joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,834
- 39,382
Bado moja...........tumpe mtu wiki.
๐๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐๐๐
Mi bora sikuwepo nimepona balaakuna wale wamavaaga na jez
Hapo unasema Liverpool na wake zake maana wote hao wana ujauzito wa jogoo.Ndugu wa marehemu toka majukwaa ya Arsenal, Liverpool, Chelsea mje hapa tuone inakuaje kama TUNAZIKA HAPA HAPA au TUSAFIRISHE
Baba mtamlaumu kila mtu hapa hahahahahahahaDaaa kazi ipo hii timu makocha wengi watahangaika aliekosea hii timu ni van gaal na moyes waliuza sana wachezaj wenye uzoefu bila kuwarudishia tatizo lilianzia kwa moyes na van gaal
HahahaahahahahahahahaMzee mimi nimesepa nimerudi ghetto namalizia Pilau langu la Jpili safi kabisa.
Baba mtamlaumu kila mtu hapa hahahahahahaha
Siku hizi panaitwa shamba la bibi ukitaka points unaenda kuchukua tuHivi mnakumbuka zile zama Old Trafford panaitwa machinjioni?๐๐คฃ๐๐คฃ๐๐คฃ๐
Siku hizi pamekuwa kama uwanja wa fisi, ukiwa na genye unaenda kujipigia.
RIP mashetani wekundu....
YNWA!!!!!