atapangaje kikosi bcoz game mbili za mwisho wameanza Fred + Scot, Pogba akitokea bench

I hope Bruno atapata goli leo

GGMU
 
Yooo guys,inabidi tushinde hii mechi kwani tukishinda gari litawaka rasmi sasa..tukishindwa kuchukua point tatu tutarudi tena nyuma hatua kadhaa..

Ole atumie akili zake zote tupate 3 points..Kikosi cha kuwaua blues kipo..

MY FIRST XI

DeGea

Tuanzebe Lindelof Shaw

AWB Fred McTominay Telles
Fernandes
Rashford Cavani

GGMU
 
Kikosi cha LEO
IMG_20201024_133915.jpg
 
Pamoja na yote rashidi anakukera mara kumi na kukufurahisha mara moja.......

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
Ila nyie jamaa hamna shukran aisee, Rashford ni katika wachezaji watatu wakali zaidi under 23, Mbape na Haaland wanachomzidi Rashford ni kwamba wanacheza ligi rahisi zaidi, ila huyu jamaa yupo same level na hao jamaa kwenye uchezaji.

Japo Man U hatujaanza Vizuri ligi jamaa amecheza mechi 5 za Ligi na Uefa ana Goli 3 na assist 2, average ya contribution ya goli 1 kila mechi. Hizi sio stats za mtu anaekera mechi 10.
 
Weka mbali na cheltako

Back
Top Bottom