Lindelof huwa mbovu kwenye one on one tu.Aisee napata kitu hapa kweli yawezekana tunakapa lawama za bure kichwa kikubwa anaponea kwa victor
Just a Reminder... Man United spent £85m for Maguire
Tuwachekeee![]()
Tatizo kocha mkuu sio wachezaji, Hao wachezaji wamesajiliwa wakiwa na viwango bora kabisa.Hii timu ukuta wote majanga shaw,bailly,maguire na bissaka vichomi vitupu wale mnaoangalia kwenye mabanda hamuwezi hata kuinuka dadeki![]()
Hili jamaa shenzi sanaNani alimpa kitambaa Maguire??![]()
Man city mwenyewe kala 5 na leicester city ukuta wake uligharimu bei gani mkuu?
Mzee mimi nimesepa nimerudi ghetto namalizia Pilau langu la Jpili safi kabisa.Hii timu ukuta wote majanga shaw,bailly,maguire na bissaka vichomi vitupu wale mnaoangalia kwenye mabanda hamuwezi hata kuinuka dadeki![]()
Hii timu upuuzi mwingiKitakachofuata hapo baada ya kipigo hiki na kwakuwa dirisha linafungwa jumatatu basi kutakuwa na panic buy
Tatizo kocha mkuu sio wachezaji, Hao wachezaji wamesajiliwa wakiwa na viwango bora kabisa.
Woodward ndiyo anyoiporomosha Man unitedHalf time, camera zinamuangaza OGS usoni, to be honest namuonea huruma sana, kapewa timu kubwa kuliko uwezo wake, yaani kabebeshwa gunia la misumari hivi
Interview ya juzi kawajibu wandishi wa habari haitaji beki, anadai anaimani na mabeki alionao, sasa na hizi blanda za kina maguire leo sipati picha pressure atakayopewa na media za UK
Japo kwa game ya leo sina tatizo na OGS ila timu apewa fundi Marcelo Bielsa au Father Carlo Ancelot asubuhi hii, kuendelea kumvumilia OGS ni kujikosesha Top4
Marcelo Bielsa hawezi kufundisha timu mbovu kama Man Utd..Half time, camera zinamuangaza OGS usoni, to be honest namuonea huruma sana, kapewa timu kubwa kuliko uwezo wake, yaani kabebeshwa gunia la misumari hivi
Interview ya juzi kawajibu wandishi wa habari haitaji beki, anadai anaimani na mabeki alionao, sasa na hizi blanda za kina maguire leo sipati picha pressure atakayopewa na media za UK
Japo kwa game ya leo sina tatizo na OGS ila timu apewa fundi Marcelo Bielsa au Father Carlo Ancelot asubuhi hii, kuendelea kumvumilia OGS ni kujikosesha Top4
Shosha na mashabiki wa man u wote akili moja, ndio maana wanaamini kutatua tatizo kumpata Cavan