Bwa hahaahahahahahahaha.Just a Reminder... Man United spent £85m for Maguire
Tuwachekeee![]()




Sasa hivi makocha wanaiogopa Man utd kama ukoma.Kocha mbovu, hjata waje akina Kolubaly na VVD, hana mbinu Ole sendeka, yeye anakula mshahara wa bure pale tu
Manchester United ipo wapi?Mkuu ARV samahani kwa kukuingilia kwenye majukumu yako.View attachment 1590327
Jamaa yangu kama ungekuwa kwanjeka mida hii na yale maneno ya karaha hahahaahah
Mkuu Leo nimemiss kuangalia mabandani.Hii timu ukuta wote majanga shaw,bailly,maguire na bissaka vichomi vitupu wale mnaoangalia kwenye mabanda hamuwezi hata kuinuka dadeki![]()
Mkuu Leo nimemiss kuangalia mabandani.
Maneno yake huko duh


kuna wale wamavaaga na jezSijui huwa anatoa wp stat zake mana Google hazipoAtakuja Chief Mkwawa anakwambia bado anamwamini Ole. Na kwakutia chumvi vizuri, analeta na stats kabisa za ushindi.
![]()



