Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Usiwe na mawazo finyu kiasi hiko kosa hapo ni moja tu la kuinteract na watu hasa kipindi hiki cha mlipuko ila kuhusu papuchi wala isingekuwa ishu kwani nani kakwambia akito..mba ndo awezi kuperform

Sidhani kama inaruhusiwa kuingiza wanawake kwenye kambi ya timu.

Maana ya kambi ni eneo linalohitaji utulivu na concentration ya hali ya juu kwa wachezaji.

Utanikumbusha wewe usiye na mawazo finyu ni lini na wapi hili limewahi kuruhusiwa...
Mimi ni mtu wa kujifunza.

Karibu.
 
Hawa jamaa mwenyewe nawashangaa yani mtu asiwe na demu

Mkuu ni jamaa gani unaowashangaa ?

Maafisa wa timu ya taifa ya Uingereza, waandishi wa habari walioripoti hili jambo au sisi wanaJF tunaochangia hii mada ?

Na sidhani kama kati ya watajwa hapo juu kuna yeyote ana shida na Mason Greenwood kuwa na mwanamke. Kwani huyo dogo ndio mchezaji wa kwanza kuwa na manzi ?
Hapa suala ni kwamba, kitendo cha dogo kuleta mwanamke kambini, sehemu ambayo hakutakiwi kuwa na interaction na watu wasiohusika na kambi, NI DALILI ZA WAZI KABISA KUWA MTU HUYU ANAENDEKEZA MAPENZI/NGONO.

Hapa ndipo tukafika mbali na kusema kwa umri wake na kipaji alichonacho haya mambo si dalili njema kwa kesho yake.

Hata kama ngono na mahusiano ni haki, sio kila wakati na kila mahali haki hiyo unaitumia.
 
Goal celebration now we look "like mapunda"

Whst a joke !!!
FB_IMG_15995682118767573.jpg
 
Katika formation zote za mpira pamoja na mabadiliko makubwa sana wa tactics uwanjani eneo pekee ambalo haijawahi kuwa disturbed ni kwenye defensive midfield.

Mifumo yote tunayocheza lazima kuwe kuna defensive midfield na mara nyingi lazima awe typical defensive midfielder.

CM anaweza akacheza mtu yeyote ila kwenye defensive Midfield lazima mchezaji awe na attribute mbili na kuu iwe ni defending and reading the game.

Hao wachezaji watatu hapo juu wana attribute ya kusoma mchezo ila kwenye defense hawako vizuri sana
Sasa mkuu kwa mtazamo wako,,,Fred,,au matic wanapaswa kumweka mmoja Wa hao nje?
Hilo halikuwa lengo la ole kumnunuwa bdb..
Hakununuliwa huyo VDB Kucheza na Fred,,,
Sasa kama kuna mfumo unaojuwa zaidi ya Huo niletee warejesho watachezaje wote kwa pamoja?
 
Mkuu Donny siyo defensive Midfielder hivyo hata kwenye nafasi za kina Fred na Matic hawezi kucheza unless kuna ulazima wa kufanya hivyo.

Kivyovyote vile Donny kaletwa kuwa backup ya Pogba na Bruno siyo kucheza pamoja kama unavyotaka kusema hapa.

Nimekwambia kwa vyovyote vile hakuna mfumo unaocheza bila defensive midfielder.
 
Hivi Woodward na Judge huwa hawapigi 10% kweli kwenye deals za United?
% zao zipo kihalali, Ceo wa kampuni yoyote kubwa anakula mpunga mrefu mbali na mshahara wake akifikia Target fulani.

Na jamaa yupo Vizuri sana Kwenye Hizi deals, Amewapiga Adidas 750M kwenye Jezi, Chevrolet 450M, kila anapoingia hizo deals zinazovunja record basi ujue kuna kiasi fulani analipwa na Club, ndio maana unaona hana pato Fixed toka kwenye club, Mara mwaka huu Anapata 3m mwakani anapata 4m etc.
 
Mbona anatuletea jersey za hovyo hivi ?

Halafu mbona kwenye transfer tunapigwa hela ndefu sana ?
 
Mbona anatuletea jersey za hovyo hivi ?

Halafu mbona kwenye transfer tunapigwa hela ndefu sana ?
football side haiwezi na wala hana ubavu wa kupambana huko, tunapigwa hela ndefu sababu hana alternative, akimtaka mchezaji ndo huyo huyo kila mtu anajua Man U wanamtaka nani, hivyo wanatukazia.

na hio jezi ni 3rd kit, pengine hata tusiivae, uzi wetu ni ule ule haujabadilika, mwekundu na wa ugenini mweusi, kukitokea situtation hatuwezi vaa jezi ya ugenini ama nyumbani ndio tunavaa hio pundamilia.
manchester-united-20-21-home-kit%2B%252815%2529.jpg
 
lembu

Wayne Rooney, Kareem Benzema, Ronaldinho Gaucho hawa wote waliwahi kuwa na kashfa ya ngono na makahaba lakini kila mtu anafahamu walichokifanya ktk soka hata David Beckham uliyemtaja hapo juu wamemzidi ktk mafanikio ya career zao. Wamebeba makombe mengi sana ktk career zao na kuweka rekodi kubwa sana ila mwanzo walionyesha tabia za hovyo kabisa.​

Siwatetei Mason Greenwood na Phil Foden, ila ni lazima utambue ktk umri walio nao kuna vitu vingi sana vya kijinga kijana yeyote yule aliyefanikiwa sana ktk umri huo unaweza kuvifanya hasa hasa mafanikio yako yanapo ambatana na pesa na umaarufu. Hawa wengine hatujui ujinga wao ni kwa sababu tu hawakamatwi, ila kama tungeweza kufahamu upuuzi wa kila mchezaji labda hawa ni wema zaidi kuliko yaliyojificha nyuma ya wengine ambao hawakamatwi.​

Nimesema hapo juu mwanzo wachezaji wengi (zaidi ya 99%) wanatoka familia zenye kipato cha kawaida kabisa yaani ktk humble background (working class or lower middle class families) ukitoboa unaposaini your first professional contract una-probability kubwa sana ya ku-compesate lifesytle uliyoikosa mwanzo na unakuwa unaamini ndivyo mtu aliyetoboa anapaswa kuishi. Pona pona pekee ni kwa watu wanaotoka kwenye familia zenye utajiri mkubwa kabla hata ya wao kuzaliwa mtu kama Andrea Pirlo, ambao ni wachache sana (less than 1%).​

Hapo kwanza issue kubwa sio demu ila ni kutotii amri, na inside ya hayo aliyofanya iko kwenye utii na kufuata maelekezo. Kila mtu ana demu ana mahitaji ya ujana na uzee kama yapo. Hao uliowataja sidhani kama kashfa zao ziko mounted kwenye kuvunja sheria na kama iko mounted huko bado haihalalishi kuwa unapotaka kujenga brand ya career ya mpira kama ilivyo career zingine ni lazima ujiheshimu na utii sheria bila shuruti
 
Mkuu Donny siyo defensive Midfielder hivyo hata kwenye nafasi za kina Fred na Matic hawezi kucheza unless kuna ulazima wa kufanya hivyo.

Kivyovyote vile Donny kaletwa kuwa backup ya Pogba na Bruno siyo kucheza pamoja kama unavyotaka kusema hapa.

Nimekwambia kwa vyovyote vile hakuna mfumo unaocheza bila defensive midfielder.
Sawa mkuu,,,tusubiri tuone,,,lakini niliposema hachezi na Fred nilimaanisha Fred,,out,Mac Tommy out,
Ila kwa mujibu wa ole anahitaji kuwachezesha wote viungo 3..kwa pamoja sababu anahitaji magoli zaidi,,
Kama watacheza wote kwa pamoja pengine matic ndy atakuwa DM na kuua winga moja,,,tunachezesha striker mmoja,, na winger moja,,lakini hao watatu ni special kwa pamoja mkuu..
Ila sidhani kama tutacheza ligi nzima kumtegemea matic kama DM,,
Pengine ana option zingine za kuwachezesha,,
Ila mfumo ni Fernandez.. Pogba ,,VDB...kwa pamoja
 
Katika formation zote za mpira pamoja na mabadiliko makubwa sana wa tactics uwanjani eneo pekee ambalo haijawahi kuwa disturbed ni kwenye defensive midfield.

Mifumo yote tunayocheza lazima kuwe kuna defensive midfield na mara nyingi lazima awe typical defensive midfielder.

CM anaweza akacheza mtu yeyote ila kwenye defensive Midfield lazima mchezaji awe na attribute mbili na kuu iwe ni defending and reading the game.

Hao wachezaji watatu hapo juu wana attribute ya kusoma mchezo ila kwenye defense hawako vizuri sana
Mkuu, u are very right.
Hiyo formation ya kucheza bila defensive minded midfielder aliitumia Carlo Ancelotti akiwa Madrid 2014/15, akiwatumia Kroos, Modric na James Rodriguez. Initially ilimpa matokeo mazuri lkn baadae ilikuja ku backfire, nadhani huo msimu Madrid walimaliza trophyless.
Makocha waliofata baada ya hapo walim introduce Casemiro kama defensive minded midfielder.

Nakubaliana na wewe kabisa kwamba Van de beek ni back up ya Bruno na Pogba, unless tubadilishe mfumo, labda twende 4-4-2(diamond) , chini acheze matic/fred halafu juu ndo wacheze wote watatu
 
4 4 2 diamond tu ndiyo inaweza kuaccomodate Donny , pogba na Bruno
 
Back
Top Bottom