Bruno na ubovu wake???VDB hapaswi kuanzia bench. Combination ya VDB, Bruno na Rashford ndiyo imeleta matunda. Ninazo heshima nyingi sana ka Mata. Japo hatakuwa man of the match. Maana Bruno na ubovu wake anachukua man of the match.

Leo pasi nyingi zilikuwa za hovyoBruno na ubovu wake???
Kwahiyo tungefungwa usingeenda?..wapagani bhanaAfadhali tumeshinda aiseh kesho mapema church kengele ya kwanza inanikutia mlangoni![]()


Afadhali tumeshinda aiseh kesho mapema church kengele ya kwanza inanikutia mlangoni![]()



Bruno kacheza ovyo kipindi cha kwanza chote. Amebadilika baada ya Pogba na VDB kuingia. Ametoa pasi za ovyo kuliko mchezaji yeyote leo. Katika kipimo cha haki, AWB, Mata, Fred, Manguire, De gea wanacheza vizuri mbali kabisa na Bruno. Ila nimevote for Bruno maana ndiyo hivyo.Bruno na ubovu wake???
Mkuu wangu unanifurahisha sana unaposema next stop ParisVdB ana touch za hela mingi kabisa..lakini sijui kocha atamuintergrate vipi kwenye first eleven..
Next stop😛aris,France
GGMU


Lazima ningeenda boss! Ila to be honest kuna kitu fulani ningekua nimepungukiwa mwilini.. Unajua tena mpira nao umaumiza sana, kuna muda unaweza kukuharibia furaha yako yote mfano ile siku tumekula goli 6, nilitamani kulia kifaransa bahati mbaya sikijui.Kwahiyo tungefungwa usingeenda?..wapagani bhana![]()