Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah inasikitisha saaana Tena saana

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Uzi wetu umejaa negativity sana, cha kuwashauri mashabiki wenzangu wa United tusipoteze muda na nguvu zetu kujibu comments ambazo zinatoka kwa watu wanaojifanya wanajua soka kumbe ni hewa tu.

Wengi wanajaribu kufanya trolls ili waonekane tu wanajua soka. Zipo comments nyingi humu kutoka kwa mashabiki pinzani na zina hadhi ya kujibiwa na kutengeneza hoja.

Uzi ni wetu huu tuna haki ya kuzipita negative comments kimyakimya na kujibu zile zinazoweza kujenga hoja. Haustahili kumjibu mtu anayesema Manchester United ni underdog kwa PSG: Mtu anatumia term ya underdog hata haelewi siyo mahala pake.

Wana haki ya kuandika chochote humu ila na sisi tukae kimya, jibu la mjinga ni kukaa kimya.
 
Inasikitisha kuona uzi wetu umeingiliwa na watoto waliojulia mpira kwenye betting. Mara hii Manchester United ni un

Inasikitisha kuona uzi wetu umeingiliwa na watoto waliojulia mpira kwenye betting. Mara hii Manchester United ni underdog!!!
Tafsiri y underdog ni timu yenye nafac finyu kushinda mchezo husika....hata united alipoenda kucheza n psg jnne aliingia km underdog hii ni kutokana n form yake recently...we utakuwa umetafsiri maana ya underdog kuwa n timu ndogo!
 
Na una admit kwamba Manchester United kweli alikuwa na nafasi ndogo kushinda kwa PSG!!!!!

Let's end it here mzee, kama nimeelewa vibaya maana ya underdog: my bad.

Kila mmoja abaki na anachoamini maana ni haki ya kila mmoja.
 
★it's cool Buddy kila mtu aamini tu anachoamini kwa hiyo mpaka Sky Sports huwaamini media kubwa kama ile itengeneze kick kwa dogo kama yule ishindwe watu wakubwa wenye mashiko kama akina CR7 na LIME10??? Watengeneze attention ya watu kwa Mason kwa unaarufu gani alopo nao nikama ITV wazungumzie muhogo mchungu wat a shame
Kwanini tumeshindwa kumwamini Ole halafu tuamini vyombo vya habari ambavyo mara nyingi huwa vinaandika habari za uongo dhidi ya united ?
 
★Yawezekana ko huna uhakika usituletee vitu vyakufikirika mzee★
Fuatilia mabango ya jezi kifuani pesa zake zikoje na Chevrolet wanalipaje na mabango ya Clubs kubwa zingine

Hata Bayern nae ana sponsors sana mno yawezekana hata anaipita Utd kwenye sponsors (I guess sina cover ya data)
 
★Namimi nimesema hapo sema umeniwahi tu★
Skysport ni chombo cha kuaminika na huwa wanatabia ya kulinda maslahi ya wachezaji wa kiingereza..so ukiona mpaka wamepublish hiyo taarifa ujue kuna ukweli ndani yake.
 
‍★Hakim Ziyech on VDB: “We spoke in the beginning when he moved to Manchester, Last weeks we didn’t speak a lot and we didn’t speak about his situation. I think he will need time as well. You come from a different country, a different style of play and I know for sure it will take some time for him to get used to everything. Then I know for sure he will bring quality to the squad over there. For him the most important thing is to stay calm.”★

manutd |
IMG_20201023_140724_113.jpeg
 
Uzi wetu umejaa negativity sana, cha kuwashauri mashabiki wenzangu wa United tusipoteze muda na nguvu zetu kujibu comments ambazo zinatoka kwa watu wanaojifanya wanajua soka kumbe ni hewa tu.

Wengi wanajaribu kufanya trolls ili waonekane tu wanajua soka. Zipo comments nyingi humu kutoka kwa mashabiki pinzani na zina hadhi ya kujibiwa na kutengeneza hoja.

Uzi ni wetu huu tuna haki ya kuzipita negative comments kimyakimya na kujibu zile zinazoweza kujenga hoja. Haustahili kumjibu mtu anayesema Manchester United ni underdog kwa PSG: Mtu anatumia term ya underdog hata haelewi siyo mahala pake.

Wana haki ya kuandika chochote humu ila na sisi tukae kimya, jibu la mjinga ni kukaa kimya.
Umewaza na kunena vyema mkuu
 
★Yawezekana ko huna uhakika usituletee vitu vyakufikirika mzee★
Niliona kwenye media reports kwamba hata Chevrolet walikuja gundua baadae kuwa walilipa hela nyingi mno za bango kwenye jezi zenu
 
Kwahyo tukija England man utd ni klabu kubwa ila tukitoka nje ya England Liverpool ni kubwa kwasabu ana CL nyingi eti!
Ndio

Ukicombine makombe makubwa tukachanganya yaani Ubingwa wa nchi na bara la Ulaya Liverpool ndio timu kubwa
 
★it's cool Buddy kila mtu aamini tu anachoamini kwa hiyo mpaka Sky Sports huwaamini media kubwa kama ile itengeneze kick kwa dogo kama yule ishindwe watu wakubwa wenye mashiko kama akina CR7 na LIME10??? Watengeneze attention ya watu kwa Mason kwa unaarufu gani alopo nao nikama ITV wazungumzie muhogo mchungu wat a shame
Skysport si katika media za kuaminika 100% hawa sio wabaya kama Goal na Dailymail ila pia hawajafikia level za Bbc na telegraph.

Mara kibao nishaona washkaji wanatengeneza tweets fake na wao skysport wanafall na kuzitangaza bila kufanyia utafiti na baadae wanakuja kuumbuka, mifano ipo mingi sana ukitaka nitakutafutia.
 
Back
Top Bottom