Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
NitakujulishaMkuu vipi nami nikucheki PM?
NitakujulishaMkuu vipi nami nikucheki PM?
Sawa MKUU,,ngoja ligi ianze,,na tusinunuwe striker...no 9..wala no 3Usitake kuiona United ni kama Newcastle au Reading..Put some respect kidogo
Madrid vilaza na flops wapo wa kutosha
Sawa MKUU,,Siyo wote mkuu Reguillon ni fullback wa kawaida tu siyo upgrade ya Brandon wala Luke Shaw.
Fullbacks za Real Madrid za sasa ni za kawaida tu na Marcello alikuwa na majeraha ya muda mrefu kwanini Reguillon hakuchukua nafasi.
Umeamisha goliSawa MKUU,,ngoja ligi ianze,,na tusinunuwe striker...no 9..wala no 3
Tutaleta mrejesho..
Yes.Hivi Steve Macmanaman alikuwa Mwingereza ?
Sawa mkuu usinisahau kiongozi.Nitakujulisha
Sawa mkuuSiyo wote mkuu Reguillon ni fullback wa kawaida tu siyo upgrade ya Brandon wala Luke Shaw.
Fullbacks za Real Madrid za sasa ni za kawaida tu na Marcello alikuwa na majeraha ya muda mrefu kwanini Reguillon hakuchukua nafasi.
Kazi ipi?Sawa mkuu usinisahau kiongozi.
Zinazohusiana na Accounting and Finance pia hata banking kiongozi.Kazi ipi?
OkayZinazohusiana na Accounting and Finance pia hata banking kiongozi.
pogba namba sita??Ndy lengo la ole kumchezesha van de beek nyuma ya Sancho,,au greenwood timu ikishambulia van anaingia ndani kama striker..
Ole anataka magoli zaidi,, na kumiliki mpira zaidiView attachment 1556103
Yaa,,anacheza chini ,,kidogo,,ila wanakuwa wanacheza kwa pamoja kwa ushirikiano..POGBA,,VDB na FERNANDEZ..pogba namba sita??
AiseeYaa,,anacheza chini ,,kidogo,,ila wanakuwa wanacheza kwa pamoja kwa ushirikiano..POGBA,,VDB na FERNANDEZ..
Pogba, Bruno na VDB siyo Defesive midfielders.Zipo option nyingi mkuu,,View attachment 1561960View attachment 1561964