The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hizi jezi ni mby sn hazivumiliki hata avae Beckham hawezi kupendeza.
Hizi jezi ni mby sn hazivumiliki hata avae Beckham hawezi kupendeza.
Hio original tena grade one ipo hivyo.vip zile fake (grade zero )za bongo mtu ukivaa itakuaje..Hizi jezi ni mby sn hazivumiliki hata avae Beckham hawezi kupendeza.
For professionalism case na as far as his brand is concern kama anataka kuipaisha brand yake anatakiwa kujiheshimu, kisingizio cha umri kwa mtu anayetegemea kuja kuwa Legend haipo kabisaThe best 007,
Kosa la hawa madogo (Mason & Phil) ni kupeleka mademu zao eneo lisilo sahihi na kwa wakati usio sahihi pia. Sioni shida nyingine, kumbuka hawa wapo ktk ule umri ambao damu ndio inachemka sana. Cristiano na Wazza wamefanya sana vitabia vya kipuuzi pia walipokuwa ktk umri huo.
Halafu ongeza na wanapata na vipesa pesa juu plus being famous pia, hata mimi nilipokuwa na umri kama wake (18) mwaka 2009 nilikuwa high school boarding shule ya wavulana watupu kama ningepata nafasi ya kumleta girlfriend wangu kipindi hicho na mimi labda ningefanya tu. Mwisho wa siku kama principal angenikamata probably ningepewa suspension pia.
Hoja yangu hapa hawa wapo ktk umri wanaopaswa kuwa ktk uangalizi wa karibu sana (japokuwa they are professionals but don't factor-out the fact that they are still too young), nilikuwa napenda sana sheria za Alex Ferguson ukiwa chini ya miaka 21 hata mkisafiri vyumba vya hoteli utakaa karibu na mkubwa au anakukabidhi mkubwa wa kukupa guidance. Hata kampuni ya Chev ilipotoa magari ya kifahari kwa kila mchezaji kwa mara ya kwanza wamesaini mkataba na sisi Fergie aligoma wachezaji wadogo kupewa magari aliamini ni rahisi sana wao kupoteza focus wakianza kuishi maisha ya juu mwanzoni kabisa mwa career zao.
Soni kama issue ndogo kama hii itaathiri uwezo wake uwanjani, wachezaji karibu wote kwa asilimia isiyopungua 70 ukiwa ktk umri wa 18 umesaini professional contract lazima uchachawe kidogo unless uwe unatoka familia ya kitajiri kama Andrea Pirlo. Wengi hawa wachezaji wanatoka ktk working class families (lower- middle class) au chini.
GazaFor professionalism case na as far as his brand is concern kama anataka kuipaisha brand yake anatakiwa kujiheshimu, kisingizio cha umri kwa mtu anayetegemea kuja kuwa Legend haipo kabisa
Chukua mfano wa Beckham amemaintain consistence ya kucheza vizuri na tabia nzuri juu mpaka alipostahafu mpira. Nakumbuka demu wake tu ndio alikuwa na vituko tuko mtaani lakini Beckham was very brilliant both in the pitch and in the street. Fuatilia wachezaji wote wanaoanza na vituko tuko wakiwa wadogo hawaendi mbali
Naomba niseme hata kama kuwa na demu ni haki yake lakini kitaaluma hao hao mademu ndio watakaomaliza mpira wake na kuja kuwa fukara wa kawaida kama akina Drinkwater na Ross Barkley wa Chelsea, mara leo wako fit mara kesho wamechoka ile mbaya kwa sababu ya ulevi na mademu.
Greenwood akitaka kujenga brand yake na kuja kuwa Legend lazima ajinyime raha za dunia, lazima ajitunzew, aweke mbele zaidi mazoezi na lishe kama anavyoagizwa na mkufunzi wake, daktari wake. Hakuna shortcut hapo
Wachezaji wengi wa Uingereza wanapenda sana starehe za mademu ndio maana wanachokaga mapema sana. Akajifunze kwa akina Steve Gerrald, Frank Lampard, David Beckham, na wengine wengi malegend wa kiingereza
Mkuu nimekupa option za kucheza pamoja,,ila pogba anacheza chini kidogo..Pogba, Bruno na VDB siyo Defesive midfielders.
Wanapambana kuwavisha watu wenye mvuto lkn wapi, hebu tazama huyo ni becks mwenye mvuto wake ila anaonekana kawaidaChelsea na Man U sijui wameishiwa
Third release kit ya Chelsea copy and paste ya Crystal Palace
Third release kit ya Man U copy and paste ya Newcastle
View attachment 1563171


Shukran sana mkuu umenijibia vzr sn.For professionalism case na as far as his brand is concern kama anataka kuipaisha brand yake anatakiwa kujiheshimu, kisingizio cha umri kwa mtu anayetegemea kuja kuwa Legend haipo kabisa
Chukua mfano wa Beckham amemaintain consistence ya kucheza vizuri na tabia nzuri juu mpaka alipostahafu mpira. Nakumbuka demu wake tu ndio alikuwa na vituko tuko mtaani lakini Beckham was very brilliant both in the pitch and in the street. Fuatilia wachezaji wote wanaoanza na vituko tuko wakiwa wadogo hawaendi mbali
Naomba niseme hata kama kuwa na demu ni haki yake lakini kitaaluma hao hao mademu ndio watakaomaliza mpira wake na kuja kuwa fukara wa kawaida kama akina Drinkwater na Ross Barkley wa Chelsea, mara leo wako fit mara kesho wamechoka ile mbaya kwa sababu ya ulevi na mademu.
Greenwood akitaka kujenga brand yake na kuja kuwa Legend lazima ajinyime raha za dunia, lazima ajitunzew, aweke mbele zaidi mazoezi na lishe kama anavyoagizwa na mkufunzi wake, daktari wake. Hakuna shortcut hapo
Wachezaji wengi wa Uingereza wanapenda sana starehe za mademu ndio maana wanachokaga mapema sana. Akajifunze kwa akina Steve Gerrald, Frank Lampard, David Beckham, na wengine wengi malegend wa kiingereza
Katika formation zote za mpira pamoja na mabadiliko makubwa sana wa tactics uwanjani eneo pekee ambalo haijawahi kuwa disturbed ni kwenye defensive midfield.Mkuu nimekupa option za kucheza pamoja,,ila pogba anacheza chini kidogo..
Pogba,,VDB,na Fernandez.
Huyo VDB amenunuliwa wacheze kwapamoja,,na sio kumchesesha na akina Fred,,
Ole anataka magoli zaidi..
Hivi Woodward na Judge huwa hawapigi 10% kweli kwenye deals za United?Wanapambana kuwavisha watu wenye mvuto lkn wapi, hebu tazama huyo ni becks mwenye mvuto wake ila anaonekana kawaida![]()
Huyu dogo mshenzi sana anaenda kambini na demu ????Mkuu hilo dua baya sasa.
Nilichoona kakosea hapo ni kwenda nae kambini tu, lakini kua na dem sio kosa.



Rooney alikuwa mkorofi tu lakini tukumbuke Christiano na Rooney walikuwa kwenye malezi ya kifaza sana ya Sir Alex Ferguson na David Gill hata timu ilikuwa kwenye mstari kila mchezaji.Mkuu, kama utakumbuka kipindi cha mwanzo hata C. Ronaldo alikua na tabia kama hiyo (kukesha kwenye kioo) lakini mwisho wa picha kila mtu anakijua anacho kifanya.
Hiyo maana yake jamaa (Greenwood) bado ni makuzi.
Akikua ataacha.
Kati ya wachezaji wa Manchester United niliowaona wakiwa watoto waliokua na vishiria vya utovu wa ni dham ni Rooney.
Mpaka anafika pale (mafanikio yale) mimi siamini.
Hawa Adiddas sijui wanatuonaje aisee
Usiwe na mawazo finyu kiasi hiko kosa hapo ni moja tu la kuinteract na watu hasa kipindi hiki cha mlipuko ila kuhusu papuchi wala isingekuwa ishu kwani nani kakwambia akito..mba ndo awezi kuperformKameingiza ''demu'' kambini huko Iceland wakati wako kwenye kambi ya timu ya taifa. Hii imepelekea yeye na mwenzie Fodden wa Man City kuondolewa kwenye timu ya taifa.
Haka katoto kanapaswa kujua kwamba mashabiki wa United tuna matarajio makubwa sana kwake na kuendekeza sana papuchi kunaweza kuharibu mustakabali na kiwango chake.
Hawa jamaa mwenyewe nawashangaa yani mtu asiwe na demuMkuu hilo dua baya sasa.
Nilichoona kakosea hapo ni kwenda nae kambini tu, lakini kua na dem sio kosa.
Man u imeshakuwa ni profit making institute so tutegemee wenye tm kuwaza faida kwanza kabla ya ushindi.Hivi Woodward na Judge huwa hawapigi 10% kweli kwenye deals za United?
Mkuu ktk kila kila jambo wapo watu ambao huenda kinyume na matarajio ya wengi yn unakuta semi za wahenga zinasema hv ila wao wanaenda kinyume na wanafanikiwa ku break the laws, hao wanaitwa exceptionals ni wachache sana watu hao cz mnayoyatarajia dhidi yao kutokana na tabia zao haiwi hvyo but the rest ni lazima ku adhere to the rules if u want saccess.lembu
Wayne Rooney, Kareem Benzema, Ronaldinho Gaucho hawa wote waliwahi kuwa na kashfa ya ngono na makahaba lakini kila mtu anafahamu walichokifanya ktk soka hata David Beckham uliyemtaja hapo juu wamemzidi ktk mafanikio ya career zao. Wamebeba makombe mengi sana ktk career zao na kuweka rekodi kubwa sana ila mwanzo walionyesha tabia za hovyo kabisa.
Siwatetei Mason Greenwood na Phil Foden, ila ni lazima utambue ktk umri walio nao kuna vitu vingi sana vya kijinga kijana yeyote yule aliyefanikiwa sana ktk umri huo unaweza kuvifanya hasa hasa mafanikio yako yanapo ambatana na pesa na umaarufu. Hawa wengine hatujui ujinga wao ni kwa sababu tu hawakamatwi, ila kama tungeweza kufahamu upuuzi wa kila mchezaji labda hawa ni wema zaidi kuliko yaliyojificha nyuma ya wengine ambao hawakamatwi.
Nimesema hapo juu mwanzo wachezaji wengi (zaidi ya 99%) wanatoka familia zenye kipato cha kawaida kabisa yaani ktk humble background (working class or lower middle class families) ukitoboa unaposaini your first professional contract una-probability kubwa sana ya ku-compesate lifesytle uliyoikosa mwanzo na unakuwa unaamini ndivyo mtu aliyetoboa anapaswa kuishi. Pona pona pekee ni kwa watu wanaotoka kwenye familia zenye utajiri mkubwa kabla hata ya wao kuzaliwa mtu kama Andrea Pirlo, ambao ni wachache sana (less than 1%).
Umejiunga 2009 lakini huwezi pambanua MamboChelsea na Man U sijui wameishiwa
Third release kit ya Chelsea copy and paste ya Crystal Palace
Third release kit ya Man U copy and paste ya Newcastle
View attachment 1563171