Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ss km kocha ni mzuri inakuaje asijue kwamba Pobga na Bruno hawawezani? Hv mkuu ni kweli kabisa wachezaji wote wawe hawajitoi kwa ajili ya tm we unaamini hvyo? Duuh mkuu leo umenishangaza sn yn huoni mapungufu ya kocha! Huoni tm haichezi kitm! Huoni tm haina mfumo!!!!!!!! Ok ngj nkuache kiongozi ww amini unavyoamini na mm niamini hv hv.
 
Kwahiyo mkuu ilikuwa

Goli la kwanza: magwaya anamkaba shoo

Goli la pili: magwaya anamkaba shoo

Goli la tatu: magwaya anamkaba shoo

Goli la nne: Magwaya anamkaba shoo

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dah nimeumia sana Ole Gunar Solkjaer kufukuzwa kazi.

This is a fatal blow to me and actually wamemuonea the board hasn't backed Solkjaer enough.View attachment 1590399

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Pole sana mkuu kiukweli ulimpigania sn ila imeshindikana, huwezi kupigwa pigwa pale Streford end the home of trophy kizembe vile zen ukaachwa tu.
 
Serious mkuu, huoni udhaifu wa OLE??

Sawa Maguire, Baily, Martial, POgba, woodward, Glazers etc ,wana matatizo

But huoni kwamba Ole nae sio level ya Man U.


Mimi ni moja ya watu nilietamani OLE aturudishe kwenye ubora wetu.

Ila mpaka sasa naona kama tunampenda sana apewe kazi nyingine.
 
Sikupingi.
 
Goli la kwanza kaenda kumshikilia asicheze ule mpira.

Goli la pili kacheza faulo halafu akasahau kufanya marking.

Goli la Son la pili alishindwa kuzuia mpira uliopigwa na Sergei Aurier.

Goli la Kane alikuwa off position kazuia hata wachezaji wenzake wasifanye marking.



Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Mimi tatizo naloliona law Ole ni lassez affair attitude tu wachezaji wanamchukulia kama msela wao tu

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…