Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Siku ya jana ni moja kati ya siku muhindi anapiga hela kuliko kawaida. Yan timu zisizo tegemewa kushinda ndio zinashinda halafu Mburula zilizotegemewa ndio hamna kitu kabisa.

Madrid
Barca
Inter
Juve
Liver
Chelsea

Cha kushangaza Man Utd anshinda kwa Newcastle na Atletico anashi da kwa Celta. Hongereni kipofu kaona mwezi.
 
1st goal. Maguire
1602990360156.gif
 
Mata anatakiwa kuwepo pia mkuu kalainisha sana timu pogba vilevile atokee bench kuna haja Van de beek kuanza badala ya james
Aliyebadili dira ya United ni Pogba. Ukiwa na Fred na Scot, kazi yao ni kutibua na si ku-create. James formation ya timu kwa sasa haim-accommodate vizuri, Donny ni mtu sahihi kucheza nafasi hiyo. Pogba bado licha ya makosa yake, anacheza mipira flani iliyokadriwa na ndiye starman wa United, though bitter to consume

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Hapana pogba hakubadili kitu mpira ulibadilika alipotoka James na kuingia VDB ndipo mambo yaakaanza kwenda sawa bruno alishuka 11 VDB akaingia katikati hata goli la pili ni VDB alianzisha shambulizi haraka sana pogba ni mzur ila kwa sasa anaweza kuwa wa kawaida kwa mech ya jana mata + bruno na VDB wanaweza kuwa na msaada sana
 
Hii team ingepata kocha mwenye tact ingekuwa nzuri sana ila kwa huyu Ole ushindi wetu itakuwa siku iyo wapinzani wameamkaje
Jana timu imecheza vizuri sana.

Build up ilikuwa error free ndiyo maana defence haikuwa na pressure.

Kwenye transition hatukufanya tactical flaws nyingi every move tuliyoanzisha ilifika mwisho.

Kitu cha mwalimu kwenda kufanyia kazi ni final decision tunapokuwa kwenye final third hasa kwa Daniel James, Luke Shaw na Aaron Wan Bissaka.

Otherwise it was a good game.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ole Out wakuu.

Tomminay na Fred angalau wanakata mashambulizi hawana urembo mwingi. Faulo za kijinga why Pogba na Bruno wasigombee namba huko juu, wawaache matic, tomminay na Fred wakigombania DM.

MATA oyeee.

Ole Out
 
Ole Out

Maguire bado hajafikia kuridhisha, kuna krosi ile yupo lazy kuruka Thanks to De Gea, yaana kuna nyingine ilikatiza karibu nae duh Thanks lindelof kaitupa throw in.

Ole Out
 
Siku ya jana ni moja kati ya siku muhindi anapiga hela kuliko kawaida. Yan timu zisizo tegemewa kushinda ndio zinashinda halafu Mburula zilizotegemewa ndio hamna kitu kabisa.

Madrid
Barca
Inter
Juve
Liver
Chelsea

Cha kushangaza Man Utd anshinda kwa Newcastle na Atletico anashi da kwa Celta. Hongereni kipofu kaona mwezi.
Hivi chelsea mna matatizo gani vichwani mwenu ?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom