Fitness ikiwa regained mtapata ushindi mfululizo.Bissaka mechi ya kwanza yenyewe ya palace hakuwa fit na hajacheza amecheza mechi 2 tu.
Tatizo lenu nyie mnajua mpira ni playstation unawasha tu kwenye umeme na kuanza kucheza, fitness ni jambo muhimu sana tena sana.
Angalia wote ambao wapo juu Epl hawajacheza michuano ya Ulaya, hii ni training regime ya Everton kabla ya Epl
Full Practice Game Part Of Everton's Training Plan For League Restart
Report: 19-year-old prospect has been in Everton first-team training ever since they returned – HITC
Sisi wachezaji wamekutana mechi ya palace ya ligi, hata mechi ya kirafiki ya Villa kikosi cha kwanza kilikuwa hakija report
Niliwahi kuandika matokeo ya timu zilizofika mbali ulaya, bayern mechi 2 zilizopita karuhusu goli 7, lyon ana Mechi ya 5 mfululizo hajui ushindi, sio coincidence hii.
Trust me timu yetu inapo regain fitness utaona na ushindi mfululizo unavyokuja, bado nina imani mwaka huuu tunachallenge Epl ubingwa.
Hii imani ni yenye nguvu si mchezo. Mkuu kocha wenu tu anahangaika na formation ili Donny apate pa kucheza timu yenu haina uwezo wa kuanzisha shambulizi from scratch, kocha anataka RW sasa uahindi mfululizo utawezekana kweli?
★

Sergio Romero’s wife takes aim at Manchester United on Instagram.
★