Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uhuni gani

Kameingiza ''demu'' kambini huko Iceland wakati wako kwenye kambi ya timu ya taifa. Hii imepelekea yeye na mwenzie Fodden wa Man City kuondolewa kwenye timu ya taifa.

Haka katoto kanapaswa kujua kwamba mashabiki wa United tuna matarajio makubwa sana kwake na kuendekeza sana papuchi kunaweza kuharibu mustakabali na kiwango chake.
 
Siku nilipomuona amejichora tatoo na ndiyo cku hyo hyo nikasema kwisha habari yake.
 
Mkuu hilo dua baya sasa.
Nilichoona kakosea hapo ni kwenda nae kambini tu, lakini kua na dem sio kosa.
Mm naongelea utovu wa nidhamu wala siongelei demu, yy ni mwanaume lazima awe na mwenza icpokuwa nasema kuwa nilipomuona amejichora kuna kitu kilinambia kuwa tayari ameshaharibika japo najuwa wapo wengi waliojichora mfano Messi but I was commenting about Greenwood.
 
Kwenye utovu wa nidham hata mimi siungi mkono.
Lakini ndio mara yake ya kwanza.

Swala la tattoo hilo sio utovu wa nidham, inatokana na jinsi malezi ya familia ama utamaduni wa watu flani.
Kwa wazungu kuchora tattoo hilo ni kawaida tu.
 
Kuchora tattoo wala co utovu wa nidhamu ila ni moja kati ya ishara zinazopelekea chipukizi kulewa sifa na kujiona wako vzr mwishowe kuharibikiwa kabisa cz baadae huwa inapelekea mtu kukesha kwenye kioo kujiweka vzr huku ukipoteza mda wa mazoezi, all in all tuache tu km ilivyo cz kila mtu na muono wake.
 
Muda wa mazoezi anajipangia yeye au klabu ndo inapanga?..
 
The best 007,

Kosa la hawa madogo (Mason & Phil) ni kupeleka mademu zao eneo lisilo sahihi na kwa wakati usio sahihi pia. Sioni shida nyingine, kumbuka hawa wapo ktk ule umri ambao damu ndio inachemka sana. Cristiano na Wazza wamefanya sana vitabia vya kipuuzi pia walipokuwa ktk umri huo.

Halafu ongeza na wanapata na vipesa pesa juu plus being famous pia, hata mimi nilipokuwa na umri kama wake (18) mwaka 2009 nilikuwa high school boarding shule ya wavulana watupu kama ningepata nafasi ya kumleta girlfriend wangu kipindi hicho na mimi labda ningefanya tu. Mwisho wa siku kama principal angenikamata probably ningepewa suspension pia.

Hoja yangu hapa hawa wapo ktk umri wanaopaswa kuwa ktk uangalizi wa karibu sana (japokuwa they are professionals but don't factor-out the fact that they are still too young), nilikuwa napenda sana sheria za Alex Ferguson ukiwa chini ya miaka 21 hata mkisafiri vyumba vya hoteli utakaa karibu na mkubwa au anakukabidhi mkubwa wa kukupa guidance. Hata kampuni ya Chev ilipotoa magari ya kifahari kwa kila mchezaji kwa mara ya kwanza wamesaini mkataba na sisi Fergie aligoma wachezaji wadogo kupewa magari aliamini ni rahisi sana wao kupoteza focus wakianza kuishi maisha ya juu mwanzoni kabisa mwa career zao.

Soni kama issue ndogo kama hii itaathiri uwezo wake uwanjani, wachezaji karibu wote kwa asilimia isiyopungua 70 ukiwa ktk umri wa 18 umesaini professional contract lazima uchachawe kidogo unless uwe unatoka familia ya kitajiri kama Andrea Pirlo. Wengi hawa wachezaji wanatoka ktk working class families (lower- middle class) au chini.
 
Mkuu, kama utakumbuka kipindi cha mwanzo hata C. Ronaldo alikua na tabia kama hiyo (kukesha kwenye kioo) lakini mwisho wa picha kila mtu anakijua anacho kifanya.
Hiyo maana yake jamaa (Greenwood) bado ni makuzi.
Akikua ataacha.

Kati ya wachezaji wa Manchester United niliowaona wakiwa watoto waliokua na vishiria vya utovu wa ni dham ni Rooney.
Mpaka anafika pale (mafanikio yale) mimi siamini.
Kuchora tattoo wala co utovu wa nidhamu ila ni moja kati ya ishara zinazopelekea chipukizi kulewa sifa na kujiona wako vzr mwishowe kuharibikiwa kabisa cz baadae huwa inapelekea mtu kukesha kwenye kioo kujiweka vzr huku ukipoteza mda wa mazoezi, all in all tuache tu km ilivyo cz kila mtu na muono wake.
 
Kameingiza ''demu'' kambini huko Iceland wakati wako kwenye kambi ya timu ya taifa. Hii imepelekea yeye na mwenzie Fodden wa Man City kuondolewa kwenye timu ya taifa.

Haka katoto kanapaswa kujua kwamba mashabiki wa United tuna matarajio makubwa sana kwake na kuendekeza sana papuchi kunaweza kuharibu mustakabali na kiwango chake.
Duuu vichezaji vyetu bwana
 
ADIDAS
Screenshot_2020-09-08-13-58-57.jpg
 
Back
Top Bottom