OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hongereni kwa kupata ushindi wenu wa kwanza.
sisi tunagawa dozi kubwa kubwa tu.
#CFC 💙💙💙
sisi tunagawa dozi kubwa kubwa tu.
#CFC 💙💙💙
Hivyo vipengele ndio vilimsaidia Neymar akaondoka na Messi alitaka kutumia hicho kuondokaView attachment 1579238
Hii mikataba ya Barca kuna mda ina limit ambazo zinamnyima uhuru mchezaji kuhama. Wanafanya hivi lengo isitokee timu ya kumchukua, na huyu dogo anatimiza miaka 18 mwezi ujao huku greenwood akimzidi mwaka mmoja.
Hilo jina la "striker" lenyewe linajielezaKwahiyo kigezo cha kuwa striker mpaka uwe na mashuti mkuu?
Ni kweli mkuu,Msimu wa mwisho wa Ferguson Berbatov hakuwepo mkuu.
Aliondoka ndiyo akasajiliwa Robin Van Persie.
Hata martial pia hana sifa za striker aliyekamilika,,,,,,sio mzuri kwenye mipira ya vichwa,,wala kuunganisha cross..Sahihi
Rashford ni Winga sio striker sababu hana kipaji kwenye upigaji mashuti
Martial ndio striker anacho kipaji kwenye upigaji wa mashuti
Type error mkuu,,tuliza wengeDamian babatovacha wehu hakuna mchezaji huyo
Man U tunategemea wingers wapi??...au unaongelea historia?Hata martial pia hana sifa za striker aliyekamilika,,,,,,sio mzuri kwenye mipira ya vichwa,,wala kuunganisha cross..
Pia ni mlaini mno kwenye purukushani za mabeki..anafiti kwa timu kama Barcelona,, wanaotumia zaidi pasi za kupenyeza na sio man u wanaotegemea zaidi wingers..
Mkuu kama hatutegemei wingers,, Sancho ndy top target kwa sababu zipi?Man U tunategemea wingers wapi??...au unaongelea historia?
Naomba kuuliza!
Hivi kati yetu sisi Man Utd na Barcelona tunatofautiana kitu gani linapokuja swala la mgt/board nzima ya timu? Maana board yetu siyo ya mpira, na ndiyo maana kilio chetu kipo hapo tu; ila barca lazima board yake ni ya mpira, sasa ukisikia yanayoendelea kwao, loh! Ni sarakasi kwa kwenda mbele, mi nahisi kwetu kuna afadhali.Mkuu sasa hiv pale Utdi 1st na 2nd Vice Captain ni akina nani ?The best 007,
Japo umeongea kimasihara sana ila kiukweli mimi nilishasema hapa tokea muda mrefu sana timu yetu haina kiongozi uwanjani kabisa. Bruno unamuona ana uchungu akiwa uwanjani na kuna muda anawapa wenzie mpaka maelekezo. Lakini kwa sababu Ole ni mtu fulani muoga muoga hatoweza kumvua kitambaa Harry.
Sio sahihiSahihi
Rashford ni Winga sio striker sababu hana kipaji kwenye upigaji mashuti
Martial ndio striker anacho kipaji kwenye upigaji wa mashuti
Sure mkuu, Bruno ana character za uongozi apewe yeye huyu Maguire kwnz tambala linamchanganya anashindwa hata kucheza vizuri cz ana pressure mnoo.The best 007,
Japo umeongea kimasihara sana ila kiukweli mimi nilishasema hapa tokea muda mrefu sana timu yetu haina kiongozi uwanjani kabisa. Bruno unamuona ana uchungu akiwa uwanjani na kuna muda anawapa wenzie mpaka maelekezo. Lakini kwa sababu Ole ni mtu fulani muoga muoga hatoweza kumvua kitambaa Harry.
Striker gani hapigi magoli ya vichwa? Na siku akipiga kichwa ,,,anapiga kafumba macho?Sio sahihi
Rashford sio winger , ni striker.
Pale United 1st eleven kuna Natural winger mmoja tuu- James.
Wengine hao ni mastriker wanaocheza kama wide strikers.
Nakubali Rashford (na Martial )sio Natural no9, lakini pia sio wingers.Striker gani hapigi magoli ya vichwa? Na siku akipiga kichwa ,,,anapiga kafumba macho?
Tunahitaji natural no 9 na sio hao wa kuunga unga..