Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chief-Mkwawa japo neno moja tafadhali, muda mrefu sijasoma michango yako kwenye uwanja wa fedha na man utd.

Seven clubs have benefited from more than £100m funding from their owners in the last 5 years. #CFC lead the way with £440m, followed by #EFC £299m, #AVFC £193m, #FFC £186m, #BHAFC £160m, #MCFC £142m and #WWFC £131m. On the other hand, #MUFC have paid £89m to their owners.
=============
nilivyoilewa hii habari (na kiengereza changu cha kuunga), ukoo wa glazer unafaidika zaidi kuliko inavyofaidika manchester united.
1600085188131.png
 
hahahahahahahahahaaaaaaaa
===================
#MUFC have paid £209m in last 5 years to fund Glazers’ ownership structure: £120m interest plus £89m dividends. In fact, in last 10 years they spent an extraordinary £838m on financing: £488m interest, £251m debt repayments & £99m dividends. Took out £140m loan since year-end.
=============================

kuna wajinga wanasema man city bado hajafikia level za man utd

#MCFC owners have provided £142m in share capital in last 5 years, as club has moved to operating profitability. However, in the preceding 6 years, they put in £1,145m, so they have provided a total of £1.3 bln since acquiring the club (all in the form of capital, i.e. no debt).
 
Porto imepunguza gharama ya kumnasa beki wa kushoto Mbrazili Alex Telles mpaka pauni milioni 18.5, huku Manchester United ikimtaka mchezaji huyo, 27. (A Bola - in Portuguese)
 
Tottenham inaweza kuchuana na Manchester United kupata saini ya Beki wa kushoto wa Real Madrid, Mhispania Sergio Reguilon,23. (Mail)
 
Chief-Mkwawa japo neno moja tafadhali, muda mrefu sijasoma michango yako kwenye uwanja wa fedha na man utd.

Seven clubs have benefited from more than £100m funding from their owners in the last 5 years. #CFC lead the way with £440m, followed by #EFC £299m, #AVFC £193m, #FFC £186m, #BHAFC £160m, #MCFC £142m and #WWFC £131m. On the other hand, #MUFC have paid £89m to their owners.
=============
nilivyoilewa hii habari (na kiengereza changu cha kuunga), ukoo wa glazer unafaidika zaidi kuliko inavyofaidika manchester united.
View attachment 1569590
Nimeiona hii habari asubuhi.

Kifupi ni kwamba wamiliki wa timu nyengine wanatoa hela zao mifukoni kusaidia club zao, ila wa kwetu wanachota hela zetu kwa shida zao binafsi.

Na hawa jamaa hawalipi deni ambalo wameliweka wao wenyewe, lipo vile vile, club inalipa Riba tu na huduma nyengine ya hilo deni, hii inasababisha hata watu wengine wasivutiwe na kuinunua Man Utd sababu itawagharimu sana.
 
hahahahahahahahahaaaaaaaa
===================
#MUFC have paid £209m in last 5 years to fund Glazers’ ownership structure: £120m interest plus £89m dividends. In fact, in last 10 years they spent an extraordinary £838m on financing: £488m interest, £251m debt repayments & £99m dividends. Took out £140m loan since year-end.
=============================

kuna wajinga wanasema man city bado hajafikia level za man utd

#MCFC owners have provided £142m in share capital in last 5 years, as club has moved to operating profitability. However, in the preceding 6 years, they put in £1,145m, so they have provided a total of £1.3 bln since acquiring the club (all in the form of capital, i.e. no debt).
Man City hajaifikia Man Utd kwa hela, Man U barca na Madrid wapo level ya kipekee juu, wakifuatiwa kwa Karibu na Bayern, waliobakia wote hawana Asset za kuwafikia hao wanne.

Mfano uwanja tu Man City hawana wanatumia uwanja wa serikali, na Deal lao kubwa ambalo wanalo la Etihad ni la ndugu yake mmiliki. Hivyo Akiondoka Mmiliki siku yoyote Man City wanarudi kama Astona Villa tu.
 
huu msimu pia kwa kocha wetu huyu naona ni maumivu mengine makubwa sana, jamani ivi mshawahi kufikiri kuhusu huyu kocha uwezo wake kiufund? badi ili ni tatizo ole hana mbinu za kiufundi hata kidogo kutupa mataji.
 
Hahaha kuna kila dalili mechi yetu ya kwanza tukapoteza.

Toka tumerudi kutoa EUROPA sioni timu kama imefanya hata mazoezi walau kidogo.

Story zinazozunguka nyingi ni za hovyo hovyo mara Maguire kafungwa jela, Greenwood kaingiza demu kambini, Lindelof kakaba mwizi mtaani.

Juzi na Aston Villa wachezaji wetu naona fitness haipo kabisa tunaenda kucheza na Crystal Palace ambaye ameshaonja ushindi dhidi ya United msimu uliopita.

Wachezaji wetu wengi huenda wasiwepo mechi yetu na crystal palace Rashford ni majeruhi, Pogba hajulikani alipo, Bruno yuko analea mgeni huko Ureno, Martial ndiyo kwanza anakula fungate ya kuitwa tena katika kikosi cha ufaransa.

Ngoja tuone itakuwaje
umeongea kwa uchungu sana.
 
Back
Top Bottom