Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

View attachment 1588776
Wakuu nawasalimia hapa

Tujikumbushe ka fainali kidogo ka yuropa

S Romero
A Valencia (c)
C Smalling
D Blind
M Darmian
A Herrera
P Pogba
J Mata
MFellaini
H Mkhitaryan
M Rashford

Substitutes

D De Gea
P Jones
W Rooney
A Martial
J Lingard
M Carrick
T Fosu-Mensah

Baadae aliongezeka bailly na zlatan tukashika nafasi ya pili kwa hii timu uvivu wa pogba na martial ukamfukuzisha kazi mourinho mwisho wa mchezo pogba yupo bado ni yule yule tuliambia mourinho anamharibu tukaamini na kumchukia sana mourinho imepita hiyo imebaki story tu.
Kwahiyo uvivu wa Pogba na Martial tu ndo uliomfanya Mourihno ashindwe kufanya vizuri sana United?..

Europa League sio kombe la sisi United kujivunia

Ana timu nzuri pia pale Spurs afanye mambo sasa
 
Kwahiyo uvivu wa Pogba na Martial tu ndo uliomfanya Mourihno ashindwe kufanya vizuri sana United?..

Europa League sio kombe la sisi United kujivunia

Ana timu nzuri pia pale Spurs afanye mambo sasa

Timu ni muunganiko wa wachezaji wanaoshirikiana vyema mmoja akizingua system nzima kwisha habar ukweli upo hivyo

Upande wa mataji:

Manchester united ana mataji zaidi ya 40 unafikir ni premier league na uefa champions league?
 
Ni kweli ila shida haiwezi kuwa ni Pogba na Martial tu..huyo Martial hata Mourihno alikuwa hamkubali..Sababu za kutofanya vizuri ziko nyingi

Yote ni makombe lakini hatuwezi kupiga kelele mwezi mzima eti kisa tumeshinda carabao cup n.k...Hivi ni vikombe vya kawaida..Ubora wetu inabidi upimwe kwa kuchukua EPL na Champions League
 
Post yangu haikulenga kuonesha kwamba nafurahia makombe ya zamani ila si baya sifa ya timu ya mpira ni kushinda mataji kumbuka hilo pia naonesha ni kwa namna gani tulivyokuwa wa kawaida bado tulipata kitu pamoja na wachezaj waliokuwepo na mfumo mbovu wa kocha nimegundua ni kwa namna gani tulikuwa na mfumo mbovu ni kutoka na wachezaj waliokuwepo pale ni kumbukumbu nzuri kwa timu hilo nalo linaongeza kitu si hivyo tu ni kwamba yule kocha tuliekuwa tunamchukia mwishoni hakutuacha mikono mitupu.
 
Post yangu haikulenga kuonesha kwamba nafurahia makombe ya zamani ila si baya sifa ya timu ya mpira ni kushinda mataji kumbuka hilo pia naonesha ni kwa namna gani tulivyokuwa wa kawaida bado tulipata kitu pamoja na wachezaj waliokuwepo na mfumo mbovu wa kocha nimegundua ni kwa namna gani tulikuwa na mfumo wa bovu ni kutoka na wachezaj waliokuwepo pale ni kumbukumbu nzuri kwa timu hilo nalo linaongeza kitu si hivyo tu ni kwamba yule kocha tuliekuwa tunamchukia mwishoni hakutuacha mikono mitupu.
Okay,sawa mkuu
 
Chemistry anazidi kuijenga, we subiri uone kama tutashinda

Kwa mwaka huu sizani kama solskjaer anaweza kushinda kitu ila kama akiongeza wachezaj wawili wanaweza kuongeza kitu kwa mm binafsi maoni yangu tunaweza kushinda kitu kuanzia msimu ujao maana hawa wachezaj watakuwa wameelewana kwa sababu kuna wachezaj wengi vijana wanahitaj kukomaa
 
2 days to go,na hakuna la maana lililofanyika

I'm fecking tired of this club

Halafu mkuu mi suala la usajiri ni kama kamali tu tunaweza kusajili na bado tukawa palepale kwa mfano angalia city ule usajili wake msimu ukiopita kapigika sana sisi wenyewe tumepiga nyumban kwake na kwetu wachezaj tulionao wanahitaj mbinu nzur tu za kocha na hamasa angalia liverpool pesa walizotumia kwa kujennga ukuta wao ni ndogo sana ila kuna hamasa ya kocha na mbinu nzur sisi tunawachezaji wengi wa gharama na mishahara mizur lakin bado tunayumba kidogo sio sana binafsi hata tusiposajili naimani sana na timu yangu nikiangalia kiungo chetu si kibaya kocha akomae na pogba akaze mata bado ana kitu

Bruno
Don van de beek
Fred
Matic
Scott
Pogba~~mwenyewe cha uvivu
Mata

Eneo ambalo huwa silipendi ktk hii timu yetu ni kwa martial na rashaford hawa watu wanawafanya viungo wetu kuwa na wakat mgumu sana wanapoteza nafasi nyingi na kukosa ubunifu wanakabika nafikir labda hapo kocha angepaangalia sana na ndipo msimu ulipoisha pametupa drooo za kutosha

Kwa hiyo hata tusiposajir ni poa tu tuangalie msimu ujao ukiangalia gharama zenyewe daaa sancho ni mchezaj mzur ila bei yake ipo juu sana national teama anahangaika sana vipi kama mfumo wa dortmund unambeba? Kama ntakuwa nakosea kwa sancho tusahihishane kila mmoja ana maono tofauti.

Hata arsenal wanasajiri vizur sana lakin kocha anaongeza kitu
 
Back
Top Bottom