Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,913
- 10,263
Vipi kiwango cha Adnan Januzaj kinaridhisha?
Yuko vizuri but anapaswa kwenda gym kuongeza mwili ili aweze kumudu pilikapilika za EPL
Vipi kiwango cha Adnan Januzaj kinaridhisha?
Timu imecheza vizuri lakini tatizo la msingi bado ni kutengeneza nafasi na kufunga magoli,inabidi tupunguze sana kumtegemea RVP kufunga,Rooney/Chicharito/Kagawa/Nani/Wellbeck wote hawa wana uwezo wa kufunga wakipata nafasi
Moyes anapaswa kufanya rotation ili wachezaji kama Zaha,Januzaj,Fabio,Kagawa,Chicharito,Nani wapate nafasi ya kuonyesha viwango vyao,timu ina wachezaji wengi cha msingi ni kuwapa nafasi
Valencia has been incredible today...
Chicharito anajiandaa kuingia..
Valencia msimu huu kaanza vizuri hata control yake imeimprove ila Viungo wa kati wanatakiwa kumsaidia zaidi kwa kumpa pasi akiwa kwenye good position na hasa akiwa amebaki na mtu mmoja au wamtangulizie kwenye space ya kukimbia
Kweli chifu. Ila naamini kwa uwepo wa Fellaini na Kagawa atakapokuwa fit, basi watasaidia sana.
Go go go go Man U
hahahahahaTunaamia Stadium of Light sasa..Sunderland piga hawa Goons.
Maneverton mpooo!
![]()
Cheat: Young attempts to win a penalty against Palace