NtYga
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 4,945
- 12,698
★Huu u snitch utakuja kutoa watu roho 
★

★
Taarifa kutoka duka la vifaa vya michezo bongo.View attachment 1564271

★
Taarifa kutoka duka la vifaa vya michezo bongo.View attachment 1564271
Haya majezi usije shangaa yakavunja rekodi ya mauzo mana yametangazwa kwa ubaya na kwa kawaida sauti ya ubaya huwa inaenda mbali zaidi ya sauti ya wema.Taarifa kutoka duka la vifaa vya michezo bongo.View attachment 1564271
Ile Jersey nitaipata wapi hapa bongo ?Taarifa kutoka duka la vifaa vya michezo bongo.View attachment 1564271
45Minutes Store kwa bei ya TZS. 27KIle Jersey nitaipata wapi hapa bongo ?
★Huu u snitch utakuja kutoa watu roho★


Uzi ume-trend sana huu, usishangae ukakutana nao sana kitaa.Hiyo 45Minutes iko wapi?45Minutes Store kwa bei ya TZS. 27K
Ila ni kwa order mzigo bado haujaingia bongo.
Katika hili swala mnakosea mno mnapo generalize kwa sababu hata humu pia wapo watoto na watu wazima baadhi wanabehave kama watoto kwenye majukwaa yetu.Yaani sasa hivi, mashabiki wa arsenal na chelsea hapa JF, wamekuwa kama vihiyo flani hivi. Kwenye majukwaa yao wanatukanana kama watoto. Kisa mmoja wapo kasajili sana na hapo ligi haijaanza; na mwingine kaokota vikombe viwili, kikombe kimoja wapo ni kisahani cha ubwabwa (community shield) na kikombe kingine kama kopo la bafuni (fa cup). Wakimaliza fujo zao huko ndiyo nawaona wanakuja huku jukwaa letu, hawataki kuongelea mpira, wanaomba ajira. Ni full kachumbari.
Mashabiki wa Arsenal na chelsea humu JF kama vitoto vya primary school..
Sikatai mkuu mfumo huo upo, ila ndio mfumo ambao tunaupigia kelele mwaka wa 7 huu sababu umefeli man Utd. Tunamtumia Mata kama winga wa kulia hivyo timu yetu inakuwa haina Width na tunategemea mashambulizi yatoke kushoto sababu mata sio natural winga na muda mwingi anacheza kati.Kuna mfumo wanacheza wote watatu kwa pamoja,,
Matic anakuwa defensive midfielder na VDB anacheza kulia ,,pogba na Fernandez wanacheza kati,,
Tukishambulia VDB anaingia ndani,,
Na tukishambuliwa VDB anarudi kati ,,,mfumo huo upo na huwa wanacheza sn ktk attacking football,, especially timu ikitaka magoli zaidi..na kutawala mchezo zaidi,,
Hata PSG kuna kipindi Herrera anacheza kulia kama winger..wakikutana na timu sumbufu..
Ila mm kwa kweli bado namuota haaland yn ile pesa man u wanayoambiwa walipe kwa Sancho ni bora tulipe kwa haaland, naona kabisa utd tunamhitaji haaland kuliko hata huyo Sancho.Sikatai mkuu mfumo huo upo, ila ndio mfumo ambao tunaupigia kelele mwaka wa 7 huu sababu umefeli man Utd. Tunamtumia Mata kama winga wa kulia hivyo timu yetu inakuwa haina Width na tunategemea mashambulizi yatoke kushoto sababu mata sio natural winga na muda mwingi anacheza kati.
DVB tukimchezesha pembeni tutakuwa kama tunajitekenya na kucheka wenyewe hatutasolve jambo lolote na Mistake ile ile toka LVG, Mou hadi Ole itakuwa inaendelea.
Ndio maana unaona Kocha na hata mashabiki wanataka sana Sancho aje Man UTD sababu yeye ndio solution kwa upande wa Kulia.
Ili timu ifanye vizuri inabidi iwe haitabiriki, kulia unatengeneza, kushoto unatengeneza na hata Katikati unatengeneza.
Kabla ya Bruno kuja tulikuwa tu One dimension tunatumia kushoto Rashford na Martial, Akaja Bruno angalau tukaongeza wigo kati tupo vizuri na kushoto vizuri, anatakiwa aje wa kulia Sasa na sio VDB ambaye atatupa wigo mpana tena tuwe timu hatari kutokea upande wowote ule, hapo ndio utaona Man UTD kama ya zamani tuliozoea.
Timu kubwa kama Man utd inacheza mechi 60+ kwa mwaka, wote hao watapata nafasi kucheza mechi 40 na zaidi hata wasipocheza pamoja.
Viongozi wa United ni mazuzu isivyokawaida ya watu wa mpiraIla mm kwa kweli bado namuota haaland yn ile pesa man u wanayoambiwa walipe kwa Sancho ni bora tulipe kwa haaland, naona kabisa utd tunamhitaji haaland kuliko hata huyo Sancho.
Yn haaland ata tu offer vitu vingi sana naona hata baadhi ya mashabiki humu wameingia mtego wa Sancho wanasahau kwamba tm yetu haina tatizo sn la wings bali ni katikati no9 na beki 3&4.Viongozi wa United ni mazuzu isivyokawaida ya watu wa mpira
Dar-es-salaam mkuu, info zao hizo hapo kwenye screenshot.Hiyo 45Minutes iko wapi?
Tunahitaji Winga wa kulia kuliko namba yoyote uwanjani, Haaland hafungi bila kutengenezewa na Haaland hafungi bila kuwa na Mawinga ambao wanatengeneza Nafasi, zile movement pale mbele ambazo watu wanafanya na kuwavuta Mabeki pembeni ndio mianya ambayo wafungaji wazuri wanaitumia kufunga, mfano Mzuri Liverpool.Ila mm kwa kweli bado namuota haaland yn ile pesa man u wanayoambiwa walipe kwa Sancho ni bora tulipe kwa haaland, naona kabisa utd tunamhitaji haaland kuliko hata huyo Sancho.
Modern football imegeuka na kuwa backs 2&3 ndo wapiga hzo krosi.Tunahitaji Winga wa kulia kuliko namba yoyote uwanjani, Haaland hafungi bila kutengenezewa na Haaland hafungi bila kuwa na Mawinga ambao wanatengeneza Nafasi, zile movement pale mbele ambazo watu wanafanya na kuwavuta Mabeki pembeni ndio mianya ambayo wafungaji wazuri wanaitumia kufunga, mfano Mzuri Liverpool.
Unapokuwa na timu isio na movement na kutumia wachezaji wa kawaida pembeni hata striker kwake inakuwa ngumu maana muda wote anakuwa na mtu ana mmark yule striker bila kuogopa wa pembeni.
Pale dortmund hata Batshuayi alionekana mtu sababu ya mifumo kama hii.
Sawa mkuu,,wacha tuoneSikatai mkuu mfumo huo upo, ila ndio mfumo ambao tunaupigia kelele mwaka wa 7 huu sababu umefeli man Utd. Tunamtumia Mata kama winga wa kulia hivyo timu yetu inakuwa haina Width na tunategemea mashambulizi yatoke kushoto sababu mata sio natural winga na muda mwingi anacheza kati.
DVB tukimchezesha pembeni tutakuwa kama tunajitekenya na kucheka wenyewe hatutasolve jambo lolote na Mistake ile ile toka LVG, Mou hadi Ole itakuwa inaendelea.
Ndio maana unaona Kocha na hata mashabiki wanataka sana Sancho aje Man UTD sababu yeye ndio solution kwa upande wa Kulia.
Ili timu ifanye vizuri inabidi iwe haitabiriki, kulia unatengeneza, kushoto unatengeneza na hata Katikati unatengeneza.
Kabla ya Bruno kuja tulikuwa tu One dimension tunatumia kushoto Rashford na Martial, Akaja Bruno angalau tukaongeza wigo kati tupo vizuri na kushoto vizuri, anatakiwa aje wa kulia Sasa na sio VDB ambaye atatupa wigo mpana tena tuwe timu hatari kutokea upande wowote ule, hapo ndio utaona Man UTD kama ya zamani tuliozoea.
Timu kubwa kama Man utd inacheza mechi 60+ kwa mwaka, wote hao watapata nafasi kucheza mechi 40 na zaidi hata wasipocheza pamoja.
Hata Sancho sio winga wa kizamani wa kupiga cross, ni inside forward ambaye akipata mpira anaingia ndani. Ni wachezaji wawili tu duniani msimu uliopita ambao wana goli zaidi ya 20 na Assist zaidi ya 20, Messi na Sancho. Hivyo Sancho anaweza kumfanya Wan Bissaka akawa mzuri vile vile kwa run zake compare na Mtu kama Mata Ama Greenwood ambao ni mzigo kwake.Modern football imegeuka na kuwa backs 2&3 ndo wapiga hzo krosi.
TRUEHata Sancho sio winga wa kizamani wa kupiga cross, ni inside forward ambaye akipata mpira anaingia ndani. Ni wachezaji wawili tu duniani msimu uliopita ambao wana goli zaidi ya 20 na Assist zaidi ya 20, Messi na Sancho. Hivyo Sancho anaweza kumfanya Wan Bissaka akawa mzuri vile vile kwa run zake compare na Mtu kama Mata Ama Greenwood ambao ni mzigo kwake.
Unachowàambia Man U wenzako ndiyo nilikiandika ila wakaona kwakua mimi nashabikia Arsenal nimekuja kuwavurugia uzi.Beki mpya akisajiliwa atayaexpose kwa uwazi zaidi makosa ya Harry Maguire.
Kuna watu wanadai Lindelof ni mbovu lakini mimi naona Lindelof anaficha makosa mengi sana ya Harry Maguire.
Mapungufu ya Lindelof ni aerial duels ambazo ameimprove sana msimu huu ukilinganisha na last season kingine Lindelof hana pace but anajua positioning vizuri sana.
Ukiangalia mechi tulizofungwa kwa reckless defending utakuta aliyefanya makosa mengi ni Hatry Maguire recently ni mechi ya Sevilla goli la kwanza, game ya chelsea two goals.
Kama kweli Solkjaer anasajili beki wa kumreplace Lindelof muda utasema nani mwenye individual errors kuliko mwenzake.