Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

nilibahatika kuiangalia kiuvivu ile mechi hapo jana asubuhi (kupitia MAN UTD TV)....
aston villa walicheza vizuri zaidi dhidi yetu
==============
kocha anatakiwa awe na philosophy inayoonekana....
angalia alichokijenga marcelo bielsa pale leeds ndani ya muda mfupi
angalia anachokijenga arteta pale arsenal ndani ya muda mfupi
View attachment 1569397
picha haina uhusiano na thread hii
Mwisho wa msimu Ole alete majibu kama bado anafaa au la.

Lampard na Arteta wanaweza kumuaibisha mapema sana.

Arsenal wanacheza mpira unaonekana kabisa.
 
Nimeiona hii habari asubuhi.

Kifupi ni kwamba wamiliki wa timu nyengine wanatoa hela zao mifukoni kusaidia club zao, ila wa kwetu wanachota hela zetu kwa shida zao binafsi.

Na hawa jamaa hawalipi deni ambalo wameliweka wao wenyewe, lipo vile vile, club inalipa Riba tu na huduma nyengine ya hilo deni, hii inasababisha hata watu wengine wasivutiwe na kuinunua Man Utd sababu itawagharimu sana.
Brother.

Man Utd ni brand kubwa sana.

Waarabu wakiamua kumwaga mpunga hawajali maswala ya hayo madeni.

Hakuna mtu mwenye hela asipende kupata dodo kama la kumiliki Man Utd.
 
Brother.

Man Utd ni brand kubwa sana.

Waarabu wakiamua kumwaga mpunga hawajali maswala ya hayo madeni.

Hakuna mtu mwenye hela asipende kupata dodo kama la kumiliki Man Utd.
waarabu hawawezi pewa timu epl, Saudi wameshakataliwa Newcastle, sidhani kama ya City na Psg yatajirudia tena, sheria nyingi sana zimetungwa baada ya take over za mabilionea Malaga, city, Psg, chelsea etc
 
Man City hajaifikia Man Utd kwa hela, Man U barca na Madrid wapo level ya kipekee juu, wakifuatiwa kwa Karibu na Bayern, waliobakia wote hawana Asset za kuwafikia hao wanne.

Mfano uwanja tu Man City hawana wanatumia uwanja wa serikali, na Deal lao kubwa ambalo wanalo la Etihad ni la ndugu yake mmiliki. Hivyo Akiondoka Mmiliki siku yoyote Man City wanarudi kama Astona Villa tu.
chief, naifahamu vizuri sana nguvu ya manchester united kithamani na hoja yangu haikuegemea kabisa upande wa assets...........ndani ya miaka 5 matajiri wa man city wamewekeza mtaji wa takribani trillioni 2 pale etihad lakini kwa ukoo wa glazer hali ni tofauti (kama ulivyoelezea hapo juu)

ndio maana nikasema man city ameshamzidi man utd (kiuwekezaji).
ukoo wa glazer ni parasite
 
my mistake mkuu, ni kweli kwa uwekezaji wa wamiliki wametuacha mbali,
 
Mdadavulie sasa mdau
Mkuu hakuna haja ya kumdadavulia..kama ameangalia gemu zetu msimu huu na anasema ole hana mbinu kabisa hata nikimdadavulia hawezi kuelewa..

Ole anaweza kuwa sio tactical masterclass kihivyo lakini tactics zake zimetupa positive result msimu huu,so kum-underrate hivyo sio poa
 
★On this day in 2013 :

- Rio ferdinand played his 400th appearances for MUFC
- Ryan giggs played his 600th PL appearances
- Paul scholes played his 700th appearances and scored his final goal for UNITED★

#Legends
#GGMU

manutd |
IMG_20200915_112419_024.jpeg
 
Back
Top Bottom