Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Consider pia umri wake, demands za EPL (intensiveness) ukilinganisha na League 1, the Fact kwamba hajacheza muda mrefu na anaikuta ligi iko katikati (fitness).

Nadhani wameangalia sana vitu hivyo ndiyo maana amepewa mkataba wa mwaka 1 mara 2.
Management yetu ina shida Cavani alikuwa free agent muda mrefu sana kama kweli tulikuwa tunamhitaji angesajiliwa mapema akaanza training mapema Chelsea walimsajili Werner mapema akaondoka Leipzig akaanza training Cobham kabla hata msimu uliopita haujaisha
 
Kuna dembele mwingine tofauti ya ninaemfikiria mimi?
 
Siku Suarez anaenda AM, niliuliza humu, mbona ameuzwa kwa €7M? Very cheap actually.

Nikajibiwa kwasababu ni mzee.

Nadhani Suarez alikuwa best option kwa central striker.
 
Hatuna watu wa soka pale kwa kweli, Suarez was the best option

Cavani timemchukua, lakini ujio wake ni panic transfer

Ingekuwa tunamtaka, kwa kuwa alikuwa ni free agent tangu June tungemchukua mapema

Sina mashaka na uwezo wa Cavani hata umri huu alionao, ila amekuwa akipata sana majeruhi
Siku Suarez anaenda AM, niliuliza humu, mbona ameuzwa kwa €7M? Very cheap actually.

Nikajibiwa kwasababu ni mzee.

Nadhani Suarez alikuwa best option kwa central striker.
 
Ole asiposhtuka kuhusu hili tutaumia sana msimu huu


Pogba ataigharimu sana united kwenye mechi ngumu msimu huu kocha asiposhtuka

Maana Pogba kwa sasa angalau acheze 10 isiyo na majukum ya kukaba
Nando hiyo anacheza bruno so hapo kocha inatakiwa akitaka achezeshe wote wawili bac Inabidi bruno ampeleke pembeni iwe 7 au11 ili pogba asogee10
Kwa maana hiyo 6 na 8 zitakua chini ya viungo wengine wa maana tofaut na sasa ambapo inalazimika pogba acheze8 kitu kinachopelekea team kuwa na kama kiungo mmoja tu maana pogba hawez saidia chochote pale kati tutakimbizwa mno ulimi nje na beki zenyewe ndo zile
 
Kuleta defender mwenye pace kuja kupartner na yoyote yule cause wote hawana pace.

Bailly na Tuanzebe ni injury prone

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kumbuka tulitoa £80M kwa mchezaji kama Maguire.

Ukienda Serbia na hiyo hela unarudi na defenders wa maana wanne.

Maguire avuliwe kitambaa abaki kuwa mchezaji wa kawaida.

Bora tungebaki na Smalling kuliko kutoa hela nyingi hivi kwa mchezaji ambaye baada ya msimu mmoja tunatafuta replacement yake.

Maguire should deliver. Hatuna muda wa kubembeleza na hela ya kuchezea.

Tungekuwa na kocha kichaa, Maguire angekuwa anakula mbata akileta ujinga.
 
Suarez ndo mchezaji pekee pale Liverpool nilikiwa namuogopa.

Atafanya njia yeyote apate goli.

Nadhani ni striker lethal pamoja na uzee wake kuliko Martial.
 
Chong alihitaji kujengewa confidence na physicality.

Kama tulikosa vyote hatukumuona hata Samuel Chukuweze pale Villa Real ??

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Chong nilimfatilia kwa makini sana,,sio talented kama greenwood,japokuwa walipandishwa pamoja,,
Ndy maana alionyeshwa mlango wa kuuzwa,
Alikuwa mzito ktk maamuzi,,pia alipoteza uwezo wa kujiamini tofauti na madogo wengine waliopewa nafasi wakazitumia mfano rashford, Brandon,greenwood, Henderson,,
Ulishasikia mashabiki wakipiga kelele kuhusu kuuzwa kwake?
Ndy ujuwe mashabiki walishamuelewa uwezo wake ulipoishia.
Kuna wachezaji huwa viwango vinadumaa,,haonyeshi improvement yeyote,,ktk benchi la ufundi,,
Kwa kifupi chong hakuwa game changer..and he will never be.. No regret sold him.
 
Ushauri wangu tumpe Timu 'Zilatiko' ili atupitishe katika kipindi hiki kigumu, huku tunatengeneza timu.
 
Kwa nin kila mtu mwenye wasiwasi na Cavan unamuita shabiki wa Martial?
Ndy ilivyo hivyo automatically mkuu,,
Martial na mashabiki zake huko waliko wana hofu na cavani kuliko mtu yeyote.
Maana Comments nyingi zinazomponda cavani ni kwamba hawezi kumweka bench martial,, kwa sababu ambazo wanazileta humu zisizo na mshiko,
Sio comments za kumpa moyo bali za kumuattack mfano Mzee,,hana lolote,majeruhi kulinganisha na martial.
Nikagunduwa kumbe hawa wanaopinga ujaji wa cavani ni wale wasiotaka martial kuanzia bench,,au kucheza left wing.
Wanataka watuaminishe kuwa bodi ya usajili man u imevurunda,,sababu tu,,cavani ananyatia nafasi ya martial..
Cavani ni mbadala wa martial..
 
Sawa mkuu,,ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…