Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,226
- 44,223
Mkuu hata sijui nikujibu nini maana naona bado hutaelewa. Sijajua hata concept ya dynamic na fluid strikers unaielewa vipi.Mkuu martial sio natural centre forward.martial ni winger,,alikuwa anachezeshwa pale no 9 sababu mwenye uwezo huo pale man u hakuwapo,,
Ni sawa na Brandon William kucheza left back ,lakini ni natural right back.
Martial atagombea namba na rashford,, au greenwood na sio cavani,,
Hivi unaweza ukasimamisha mishipa ya shingo kutetea kumchezesha martial centre forward over cavani?
Labda nikwambiye kitu,,hata ile match ya uefa finally PSG na bayan ile match PSG mbape na neyma wameigharimu timu sababu ya utoto wao,,angekuwa huyo sniper cavani basi leo kombe lingekwenda Paris...
Cavani hategemei mfumo wa cross pekee ,,yule ni sniper,, finisher,,attacker,,goal scorer,,natural no 9 na sio wa kuunga unga,,
He was made to score goals,,na sio kingine..
Unakuja kutuaminisha habari za ighalo,,kwani cavani level ya ighalo?
Wakati wewe unasema cavani anakuwa back up ya martial,, mwenzio ole anaongea vingine..
Usimfananishe cavani na vitu vya kipuuzi.View attachment 1589683
Mechi nyingi Martial ndio atacheza hiyo tisa.Atacheza left ,,cavani no 9 .greenwood 7.. Rashford ataingia sub ..kwa martial au greenwood..
Hebu Tuangalie top Scorers wetu kila msimu.Wakati wanamuuza Lukaku wakasema Martial ndo atakayechukua nafasi.
Inamaana benchi halikujua udhaifu wa Martial wakampa hayo majukumu?
Ndo maana nasema kila siku, kocha hakuna. Ana bahatisha.
Kocha mwenye akili na uwezo hawezi fanya anachofanya Ole.
Vitu vingine mnamusingizia OLE tuu.atageuka lulu mbeleni af tutamtaka tena, ila Ole ndo kaua kipaji chake
[emoji2765] Huyo jamaa, usihangaike nae.Vitu vingine mnamusingizia OLE tuu.
Sasa OLE kauwaje kipaji cha DJ.
[emoji2765] Unaweza ukawa na hoja, lakini kumbuka kusajili ni mipango ya timu, na namna wanavyofanya kazi.Miezi 9 ama 10 to be exact, cavani alikuwa Free kudiscuss mkataba toka january.
Mkuu kwani Guardiola amekuzaje kipaji cha sterling?Vitu vingine mnamusingizia OLE tuu.
Sasa OLE kauwaje kipaji cha DJ.
Kwamba "striker Design ya Cavani unahitaji watu wa Kumzunguka wanaoweza kumlisha kutokana na uwezo wake, mfano kwetu ni kama Dan James"Mkuu hata sijui nikujibu nini maana naona bado hutaelewa. Sijajua hata concept ya dynamic na fluid strikers unaielewa vipi.
Kama juu mkuu peter alivyokuambia unapocheza na striker Design ya Cavani unahitaji watu wa Kumzunguka wanaoweza kumlisha kutokana na uwezo wake, mfano kwetu ni kama Dan James, cavani anaweza hata funga Goli 40 Man utd, sikatai naujua Uwezo wake, ila si mtu sahihi kwenye mfumo huu tunaocheza unless ni Backup striker.
Labda Kidogo Bruno ni smart Anaweza kuchange Game yake, ila wanaoanza kina Rashford na Greenwood watapata Service nzuri zaidi kwa Martial kuliko Cavani.
1. Hoja ni Je?, OLE ameuwa kipaji cha DJ.Mkuu kwani Guardiola amekuzaje kipaji cha sterling?
Ole hakimbii lawama za kuflop kwa DJ mbona akiwa Wales anacheza kwa confidence na anaassist na kuscore kwanini isiwe kwetu? unamuanzisha mata 7 DJ benchi unataka afeel vipi yani mtu ambaye sio namba 7 acheze namba yako hata wewe lazima uhisi kudharaulika.....
na kama tetesi ni za kweli board wametumia akili kugoma kukubali mawazo ya Ole kuwa DJ auzwe Leeds....haiwezekani mchezaji mwaka mmoja tu alafu umuuze kwa kutegemea uongezewe hela ulete mwingine nooo....
Bissaka anafuatia amekuwa too sloppy hata confidence anakosa sikuhizi anashinda sana nusu ya uwanja ya mpinzani kiasi kwamba anasahau majukumu ya kukaba, kama sio kuona aibu basi Ole angeomba anunuliwe beki no 2 mwingine (Usinipe habari za Guardiola kwamaana hii ni machester united na sio City) by the way tuna scouting kubwa kuliko city so ni rahisi city kufanya mistake kuliko sisi
Ole anashindwa kutumia strengths za wachezaji alionao.... alizeti huchujwa na mashudu hubaki ambayo nayo huwa na faida zake pia.....Ole ameshindwa kuchuja mafuta (Uwezo) kwa wachezaji wetu ajabu alimkataa Lukaku anamchezedha martial hapo 9 Sahizi anamleta Cavani kwa €10mil (agent fees) 34yrs hapo usisahau ameshindwa mtumia Ighalo anaongeza mwingine.....
watu wengi wanatamani kuona tukicheza na Bruno,Pogba na VDB lakini sioni hilo likitokea kwa maana kocha hana uwezo wa kuwaaccommodate wote 3 kwenye midfield kwamaana hawezi kucheza attacking football (Ukiwa na aina ya hao viungo 3 inabidi uwe unacheza attacking football yenye kumiliki mpira kana city,bayern or liverpool)
Mbinu mbovu, uwezo mdogo, maamuzi mabovu na kutokusoma alama za nyakati ndicho kitakachomfelisha Ole defensive team kama Brighton wanatuzidi possession kwenye game ya ligi kweli tupo serious....
Ngoja tuone ila kichaka cha kujificha kinazidi kukauka nyasi, msimu huu ni either aoneshe kweli anauwezo au aoneshe sio mtu sahihi.....
Issue ya DJ ni very clear Ole alikurupuka kumsajili bila kumjua mchezaji alipewa feedback tu akajichanganya same kwa Bissaka....
Service ipi mkuu wanayopata akina rashforf kwa martial?ndy hiyo ya kukosa nafasi 10 za wazi wakafunga moja?Mkuu hata sijui nikujibu nini maana naona bado hutaelewa. Sijajua hata concept ya dynamic na fluid strikers unaielewa vipi.
Kama juu mkuu peter alivyokuambia unapocheza na striker Design ya Cavani unahitaji watu wa Kumzunguka wanaoweza kumlisha kutokana na uwezo wake, mfano kwetu ni kama Dan James, cavani anaweza hata funga Goli 40 Man utd, sikatai naujua Uwezo wake, ila si mtu sahihi kwenye mfumo huu tunaocheza unless ni Backup striker.
Labda Kidogo Bruno ni smart Anaweza kuchange Game yake, ila wanaoanza kina Rashford na Greenwood watapata Service nzuri zaidi kwa Martial kuliko Cavani.
Naona mashabiki wa martial mnavyojifariji....yaani uende vitani na manati uwache K 47 Jeshi la akiba?Mechi nyingi Martial ndio atacheza hiyo tisa.
Cavan ni back up ya No9, umri na injuries.
Na hapo kwenye one on one ndipo tunapomgundua the real goal gater, kocha wangu (RIP) kipindi tukiwa mazoezi wakati huo alikuwa forward ukiotea zen umebaki na kipa anakuacha akuone upeo wa akili yako km forward, ukifunga anapiga filimbi ya kuotea af anafurahi sana, ukikosa utamsikia "mwendawazimu kumiiii" yn apo utazunguka uwanja round 10.Service ipi mkuu wanayopata akina rashforf kwa martial?ndy hiyo ya kukosa nafasi 10 za wazi wakafunga moja?
Man u ni timu ambayo ilikuwa haogopewi tena kwenye kona na hata faulo kwenye timu pinzani,,,
Hakukuwa na striker good header,,na mipira ya kuunganisha...
Cavani hategemei cross mkuu,,,hata one against one anakufunga..
He is a true sniper...
And I can bet ile jezi atavua, Cavani hawezi kuvaa jezi la ajabu wkt kuna mpuuzi mmoja asiye na maajabu anaivaa, watu wanataka kufanya biashara.Naona mashabiki wa martial mnavyojifariji....yaani uende vitani na manati uwache K 47 Jeshi la akiba?
Ole hana akili hizo,, lengo la kutafuta striker ni kwamba martial is not good enough ..
Labda nikuulize martial alifunga goli ngapi za kichwa? Msimu mzima,,
Martial ukimbana kwenye njia hana maajabu,,,
Cavani popote utafungwa...cavani ni kama ibrahimovic ,,je alipokuja man u alilikuwa na umri gani?
Je akina martial walifunga magoli mangapi?
Kama ibra hakuwa top scorer kwa club ya man u..
Cavani sio back up ya martial,, bali martial ndy back up ya cavani..
Unapoheshabu magoli ya kufunga ,,,hesabu na nafasi za wazi alizokosa martial...Hebu Tuangalie top Scorers wetu kila msimu.
19/20- Martial na Rashford wote 17
18/19- pogba goli 13
17/18- lukaku 16
16/17-zlatan 17
15/16- Martial 11
14/15- Rooney 12
13/14-Rooney 17
12/13-RVP 26
Hivyo ukiangalia Hapo toka 2013 hakuna Strikers aliyefunga Magoli mengi kwa Msimu Zaidi Ya Martial, na positive haipo hapo tu Bali sasa hivi kutokana tupo Fluid greenwood, Bruno na Rashford wanafunga magoli mengi pia.