Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu cavani hategemei cross pekee,,ana kufunga popote,,cross,, kona,,faulo,, mipira iliyokufa,,kuunganisha,,hata mipira ya kupenyeza kwenye njia,,,utafungwa..
 
Mkuu usitumie nguvu nyingi, ni kwamba shabiki wa utd anaweza kushabikia tm yyte ile duniani kasoro akishabikia hz tutamshangaa sn


Arsenal
Barcelona
Chelsea

Na kule England ni Liverpool yn mwiko kabisa.

Mm mwenyewe ni man u ila Leeds naipenda tangu enzi za Ferdinand, Radebe, Kewell, Smith and Viduka.
 
Cavani analijua goli mkuu na co utoto wa Martial.
kama unafikiri cavani anakuja kuchukua namba ya martial nakupa pole. huyo anakuja kumpokonya namba ighalo as plan B, mfumo wa Ole upo wazi anataka fluid na Dynamic strikers, sio mtu wa kukaa mbele.

na anakuja kulishwa na winga gani pale united? na full back yupi? unategemea greenwood ama rashford ampigie cross cavani? Usajili unaomake sense alitakiwa aje Telles kwanza specialist wa hayo majaro kabla ya kumleta cavani.

huu usajili upo against mambo yote ambayo tumepigania kama timu, na naona tunarudi nyuma kama msimu wa mourinho anafukuzwa ama lvg alivyoingia top 4, Targets za Kocha hazifuatwi na tunaanza kulipa hela nyingi kwa vitu visivyo na maana, sasa hivi utasikia kina greenwood na wao wanataka mshahara kama Cavani aka sanchez effect part 2.
 
Anachukua namba ya Ighalo? Ighalo ana namba tangu lini au unamaanisha benchi, af unasema angekuja Telles ili ashushe majalo amshushie nani majalo ss? Magoli kibao tena ya wazi kina Martial wanakosa mbele pale huoni?

Martial mechi ya pili namuona hana hata on target bado unasubiria pera chini ya muembe?

Wacha mtu mzima aje awafundishe watoto jinsi ya ku score zen asepe km watakuwa wafungaji kweli watakuwa wamepata darasa.

Dunia nzima inafahamu Cavani ni natural striker na alisha prove hilo ss huyo Martial ali prove kwa nani? Wacha Cavani aje wakurungu tuna jambo letu.
 
unasema martial anakosa magoli? kuna weakness za martial ila sio kukosa magoli, ndio striker mwenye accuracy kubwa kama msimu wa tatu mfululizo kuanzia kipindi cha mou. si Hazard, aguero, vardy ama Kane ambae ana accuracy kumshinda yeye.
 
unasema martial anakosa magoli? kuna weakness za martial ila sio kukosa magoli, ndio striker mwenye accuracy kubwa kama msimu wa tatu mfululizo kuanzia kipindi cha mou. si Hazard, aguero, vardy ama Kane ambae ana accuracy kumshinda yeye.
Cavani ni proven number 9 the Height, Shot power,Tap in Ability, Aerial presence ,Speed na hata Experience Anakuja kuongeza Attacking Quality ya United ni Bonge la Good Addition.
 
Cavani ni proven number 9 the Height, Shot power,Tap in Ability, Aerial presence ,Speed na hata Experience Anakuja kuongeza Attacking Quality ya United ni Bonge la Good Addition.
hakuna anaekataa hilo,

nikuulize wewe swali, ukipewa option ya kubadili firmino na cavani utakubali? reason gani unayo kwenye jibu lako?
 
It is in fact hii ni panic signing kama ya Ighalo tu.


Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ighalo-31 ya Africa inaweza kuwa 35
Cavani -34
 
Tulisema kumuuza Lukaku Kwa kisingizio sio dynamic striker lilikuwa kosa kubwa sana now replacement wamekuwa Ighalo toka China+ 34 years Cavani the good thing OGS ndio in charge makocha waliopita walitukanwa kufanya decision kama hizi


Sina tatizo na Cavani United ilipaswa kupata striker kama yeye au Mandzukic kabla ya kumsajili Ighalo maana hakuna alichofanya tangu amesajiliwa

Kuna tatizo kubwa kwenye timu yetu Cavani alikuwa free miezi karibia 3 lakini tumesubiri bado siku 3 usajili ufungwe ndio tunamsajili na hatujasajili wachezaji kwenye nafasi za muhimu mpaka sasa
 
Mkuu martial sio natural centre forward.martial ni winger,,alikuwa anachezeshwa pale no 9 sababu mwenye uwezo huo pale man u hakuwapo,,
Ni sawa na Brandon William kucheza left back ,lakini ni natural right back.
Martial atagombea namba na rashford,, au greenwood na sio cavani,,
Hivi unaweza ukasimamisha mishipa ya shingo kutetea kumchezesha martial centre forward over cavani?
Labda nikwambiye kitu,,hata ile match ya uefa finally PSG na bayan ile match PSG mbape na neyma wameigharimu timu sababu ya utoto wao,,angekuwa huyo sniper cavani basi leo kombe lingekwenda Paris...
Cavani hategemei mfumo wa cross pekee ,,yule ni sniper,, finisher,,attacker,,goal scorer,,natural no 9 na sio wa kuunga unga,,
He was made to score goals,,na sio kingine..
Unakuja kutuaminisha habari za ighalo,,kwani cavani level ya ighalo?
Wakati wewe unasema cavani anakuwa back up ya martial,, mwenzio ole anaongea vingine..
Usimfananishe cavani na vitu vya kipuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…