Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Spurs ya pochetino Imefanya Nini ambacho ole Hajafanya? Tusiwe wasahaulifu jamani mechi 1 au mbili zitusahaulishe mema yote.

Timu yetu ndio kwanza Imekutana, fitness level ni ndogo, ita improve kadri muda unavyozidi kwenda.

Hapana hatuangalii kushinda kitu hata mpira unaochezwa tu unajua uelekeo wa timu sisi hatusongi mbele tuko palepale kushinda ubingwa kuna timu makombe yapo damuni hata awe mbov vipi spurs mara ya mwisho kuwa bingwa sijui 60 huko hata historia inawahukumu lakin united kushinda mech 3 chini ya ole ni mtihan aliotea kipindi cha corona sasa hapo tunasonga wap?

Pia siwezi kusema kocha ni mbaya moja kwa moja unajua hadi muda huu hii timu mchawi hajulikani nakwambia ukweli kama wamiliki wametoa hela sana

Pogba
Di maria
Shaw
Bissaka
Rojo
Maguire
Lindelof
Mkhitaryan
Bastian
Morgan shneiderlin
Bruno
Van de beek
Eric bailly
Zlatan
Sanchez
Lukaku
Fred
Martial
Depay
Daniel james
Falcao
Herrera
Mata

Hao wote ni hela za maana na hakuna hata mmoja hadi muda unaweza kusema kiwango chake ni top yaani top wote tia maji tia maji

Mchawi nani hapo?

Na kumbuka mwaka wa 3 wa klopp anashika nafasi ya pili na kuingia fainali uefa kamuongeza vvd tu
 
Watu wanapiga kelele..ooh tunahitaji straika..straika kama lukaku kwa mpira ule goli zinatokea wapi,pogba hata chance moja hajacreate..timu haiwezi kupiga hata pass kumi kwenye half ya mpinzani..huu si utani?..Tengeneza kwanza system ya uchezaji

Yaani Ole kama hawezi kuimprove viwango vya hawa tulionao hata kuongeza wengine naona atashindwa kuwatumia tu

Timu inacheza kwa morali kwa kipindi fulani tu then kwisha habari..
Uhakika!
 
Hizo game zote tutashinda Ole kwenye big games anafanya vizuri

Mkuu umeona pressing ya hizo timu lakin? Jana Neal Maupay na Aaron Connolly walikuwa wanawazidi mbio mabek wetu sasa tukikutana na Calvert-Lewin na Richarlison au Son itakuwaje? Nafaham kila mech na mbinu zake ila Fitness ya timu yetu ipo chini sana labda kiungo anaanze fred na matic mbele yao awe bruno ila pogba bado hajawa fit tunaweza kuhangaika
 
Hela ya kumnunua Sancho ingesubiri kocha mwingine anayejitambua aitumie ipasavyo.

Ole asipewe chochote mpaka airudishe timu kwenye ubora unaotakiwa.

Juzi tulisema LB inahitaji mtu imara, jana RB amecheza ujinga mtupu. Napo tusajili mwingine?
 
Mkuu umeona pressing ya hizo timu lakin? Jana Neal Maupay na Aaron Connolly walikuwa wanawazidi mbio mabek wetu sasa tukikutana na Calvert-Lewin na Richarlison au Son itakuwaje? Nafaham kila mech na mbinu zake ila Fitness ya timu yetu ipo chini sana labda kiungo anaanze fred na matic mbele yao awe bruno ila pogba bado hajawa fit tunaweza kuhangaika
Mechi ngumu hapo ni ya Everton tu, hizo zingine watafunguka hivyo tutawafunga kirahisi tu.
 
Nikuulize maswali sasa.
1. Toka Rashford azaliwe amewahi kuwa na kiwango kama cha man utd sasa?
2. Toka Martial azaliwe Amewahi kuwa na kiwango kama Cha sasa?
3.toka Bruno Fernandez azaliwe amewahi kuwa na Kiwango kama cha sasa?
4. Toka Greenwood azaliwe amewahi kuwa na kiwango kama cha sasa?

Unaweza nipa mifano ya wachezaji Ole ambao ameshindwa kuboresha viwango vyao?

Vipi kuhusu transfer zake so far zimefanikiwa kiasi Gani?
There is nothing special wamefanya so far United sio Everton au Spurs there is no stability & consistently kuanzia kwenye defence, midfield & forward kila siku matatizo yana-swap

Last season tumemaliza EPL na point 66 while our worst manager post SAF era (Moyes) finish with 64 points

Na OGS alipewa hii timu tangu December 2018 lakini ukiangalia wanavyocheza utadhani kapewa timu last month
 
Ole aonyeshe ukali userious kiasi sio upoleupole utopolo.

Tulipata bao ambalo sijalipenda. Tulizulumiwa bao mbili kocha amekaa kinya tu

Kwani ninani anaamua VAR irejewe? He would have done it
 
Nikuulize maswali sasa.
1. Toka Rashford azaliwe amewahi kuwa na kiwango kama cha man utd sasa?
2. Toka Martial azaliwe Amewahi kuwa na kiwango kama Cha sasa?
3.toka Bruno Fernandez azaliwe amewahi kuwa na Kiwango kama cha sasa?
4. Toka Greenwood azaliwe amewahi kuwa na kiwango kama cha sasa?

Unaweza nipa mifano ya wachezaji Ole ambao ameshindwa kuboresha viwango vyao?

Vipi kuhusu transfer zake so far zimefanikiwa kiasi Gani?
AWB, Lindelof, Rashford, Martial, Bruno, Pogba viwango vimeshuka sana sana.

Timu inacheza bila coordination, flow, concistency. Philosophy haijulikani, game plan hakuna.

Ukiangalia Bayern, Liverpool, Man City wanavyocheza ukilinganisha na timu ya Ole. Unaona kabisa utofauti.
 
Mechi ngumu hapo ni ya Everton tu, hizo zingine watafunguka hivyo tutawafunga kirahisi tu.

Mkuu tia kumbukumbu jana brighton alitaka kutupiga wiki mganga wa de gea katuokoa nguzo zile jana zimeficha mengi vipi hao magiant kama hatujapata form? Bissaka anakabana na de gea
 
Nikuulize maswali sasa.
1. Toka Rashford azaliwe amewahi kuwa na kiwango kama cha man utd sasa?
2. Toka Martial azaliwe Amewahi kuwa na kiwango kama Cha sasa?
3.toka Bruno Fernandez azaliwe amewahi kuwa na Kiwango kama cha sasa?
4. Toka Greenwood azaliwe amewahi kuwa na kiwango kama cha sasa?

Unaweza nipa mifano ya wachezaji Ole ambao ameshindwa kuboresha viwango vyao?

Vipi kuhusu transfer zake so far zimefanikiwa kiasi Gani?
Ukiondoa greenwood haoartial na rashford viwango vyao ni kama vimedumaa,bado Naamini hawakupaswa kuwa ktk level hii waliyopo sasa. Bruno kaja na kipaji cha hali ya juu kidogo kidogo ataanza kuwa mshenzi tu kama wengine tu, vile vile kwa DVDB
 
AWB, Lindelof, Rashford, Martial, Bruno, Pogba viwango vimeshuka sana sana.

Timu inacheza bila coordination, flow, concistency. Philosophy haijulikani, game plan hakuna.

Ukiangalia Bayern, Liverpool, Man City wanavyocheza ukilinganisha na timu ya Ole. Unaona kabisa utofauti.

Hata arsenal wako vizur sana aisee yule saka nilikuwa namchukulia poa lakin nimeangalia mech zao anavyocheza unaweza kusema sisi hatuna academy kwenye hii timu madogo wa timu yetu kuna mech wanakuwa vizur mech ijayo wanapotea mazima lakin madogo wa arsenal wako fit wanapohitajika
 
Ukiondoa greenwood haoartial na rashford viwango vyao ni kama vimedumaa,bado Naamini hawakupaswa kuwa ktk level hii waliyopo sasa. Bruno kaja na kipaji cha hali ya juu kidogo kidogo ataanza kuwa mshenzi tu kama wengine tu, vile vile kwa DVDB

Najiuliza sana genge gan lilikaa na kuwapa zile namba rashford 10 martial 9 greenwood 11 daaa
 
There is nothing special wamefanya so far United sio Everton au Spurs there is no stability & consistently kuanzia kwenye defence, midfield & forward kila siku matatizo yana-swap

Last season tumemaliza EPL na point 66 while our worst manager post SAF era (Moyes) finish with 64 points

Na OGS alipewa hii timu tangu December 2018 lakini ukiangalia wanavyocheza utadhani kapewa timu last month
sidhani kama achievement ya Ole msimu uliopita ni idadi ya points, bali run iliosababisha hio nafasi ya 3, toka bruno aje man United hakuna timu iliopata points nyingi kushinda sisi. je unafkiri hili si jambo la kujivunia?

sio siri tulianza ligi vibaya, sio siri tulikuwa na majeruhi wengi, lakini hio run ya kutoka february mpaka ligi inaisha ndio positive yetu na achievement yetu msimu uliopita.

na sasa hivi huwezi kujudge chochote kwa fitness level ile, tatizo sisi mashabiki tunakuwa na mihemko ya mechi moja moja timu ikifanya vibaya mechi hata moja negativity zinaanza.
 
Back
Top Bottom