Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi wachezaji hawawezi kuigomea jezi fulani ?au hata kupiga kura kuikataa
Japokuwa hiyo jezi bado sio official ila ni km dhihaka ya Adidas kwa wachezaji wetu
Unaweza hisi Mossad wapo kazini pale Adidas kuporomosha brand yetu pendwa
 
Oya kama unataka connection ya kazi ukae kimya humu, ikiwezekana utoke humu.
Ukiendelea na mdomo wako hupati kazi
Muambie huyo. Akili zenyewe za mpira zinamshinda, akipewa ajira ipi sasa ataiweza. Mitandao hii inareflect na kile unachoandika na ubongo wako.
 
Kazi gani ataiweza ikiwa hata kuandika hawezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu Aaron usini mind bana huu ni mpira tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maana sasa ushaanza kufatilia maisha yangu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Leo wikiend bana ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums1401471227.jpg

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Aaron usini mind bana huu ni mpira tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Maana sasa ushaanza kufatilia maisha yangu. [emoji23][emoji23][emoji23]

Leo wikiend bana ..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1560425

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Sipo kuchafua thread ya watu hapa , maana ndio unachokitaka , [emoji3]

Mimi nilikuwa nakukumbusha tu alichosema mdau hapo juu, Utakosa connection ,nikakumbuka hata kuandika hujui[emoji23]
 
Back
Top Bottom