Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,299
- 15,026
Imekuwaje Leo Bi uno penandez kakosa penati au ana mkomoa ole sendeka
Mata kacheza vizuri sana leo.OGS sub zake huwa hazieleweki kabisa. Daniel James na Mata ndiyo wliocheza vizuri leo, hao hao ndiyo kawaida.
dani mechi ilikuwa yake hii tatizo ana decision mbovu, angetulia tungemaliza mechi mapema.OGS sub zake huwa hazieleweki kabisa. Daniel James na Mata ndiyo wliocheza vizuri leo, hao hao ndiyo kawaida.
Kwa aina ya Magoli hata keeper angekuwa mzima vipi asingefanya lolote.Newcastle hawakuwa na goal keeper kwa takribani dk 30 za kipindi cha pili. Alikuwa ameumia na coachman wao hakutaka kufanya sub. Wachezaji wngekuwa sharp haya magoli yangeingia mapema sana siyo mwishoni hivi.
Anyway, congrats MUFC
Kwa aina ya Magoli hata keeper angekuwa mzima vipi asingefanya lolote.