D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
dalot hazidiwi uwezo na brandon williams ila kumuondoa dalot ilikuwa ni rahisi zaidi kuliko brandon.Right wing wangetafuta option nyingine au kumbadilishia majukumu Diogo Dalot kuwa right kuliko hawa watoto
takwimu za afya zinambeba brandon williams mbele ya dalot.
southampton walimuhitaji brandon lakini Ole akamshawishi brandon
