Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,924
- 27,165


kwa nini mkuu?

kwa nini mkuu?Siku ya jana ni moja kati ya siku muhindi anapiga hela kuliko kawaida. Yan timu zisizo tegemewa kushinda ndio zinashinda halafu Mburula zilizotegemewa ndio hamna kitu kabisa.
Madrid
Barca
Inter
Juve
Liver
Chelsea
Cha kushangaza Man Utd anshinda kwa Newcastle na Atletico anashi da kwa Celta. Hongereni kipofu kaona mwezi.


pambaneni na matatizo yenu huna haja ya kutaja timu zisizo kuhusu ili kujificha na aibu ya kushindwa kuchukua point 3 chelsea hayupo mbali ya manchester united barcelona wana kocha mpya wametoka kwenye mkwaruzano atletico unawajua soka lao kushinda kwao hawatabiliki liverpool kacheza mech moja kubwa sana kocha wa everton sio sawa na ole plus lampard unajua hilo inter milan ile ni mech yao kubwa wanakutana wapinzani wa mji mmoja lazima kukaza juventus kadi nyekundu sasa unaenda kuiingiza chelsea iliyotangulia goli 3 halafu mpira unaisha 3-3 





Kwan ukicheza mechi kubwa hustahili kupata ushindi? Kifo ni kifo tu haijalishi ni kwa mshituko au kwa kuvamiwa. Kubali mkuu sote ni wabovu ila atleast mimi nina kauafadhali kidogo.Msipomfukuza lampard hizi post zitakuja nyingi sana hapa za kupandia timu zingine kusawazisha makosa yenupambaneni na matatizo yenu huna haja ya kutaja timu zisizo kuhusu ili kujificha na aibu ya kushindwa kuchukua point 3 chelsea hayupo mbali ya manchester united barcelona wana kocha mpya wametoka kwenye mkwaruzano atletico unawajua soka lao kushinda kwao hawatabiliki liverpool kacheza mech moja kubwa sana kocha wa everton sio sawa na ole plus lampard unajua hilo inter milan ile ni mech yao kubwa wanakutana wapinzani wa mji mmoja lazima kukaza juventus kadi nyekundu sasa unaenda kuiingiza chelsea iliyotangulia goli 3 halafu mpira unaisha 3-3
![]()
Kwan ukicheza mechi kubwa hustahili kupata ushindi? Kifo ni kifo tu haijalishi ni kwa mshituko au kwa kuvamiwa. Kubali mkuu sote ni wabovu ila atleast mimi nina kauafadhali kidogo.
Labda nikukumbushe pengine wakati game ya Chelsea inaendelea hukufuatilia vizuri. Hakuna muda sisi tuliongoza 3 then The Saints wakaja kusawazisha sijui unazungumzia mechi gani mkuu.
Aya nenda kawakere ArsenalKushinda raha sana,yaani una amka uko positive sana



Mechi mmetoka sare na Southampton nyumbanikwa nini mkuu?
Mkuu hicho nachozungumzia sasa. Yan zilizotegemewa kupata matokeo hazijapata na ambazo hazikutegemewa zimepata ushindi. Si ndio maajabu nayozungumzia hayo.Mechi mmetoka sare na Southampton nyumbani
United inawazidi kila kitu halafu mnakuja kupiga kelele huku at chelsea ilitegemewa kushinda kuliko united !!!
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hii timu sidhani kama nitafikisha miaka 30 nashabikia timu hii,Cavani baba ndio ujionee haya mambo haya, tumekuleta utusaidie kuyatatua haya yakusubiri paka dakika za majeruhi
Mata anazeka na mpira wake
Mata sijui kwanini Ole hataki kumuamini.Jana Bruno alicheza vizuri kuliko wote akifuatiwa na Juan Mata.
But nilipenda zaidi agility na mobility ya Scot Mc Tominay pamoja na pacha wake ball recovery na zone marking was superb.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Umri umeenda lakini performance yake huwa inategemea kaamkaje.Mata sijui kwanini Ole hataki kumuamini.
Last season Juan Mata kacheza karibu mechi zote za Europa League unataka imani ya kuvuka hapo ?Mata sijui kwanini Ole hataki kumuamini.
Mata sijui kwanini Ole hataki kumuamini.
Form is temporary, class is permanent.Ole Out wakuu.
Tomminay na Fred angalau wanakata mashambulizi hawana urembo mwingi. Faulo za kijinga why Pogba na Bruno wasigombee namba huko juu, wawaache matic, tomminay na Fred wakigombania DM.
MATA oyeee.
Ole Out
Hii timu sidhani kama nitafikisha miaka 30 nashabikia timu hii,Cavani baba ndio ujionee haya mambo haya, tumekuleta utusaidie kuyatatua haya yakusubiri paka dakika za majeruhi