ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 8,231
- 14,710
Kuna msimu Man Utd alichukuwa makombe yote aliyoshiriki.Siku hizi panaitwa shamba la bibi ukitaka points unaenda kuchukua tu
Wacha nao waisome namba.
Kuna msimu Man Utd alichukuwa makombe yote aliyoshiriki.Siku hizi panaitwa shamba la bibi ukitaka points unaenda kuchukua tu
Kila cku huwa nasema humu man u tuna wachezaji classic wengi na tupo hovyo ila Arsenal wanaye mmoja tu na ameongezeka willian lkn kdg wana afadhali.
Ushanogewa siyo?😎safi sana tuendelee kufungwa hivi hivi game sita zijazo ..bladfakeny kabisa
Kuwa na huruma ndugu yangu Sema hata pole ya kinafiki😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
unataka matusi sio ...Ushanogewa siyo?😎
Kwahiyo uvivu wa Pogba na Martial tu ndo uliomfanya Mourihno ashindwe kufanya vizuri sana United?..
Europa League sio kombe la sisi United kujivunia
Ana timu nzuri pia pale Spurs afanye mambo sasa
Kituko cha msimu hiki
![]()
![]()
6
Six
Sehn
VI
///// /


Kwani Ole hajapata mabeki?Hapana mkuu hata mourinho kipind anafukuzwa alitaka mabek wawili wapya
Sorry Bro, sijajua kuwa kichapo kimekugharifisha namna hii.unataka matusi sio ...