Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Credits to Palace. They have been formidable, in spite of being a man down.
 
Huyu dogo Januzaj anapaswa awe anapewa nafasi mara kwa mara...ni lulu kwa United baadaye.
 
Rooney anajikanyaga hapa na kukosa nafasi ya wazi ya kufunga.

Samaki katoka kwa Palace. Dk. 74
 
8402638c-9288-4aec-8a6a-5aaabe406756.jpg
 
Wakuu wa kipande hii BJ & CO mumshukuru referee kwa kuwabeba vinginevyo dakika ya 76 hii bado ingekuwa 0-0 naona Van puuuuuu ameshakuwa mdebwedo, shurti awekewe maguu kumi na mbili ya mtu mzima mwenye akili timamu ndiyo azione nyavu lol!.
 
Sawa Ozil.
 
hahahahahah lol! Mie BAK banaaaa nilikuwa nachangamsha tu hii thread yenu maana imekuwa kimya sana siku za karibuni...Namuona Babu SAF in the house....ana miss sana kuwepo kwenye mitikasi ya kila siku kuiandaa timu.

Sawa Ozil.
 
Januzaj kapiga chenga vizuri, kashindwa kumaliza kwa guu la kulia...
 
Back
Top Bottom