Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kuna ushabiki na kuna utoto , kama hapa unataka malumbano uchafue thread za watu, washindwe kujadili timu yaoUzuri mmoja mimi huwa sinaga tempah za kumind[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuendelee kuishi..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimegundua watu wengi hawajui ushabiki..
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sasa huo utoto ndio mtu anashindwa hata kukutafutia mchongo