D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
relax muheshimiwa,Hii ni transfer window ambayo imenikatisha tamaa kuliko zote toka nimeanza kuishabikia united.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
darmian alifeli manchester united akauzwa parmakwamba alitakiwa asajiliwe Wigan Athletic ya Championship?
teh tehNipewe mimi timu, Martial hapati namba mbele ya Cavani.
Conte anawapenda wachezj waliopita ManUligi ya Italy siielewi
matteo darmian amesajiliwa na inter milan
Nipewe mimi timu, Martial hapati namba mbele ya Cavani.
allegri alinizingua sana siku aliofungwa magoli matatu na real madrid.Me mwenyewe cmwelewi wala nn
Hizi sura hata kuziona Siku hizi sitakirelax muheshimiwa,
wajumbe wetu (ed woodward na matt judge pichani) bado wanatafuta wachezaji sayari ya mars (nasikia huko bado ni tarehe 5)
View attachment 1591916
anatokea wapi?Huyu dogo ni modern defender mzuri sana.
Kaitwa England under 19s
Huyu dogo ndiyo aliyetupiga volley last season kwenye kombe la EFL.anatokea wapi?
au kwa wazee wa kuwekeza academy
We jamaa kumbe una ushabiki maandaziSasa mchezaji unamsajili halafu umwache kwa mkopo hii ni akili au matope ?
Si heri wangemwacha Tahit Chong ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Siyo maandazi tu hata donati piaWe jamaa kumbe una ushabiki maandazi
Mpira haupo ivyo ww
Sisi mashabiki maandazi na donati tunajua uko hivyo.Mpira haupo ivyo ww
relax muheshimiwa,
wajumbe wetu (ed woodward na matt judge pichani) bado wanatafuta wachezaji sayari ya mars (nasikia huko bado ni tarehe 5)
View attachment 1591916
Anzisha timu yako ndio uiendeshe ivyo au unafikiri zile timu kama za kwenu huku Simba na yanga kule kuna misingi yake ya kuendesha na kuna watu brilliant kwaio kila lililofanyika kuna kitu wamekiona na kimepangwa hakuna vitu vya bahati mbaya Kule...sasa wewe kaa tu huko buza kwa mpalange endelea kuropokaSisi mashabiki maandazi na donati tunajua uko hivyo.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
41m mkuu 20 zimelipwa tayari na add on 21Hivi huyu dogo wa Atalanta wa miaka 18 ndy amekuna account ya United kutoa £30m?
View attachment 1591515
Ni kweli hapa Buza kwa mpalange tunaamini hivyo.Anzisha timu yako ndio uiendeshe ivyo au unafikiri zile timu kama za kwenu huku Simba na yanga kule kuna misingi yake ya kuendesha na kuna watu brilliant kwaio kila lililofanyika kuna kitu wamekiona na kimepangwa hakuna vitu vya bahati mbaya Kule...sasa wewe kaa tu huko buza kwa mpalange endelea kuropoka
Centra defender kwa nafasi ya nani? Maguire au Lindelof?Timu inapofanya progress tunaacha kufanya usajili wa kuziba mapengo tunafanya usaji usio na msaada kwa timu.
Mfano msimu huu tulipaswa kusajili wachezaji hata watatu muhimu.
Right wing, central defender na Striker.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app