Wanaweza kuwa ni strikers,,lakini ni wide strikers...na sio natural center forward no 9 mfano Kane,, Diego Costa,drogba,ikard,Cavan,Ronaldo de Lima.,Gabriel batistuta.Nakubali Rashford (na Martial )sio Natural no9, lakini pia sio wingers.
Sidhani kama atafika Xmas.Early kickoffs zinakuwaga na matokeo yakijinga sana
Kesho saa nane na nusu mchana sharp tuko uwanjani vs Brighton
Sijui tukipoteza na hii mechi msimu wetu utaendeleaje..I can't picture that
Ole inabidi a-pull his socks up turejee kwenye form mapema kabisa kabla mambo hayajamshinda jumlajumla..
Akirudi kumchezesha Maguire na Lindelof itabidi niache kuangalia mechi..Mctominay pia akianza badala ya Fred na Matic pia nitafanya hivyohivyo..ni bora nikafagie barabara


huyu dogo Tariq Lamptey atamfundisha mpira wan bissaka (mchezaji wa paundi millioni 50)Tariq Lamptey gives Brighton the lead, unbelievable scenes here this afternoon at The Amex Stadium.
Umri kaka,hata hivyo hiyo pesa ni nyingi kwa umri wa 33yrsKumbe Suarez ameenda Athletico kwa £7M?
Duh!!
Away team - VisitorsIt's a final whistle here at The Amex Stadium and the visitors are leaving with their heads down.
Visitor's!!! Hapana banah! Uwanjani bado hakuruhusiwi visitor's, kwa sababu wenzetu bado wako aware na tahadhari ya corona.
Winger na pia kwa maana nyingine wide forwardSio sahihi
Rashford sio winger , ni striker.
Pale United 1st eleven kuna Natural winger mmoja tuu- James.
Wengine hao ni mastriker wanaocheza kama wide strikers.
Commentator wakiwa ni Peter Drury ma Jim Belgin tutapata tabu sanaKesho ukisikia tu Maupaaay ni kuzima TV.
What a save by Ryan; Martial missed a sitter, unbelievable!
Oh you beauty! What a hit, son! What a hit! Greenwood with the equalizer, one one.
Ooh! It's two, Tariq Lamptey gives Brighton the lead, unbelievable scenes here this afternoon at The Amex Stadium.
It's a final whistle here at The Amex Stadium and the visitors are leaving with their heads down.
#GGMU
Kesho ukisikia tu Maupaaay ni kuzima TV.
What a save by Ryan; Martial missed a sitter, unbelievable!
Oh you beauty! What a hit, son! What a hit! Greenwood with the equalizer, one one.
Ooh! It's two, Tariq Lamptey gives Brighton the lead, unbelievable scenes here this afternoon at The Amex Stadium.
It's a final whistle here at The Amex Stadium and the visitors are leaving with their heads down.
#GGMU



Evra anamlipua Ole sema anazunguka tu, hata alipotoa ile speech juzi kwa kiasi fulani ameonesha kutolidhika na coaching style ya Ole.