radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Na imani kuna siku Fergie atairudia hii timu kwa muda.
Hawezi mfumo mzima uneharibika wa uendeshaji na wakusaka wachezaj
Na imani kuna siku Fergie atairudia hii timu kwa muda.
Nashukuru hazikufika huku mkuu ungetusumbua sana kashinda spurs unatuma vidole tuView attachment 1590356
Kwani Ole hajapata mabeki?






Nyie mbwa, mtakaa miaka 20 bila kombe la ligi, mmeskia? Au niongeze sauti? Pumbafu kabsa
Vipi Bailly Kitasa kaonyesha ukitasa wake ?Amejibu kimihemko muache aendeleze mihemko.
Nna wasiwasi Man utd shida sio usajili,nahisi kuna tatizo kubwa sana zaidi ya wachezaji na kocha,kuna shida zaidi ya hapo,nna wasiwasi ule uswahili wa kupangiwa kikosi kama ilivyo hapa bongo,nna wasiwasi sana na uongozi kuhusu mikataba ya wachezaji ndo maana hawachezi kwa morali.
Nna wasiwasi sana na uongozi,huenda sio watu wa FOOTBALL,na nafika mbali kuhisi hata salary na mikataba mingine ya players...
Hata akija messi,neymar,davies,sancho kwa wachezaji baaaado.
Hata akija Klop,potechino,zidane,Guardiola kwa makocha nadhani bado kutakua na shida.
Inaonekana makocha wote (moyes,van gaal,mourinyo,na ole) hajawah kuwa motivated baada kuja man utd.
Kuna shida.........
Kwanza walikosea sana kutokumuuza pogba kipindi kile katangaza anataka kupata changa moto mpya hii itawagharimu sana wale wenye mamlaka
So unataka kumlaumu nani pale PTER ukianza lawama utaonekana hujui mpira mkuu nakuheshimu sn, tm nzima leo ilifeli baada ya controversial red card ss uta mjudge nani mkuu.
Kabla ya red card defence ilikuwa imefanya errors leading to a goal tatu.So unataka kumlaumu nani pale PTER ukianza lawama utaonekana hujui mpira mkuu nakuheshimu sn, tm nzima leo ilifeli baada ya controversial red card ss uta mjudge nani mkuu.