Woodward alaumiwe kwa kuwasikiliza washabiki na kumpa ajira OGS! hilo ndio kosa lake.
Woodward alaumiwe kwa kuwasikiliza washabiki na kumpa ajira OGS! hilo ndio kosa lake.
Kocha mbovu, hjata waje akina Kolubaly na VVD, hana mbinu Ole sendeka, yeye anakula mshahara wa bure pale tuAisee kweli kwa mwendo huu 30 years nimeanza kuiona halina ubish kwa sababu gani usajili unaofanywa unaweza kusema unaziba sehem fulan baadae panatoboka kwa hiyo hamna kusonga mbele mnarudi tena kutafuta bek bek lain ya united imekula hela san
Tayari mbn Bruno keshaanza kuwa hovyo mana haelewi tunacheza mfumo gn yn hovyo hovyo watu wanaingia kwenye njia zake yn hovyo kabisa.daah we jamaa umeona mbali sanaa umeongea point wenye mapenzi na utd wanaelewa hili, tuache ushabiki ili kuficha makosa hata kama tunaipenda timu yetu tusifiche makosa,
Dj, bissaka viwango vyao vimedrop hata ukiangalia maguire pia kocha ameshindwa kuwajenga kisaikolojia hata kiufundi pia itafika wakati hata bruno tutamwona hafai hajui, Kocha kasajili Dj , ighalo lakini hawapati nafasi ya kujengwa kiakili sasa Dj auzwe. Tutazid kuona mafanikio ya wachezaji wetu wakiwa nje ya man utd ndo mana usajili unakua mgumu
Baada ya dk 90 Nahitaji kuona Analysis yako.naam
Kocha mbovu, hjata waje akina Kolubaly na VVD, hana mbinu Ole sendeka, yeye anakula mshahara wa bure pale tu
Ole OUT! wachezaji anao lakini hajui afanye nini....Leo ni Edwood OUT!!!
Bruno katolewa kafara hukoTayari mbn Bruno keshaanza kuwa hovyo mana haelewi tunacheza mfumo gn yn hovyo hovyo watu wanaingia kwenye njia zake yn hovyo kabisa.
Acha kurud nyuma mkuu hii haiwez kukufariji kwa yanayoendelea hivi sasaHata liverpool watu wamefanya sana geto pale mshukuruni klopp kasafisha nyie chini ya 2017 mlikuwa mnaonekana jf!![]()


Huu ndio ukweli mkuu kocha wao ndio tatizo..Unawaona Smalling au Evans anavyokichafua Leicester?Kocha mbovu, hjata waje akina Kolubaly na VVD, hana mbinu Ole sendeka, yeye anakula mshahara wa bure pale tu
Acha kurud nyuma mkuu hii haiwez kukufariji kwa yanayoendelea hivi sasa![]()



mkuu wacha nimalize mech kwanza ntaangusha simu daaaaa leo kazi ipoHuu ndio ukweli mkuu kocha wao ndio tatizo..Unawaona Smalling au Evans anavyokichafua Leicester?
Ole anashusha ama anashindwa kupata kilicho bora toka kwa wachezaji. Huyu Bissaka enzi yupo C.Palace alikua hatari mtu wa kazi kwelikweli, kaja United kawa mlenda.
Kua mpole tu kipindi cha FAGA hata sisi tuliteseka hivi hivimkuu wacha nimalize mech kwanza ntaangusha simu daaaaa leo kazi ipo
Kua mpole tu kipindi cha FAGA hata sisi tuliteseka hivi hivi



maombi yenu tu msiwe upende wa spurs zisifike 10