Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hakika tunapaswa kujenga timu katika philosophy inayoeleweka wakati mwingine Solkjaer sijui anabahatisha bahatisha vile.
ndio jambo muhimu zaidi tunalolihitaji kwa sasa, hata kama itatokezea kundi la wachezaji muhimu hawapo kwenye kikosi basi isiwe sababu ya team kucheza mpira usioeleweka.

aston villa walimiliki mpira vizuri sana hapo juzi, ukija kwetu ni utopolo mtupu
 
Kwa sasa timu yetu akikosekana mchezaji mmoja tu kwenye midfield tunapoteana.

Kucheza ujinga kama ule na Aston Villa japo ni friendly match ni ishara mbaya kwa mechi zijazo za ligi
 
Kwa sasa timu yetu akikosekana mchezaji mmoja tu kwenye midfield tunapoteana.

Kucheza ujinga kama ule na Aston Villa japo ni friendly match ni ishara mbaya kwa mechi zijazo za ligi
swadakta.. ulimuona james rodriguez na wenzake wawili pale kati?
 
Hahaha kuna kila dalili mechi yetu ya kwanza tukapoteza.

Toka tumerudi kutoa EUROPA sioni timu kama imefanya hata mazoezi walau kidogo.

Story zinazozunguka nyingi ni za hovyo hovyo mara Maguire kafungwa jela, Greenwood kaingiza demu kambini, Lindelof kakaba mwizi mtaani.

Juzi na Aston Villa wachezaji wetu naona fitness haipo kabisa tunaenda kucheza na Crystal Palace ambaye ameshaonja ushindi dhidi ya United msimu uliopita.

Wachezaji wetu wengi huenda wasiwepo mechi yetu na crystal palace Rashford ni majeruhi, Pogba hajulikani alipo, Bruno yuko analea mgeni huko Ureno, Martial ndiyo kwanza anakula fungate ya kuitwa tena katika kikosi cha ufaransa.

Ngoja tuone itakuwaje
Rashford gemu ya Villa si alicheza?
 
★Ndio maana nikionaga wachezaji wanacheza utoto utoto nakumbuka enzi za shule O-Level na Advance mkicheza upuuzi mjiandae na Collaboration ya walimu wote mtaacha tu ujinga ujinga Pitch
ukicheza utopolo ujiandae na bakora
teh teh teh
=============
timu yetu haina mvuto wa kuuza wachezaji, haina mvuto wa kununua wachezaji.
 
★A Bola | ManUtd don’t want to spend more than €20m on Alex Telles. Porto have dropped their asking price to around €20m, and Pini Zahavi is expected to an offer at that figure in the next few days. .★

manutd |
IMG_20200914_125810_245.jpeg
 
★Manchester United are showing interest in Inter forward Ivan Perisic as they look to find Jadon Sancho alternatives, according to the Telegraph.

The Red Devils are losing hope they'll be able to strike a deal with Dortmund for Sancho and are now looking at other options.★

#GGMU

manutd |
IMG_20200914_125853_965.jpeg
 
IMG_20200914_125650_400.jpeg
 
real madrid wamechoshwa na gareth bale na bado ana mkataba wa gharama (kama itatokezea timu inamuhitaji japo kwa mkopo huenda watakuja na hoja ya kusaidiana gharama za usajili)
kama ilivyokuwa dili la sanchez kati ya man utd na inter milan
Sanchez bado hajauzwa na tunaongeza mzigo mwingine wa Gareth Bale ?

Dani Oyarzabal yupo yupo tu anakimbia huko Real Sociedad, Kingsley Coman yupo tu pale Bayern anavizia Serge Gnabry achoke ndiyo apate namba.

Kuna Riyadh Mahrez anasugua bench kwanini tununue atakayeturudishia maumivu ya kisanchez tena ?
 
real madrid wamechoshwa na gareth bale na bado ana mkataba wa gharama (kama itatokezea timu inamuhitaji japo kwa mkopo huenda watakuja na hoja ya kusaidiana gharama za usajili)
kama ilivyokuwa dili la sanchez kati ya man utd na inter milan
Kwahy baada ya kumuondoa Sanchez
Wanamleta Sanchez mwingine(Bale).

This people will never learn.
 
Back
Top Bottom