Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu hujuwi kama mchezaji wa bench kwa timu kama real Madrid ,,,Manchester anacheza first eleven?tena hakuna wa kumweka benchi?
Madrid ni timu ya wachezaji nyota,,sio wachezaji wa hovyo hovyo,,
Yule Dogo reguilon yupo powa sn,,
Siku zote ukiona mtu yupo Madrid elewa ana jambo lake,,sio mchezaji wa mchezo mchezo..
Hapa mkuu hatupo pamoja, heheheheheeee madrid mbn viande wengi tu pale.
 
Kama yupi ambaye akija man u atakuwa benchi
Yule vinicius c chizi kabisa mkuu au we unamuonaje? Yule Vasquez ana ubora gn wa kiivyo? Ni average player, bale mwenyewe amekuwa mzigo tu hata jana nimemuangalia yn kawaida tu, hata kroos akija utd co kwmb ataingia moja kwa moja kikosini cz pale kati kuna wachezaji bora km yy au kumzd yeye nadhani unalijua hilo, haya nafasi ya modric yupo Bruno je kwa modric wa ss unaweza kumuweka benchi Bruno kweli acheze yeye? Pale mbele yupo benzema ofcz kwetu atacheza kulingana na ubovu wa forward yetu lkn benzema co kivile wa kusema ndo wakumtegemea na pale real yupo mpk leo kwasababu ya zizou, huko benchi ndo utopolo mtupu na ndiyo maana walitolewa kirahisi na city.
 
Mkuu hujuwi kama mchezaji wa bench kwa timu kama real Madrid ,,,Manchester anacheza first eleven?tena hakuna wa kumweka benchi?
Madrid ni timu ya wachezaji nyota,,sio wachezaji wa hovyo hovyo,,
Yule Dogo reguilon yupo powa sn,,
Siku zote ukiona mtu yupo Madrid elewa ana jambo lake,,sio mchezaji wa mchezo mchezo..
Siyo wote mkuu Reguillon ni fullback wa kawaida tu siyo upgrade ya Brandon wala Luke Shaw.

Fullbacks za Real Madrid za sasa ni za kawaida tu na Marcello alikuwa na majeraha ya muda mrefu kwanini Reguillon hakuchukua nafasi.
 
PTER,

Ile nafasi ya Luke Shaw inapaswa iwe- fixed tu. Luke amecheza misimu sita Manchester United, ktk mechi za ligi kuu 228 (38 * 6) alizopaswa kucheza amecheza mechi 96 tu, ni sawa na 42% yaani ktk kila mechi 10 huyu jamaa anaweza kucheza mechi 4 tu, ni sawa na wewe uwe na mfanyakazi ktk kampuni yako ktk siku 5 za kazi yeye ana uwezo wa kuja siku 2 tu siku zingine zote 3 anaumwa halafu analamba mshahara ule ule kama mtu anayefika siku zote 5.

Mshahara anaopokea kwa wiki ni zaidi ya pound 150k, unafahamu mabeki wangapi wa kushoto tunaoweza kuwapata kwa pungufu ya huu mshahara? na wana uwezo kumzidi huyu chalii. Kwangu mimi as long as tunapata beki wa kushoto mwenye uwezo wa kucheza atleast zaidi ya mechi 8 kati ya 10 na mwenye uwezo hata kwa kiwango kidogo kumzidi Luke aje tu. Huyu Luke analipwa pesa ya bure tu ni injury prone.
He is overweight. and I think it has some thing to do with his genealogy.
 
Bruno kama brunoo
 

Attachments

  • 20200906_001052.jpg
    20200906_001052.jpg
    76.6 KB · Views: 3
Mkuu hujuwi kama mchezaji wa bench kwa timu kama real Madrid ,,,Manchester anacheza first eleven?tena hakuna wa kumweka benchi?
Madrid ni timu ya wachezaji nyota,,sio wachezaji wa hovyo hovyo,,
Yule Dogo reguilon yupo powa sn,,
Siku zote ukiona mtu yupo Madrid elewa ana jambo lake,,sio mchezaji wa mchezo mchezo..
Usitake kuiona United ni kama Newcastle au Reading..Put some respect kidogo

Madrid vilaza na flops wapo wa kutosha
 
Replacement ya Luke Shaw ni Brandon William's anachopaswa kufanya training kwenye crossing na kudefend vizuri timu inapokuwa na pressure kubwa

Brandon kwenye mechi ngumu ameshaprove kuwa yuko vizuri.

Alimtia mfukoni Mo Salah, akamtia mfuko Jesus Navas, akamtia mfukoni Neil Maupay na mechi chache sana kafanya makosa yaliyosababisha tufungwe.

Anahitaji kuaminiwa he is good may be mimi ni shabiki wake tu kwa mujibu wa Avatr yangu
Hapana huyo dogo ni mzuri labda atafutwe left back Wa kumpa back up mana shaw haeleweki in terms of consistency and injures
 
Huyu mchezaji tulimsajili kwa vihela kidogo sanaaa! Ila cha ajabu ni vile tulivyojivuta ktk kumnunua pamoja na dau lake kuwa vile!
Wapo wengi kule ureno na uholanzi ambao ni bei rahisi lkn wako vzr, angalia mshahara anaolipwa Bruno pale utd af angalia mshahara anaolipwa mpuuzi km Rashford yn hakuna uhalisia kabisa, napendekeza hata tambala apewe Bruno cz ni kiongozi halisi kabisa unaweza kuona hata jana alivyokuwa kiongozi kwa tm yenye mafundi km ureno.
 
Naondoa

1 Smalling
2 Phill jones
3 Rojo
4 Lingardinho
5 Perreira
6 Mata
7 Fred

Naleta

1 Regullon ile LB ya Madrid iliyoko sevila kwa mkopo
2 World-class CB Kama Upermecano
3 Alcantara
4 Sancho
5 Jiminez

Nawapa onyo

1 Rashford
2 Dan James

Ila tu kama ningekuwa Ole + Ed Woodward
Huyo Fred mbona munamchulia sana!?
 
Back
Top Bottom