Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa quality ya winga kwamba Bale na Costa wanajua kucheza winga kama Mata/lingard/perreira? Hapana Aisee. Majeruhi sawa ila full fit bale/Costa ni top players wanaocheza top teams nyingi tu.
Serious wachezaji wameisha kabisa mpaka United iwasajili hao spana mkononi ambao hakuna walichofanya the last 3 season

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
★Sikatai ila nina wazo huenda wao watakuwa wamechukua appearance za EPL tu embu jaribu kufuatiria hapo Mkuu★
Acheni utani nyie, Giggs huyu huyu Aliecheza mechi karibia 1000? Pia Giggs na Scholes hawajatofautiana sana kustaafu ni kama mwaka 1 tu

Ryan Giggs - Manchester United Player Profile & Stats

Paul Scholes - Manchester United Player Profile & Stats

Hapo Giggs alikuwa mechi zaidi ya 100 zaid ya Paul.

Giggs kuanzia 1992 tayari ana no kikosi cha kwanza, Paul alianza kama 10 na alikuwa rotation baadae alipokuja kuwa CM ndio akawa anapata no.
 
★Sikatai ila nina wazo huenda wao watakuwa wamechukua appearance za EPL tu embu jaribu kufuatiria hapo Mkuu★
kwenye EPL paul ana 499 tu, reason inayomake sense hapo wameandika Appearence za Paul all competition na za Giggs za Epl tu.
 
Serious wachezaji wameisha kabisa mpaka United iwasajili hao spana mkononi ambao hakuna walichofanya the last 3 season

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
mkuu kwenda msimu bila winga wa kulia ama kwenda msimu na Bale wa bure unachagua kipi? hata mimi Nisingeridhika kuja Bale over someone kama Sancho, tunahitaji wachezaji wenye Njaa kutupa vikombe, ila kwa bure anaweza kutusaidia kama Zlatan.
 
1.Bale ni injury prone na attitude yake haitufai United Costa ni galasa hata akiwa mzima

2.Mshahara wake ni mkubwa sana & Perez sio mjinga kama Woodward awape mchezaji then amlipe mshahara yeye umeona deal la Regulon lilivyokufa

3.3 years ago Mourinho alitaka kuwasajili Perisic & Willian tukamtukana kila aina ya tusi

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
★"He's scoring 30 goals a season and not getting chances to win trophies, what's the point in being there?"

Paul Merson cannot understand why there isn't more talk about a team signing Harry Kane from Tottenham.
IMG_20200915_232541_213.jpeg
 
Back
Top Bottom