Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Ukubwa ni mafanikioUnaongelea mafanikio au ukubwa?
Ukubwa ni mafanikioUnaongelea mafanikio au ukubwa?
Hakuna timu iliyofanikiwa chini ya jua km Al ahly ya misri na mbn co timu kubwa duniani?Ukubwa ni mafanikio
Kuhusu mafanikio ya dunia tunaangalia Club world cup Al ahly anazo ngapi na wengine wanazo ngapiHakuna timu iliyofanikiwa chini ya jua km Al ahly ya misri na mbn co timu kubwa duniani?
Mkuu kwenye rank ya club kubwa duniani bayan ni ya 7.Bayern ni kubwa sana kuliko Man Utd labda ukubwa UK naosemea wa Man Utd kwenye Mauzo ya jezi tu
Bayern ana UCL 6 vs Man Utd UCL 3
Juzi Atletico Madrid na ubabe wake kwenye kudefend kafungwa 4 bila sasa sijui Ole Gunnar Sokjaer atakuwa anapigwa ngapi na Hans Flick
So according to u hizi ndizo klabu kubwa duniani c ndiyoKuhusu mafanikio ya dunia tunaangalia Club world cup Al ahly anazo ngapi na wengine wanazo ngapi


Kama ni according to Club World cup yes
So klabu kubwa duniani niKama ni according to Club World cup yes
Sasa utazingatia kigezo gani Nje ya vikombe vya Club World cup?
Kuonesha kwamba namba hazidanganyi Real ameongoza vikombe vya ubingwa wa ligi yake, bara lake na Club World cup
Mkuu umesahau Statistics au ? Mambo ya Tied data hapoSo klabu kubwa duniani ni
1. Real Madrid
2. Barcelona
3. Corinthians
Ss mbn unabisha kwamba Barcelona ni kubwa kuliko Liver pool?Mkuu umesahau Statistics au ? Mambo ya Tied data hapo
Kama tukicheki kwa kombe hilo la Club World Cup jibu ni ndioSs mbn unabisha kwamba Barcelona ni kubwa kuliko Liver pool?
Duh we jamaa aiseeKama tukicheki kwa kombe hilo la Club World Cup jibu ni ndio



Kwahyo tukija England man utd ni klabu kubwa ila tukitoka nje ya England Liverpool ni kubwa kwasabu ana CL nyingi eti!Kama tukicheki kwa kombe hilo la Club World Cup jibu ni ndio




We jamaa haufai,kumbe ulikuwa unamsogeza taratibu,naye amejaa mzima mzima kwenye 18 zakoOk ngj nikuulize swali, hv pale England ipi ni team kubwa kuliko zote?
Huyu greenwood angekuwa Arsenal na ujinga wake anaofanya kwa Ole , tunhemsahau kama mwenzake Guendouz na OzilSio speculation..najaribu kukuonyesha kuwa kuna muda wachezaji wanavunja sheria ila Club zinawalinda..ila kuna sehemu timu hazivumilii hasahasa national teams
Dah inasikitisha saaana Tena saanaInasikitisha kuona uzi wetu umeingiliwa na watoto waliojulia mpira kwenye betting. Mara hii Manchester United ni underdog!!!
daniloMkuu ukiondoa font three ya psg ni nani ana quality ya kuwa first eleven ya United