Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu imeshakua ya tia maji tia maji. Ole anadhani anatengeneza timu kweli? natabiri bingwa wa Epl msibu huu atakua amepoteza zaidi ya mechi 10 either droo au lose
 
Ole: "Of course everyone wants to be in the Champions League and play the top teams,
We’ve drawn last season’s finalists, semi-finalists and this is the first chance we'll have to play the best, which will be the biggest challenge for this team."★

#GGMU

manutd |
 
@manutd
IMG_20201019_232116_373.jpeg
 
: MU players arriving at Manchester airport ahead of their flight to Paris

#GGMU

manutd |
IMG_20201019_232917_906.jpeg
IMG_20201019_232918_445.jpeg
IMG_20201019_232917_809.jpeg
IMG_20201019_232917_501.jpeg
IMG_20201019_232910_480.jpeg
 
★Jonathan Shrager |

Harry Maguire picked up a small injury (a slight tear) against Newcastle, but the MU medical team are hopeful that he’ll be back fit to play against Chelsea this Saturday.★

manutd |
 
Katika hali ya kawaida alikotutoa ni mbali kwa kikosi kilichokuwa hali mbaya sana.

Last season niliamini Ole asingefika December kwa matokeo mabovu lakini alitoboa.

Kilichonipa matumaini ni namna alivyofanikiwa kuzifunga timu kubwa kubwa karibu zote isipokuwa Liverpool kwa kikosi dhaifu kama kile.

Tactically sioni kama Ole ana mapungufu but ana Laissez faire attitude ambayo imeathiri fighting spirit ya timu.
Hehe hilo ndiyo kosa lenyewe mkuu.
 
Back
Top Bottom