Mkuu unahofu ya kocha kuamua kutumia winga so . DONNY bado haja-adapt? Shida inawezakuwa DJ na JM, lakini je ni nani wa kucheza positions hizo? Ighalo angesimama Centre, Rashid akacheza Flang mojawapo.Kocha anajitakiaga mwenyewe kufungwa
Mkuu kama ushaona game nyingi Rashford akisimama huwa anaharibu bora acheze pembeni na angesimama Ighalo ,ila Kwa Mata nae dah ngoja tuone lakiniMkuu unahofu ya kocha kuamua kutumia winga so . DONNY bado haja-adapt? Shida inawezakuwa DJ na JM, lakini je ni nani wa kucheza positions hizo? Ighalo angesimama Centre, Rashid akacheza Flang mojawapo.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Duuh yn we jamaa ni noma ndo umeandika utopolo gn huu.Tumesajili wachezaji kwaajili ya kuwaweka tu benchi.......
Oghalo,Telles,VDB,Pellistri hakuna aliyeanzaDuuh yn we jamaa ni noma ndo umeandika utopolo gn huu.
Ulitaka mwalimu achezeshe wachezaji 12 ?Van de beek hana kazi asee?
Ole Out
TUNASHINDA! Newcastle hawana timu ya kupambana na hicho kiungo.
Amtupe tu fala Sana Yule bwanamdgo aende tu Madrid anakotakaLet the Meltdown begin
Naona Ole kamtupa kirusi nje ya first X1
GGMU
Tatizo Magwaya.Mid ya Fred na Mc Tominay.....
Ilituokoa sana last season sio ya kupuuzwa
Last time tumeenda St James Park tulifungwa na Longstaff viungo walikuwa Fred ,McTominay &PerreiraTUNASHINDA! Newcastle hawana timu ya kupambana na hicho kiungo.
Jumanne kuna game against PSGLet the Meltdown begin
Naona Ole kamtupa kirusi nje ya first X1
GGMU
Nawakumbuka sana hawa, ila leo tunashinda; timu imeundwa na wapambanaji hasa kuanzia kiungo kwenda mbele.Last time tumeenda St James Park tulifungwa na Longstaff viungo walikuwa Fred ,McTominay &Perreira
Hizi mechi ndogo ndio zinatusumbua
Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app