SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,355
Kama kilimo cha MatikitiMan. United nzuri sana kwenye makaratasi.

Kama kilimo cha MatikitiMan. United nzuri sana kwenye makaratasi.

Hawajui mpira achana nao.
Naona game ya leo ipo wazi sana kwake.Nammiss sana Greenwood.
Kabla hajapiga nilikuwa na uhakika wa 90% kuwa anakosa.
Tatizo huwa anajifanya nae ni shabiki anabaki kuangalia tu.Mtu mmoja amkumbushe Ole kuwa kuna substitutes zipo bench pale tena za bei kali.
Tunapigwa hii game baada ya hiyo sub.OGS ovyo sana, mechi kama hii unamuingiza Pogba?
Leo Fernandez amekuwa Mzigo kabisa. Mbali na kukosa penalty lakini anapiga pasi za hovyo sana.Hakuna kipa kule Newcastle zaidi mgonjwa anatafuta pumzi lakini hakuna wa kupeleka mpira golini