Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Una Kipepe unasema una straika nzuri ??😎😎😎
Katika ligi iko hivi.

Arsenal.
- Nicolas Pepe (Winger) - Goli 1 Assisst 2
- Gabriel (Beki) - Goli 1
- Bukayo Saka (Winger) - Goli 1 Assisst 2
- Bellerin (Beki) - Assisst 2

Chelsea.
- Timo WemaSepetu (CF) - No Goal No Assisst
- Kayumba Havertz (MF) - No Goal 1 Assisst
- Ben Chillwell (Beki) - 1 Goal 1 Assisst

Haka ni kajinga?
 
Angelikuwa na sifa za mourinho basi ndani ya siku chache zijazo tungelifahamu ukweli uliopo, kama ulivyosema tunapaswa tusubiri muda utupe ukweli uliopo.

option pekee iliobaki ni osmane dembele, barcelona wanatia presha ya kutaka kutuuzia kwa bei ya jumla na si kwa mkopo hii ni kwa sababu wanajua fika tuna uhitaji wa winga wa kulia.

tukijiingiza ovyo wanaturamba.
Hakika 3 weeks ago Man united wangeweza kupata mchezaji yoyote wanayemtaka bila wasi wasi wowote leo hii yamebaki masaa tumejikuta tunasajili mzee mmoja na mtoto wa shule????

Nakataa hawa watu wawili hawakuwa chaguo la Solkjaer kwanza playing style ya Cavani na mfumo wa Ole ni vitu viwili tofauti kabisa.

Sidhani kama Ole angeweza kwenda sokoni kununua dawa ya panya kwajili ya kuunga mboga atakayoila mwenyewe.

Huu ni mwendelezo mwingine wa dhihaka za Woodward kwa makocha na mashabiki wa united.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Leo atanunuliwa mchezaji yeyote aliyeko sokoni ili kujivua lawama tu.

January nilishangaa sana united kwenda kumnunua Ighalo tu

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
teh teh
bosi yule aliyekataa kulipa paundi millioni 25 kwa bellingham kutoka birmingham ndiye yule yule aliyekubali kulipa paundi millioni 25 kwa traore.
=========
 
Ni rahisi zaidi kumnunua Harry Kane kuliko hata Jack Grealish cause Kane alishasema anataka kuhama Spurs.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ishu ni mkataba. Harry wont come any cheap. Ana mkataba mrefu bado na ameshajiestablish as a top striker. Kama akifosi kuondoka spurs lazima wakukamue...
 
Back
Top Bottom