Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chelsea atatoa challenge sana next season maana ukweli usemwe lampard kajitahidi sana msimu wake wa kwanza na hakusajili kabisa lakini kafanya vizuri, now msimu wa pili na kashakamilisha sajili 6 aisee ni mshike mshike..
Sasa hii timu ya Ole dah haina mapungufu nadhani wacha tuone tutafika wapi tunalea sana wachezaji sisi, hawaoni Barcelona kaanza safisha safisha ya wachezaji tena ambao bado ni World class lakini wamefunguliwa milango sisi tunamlea tu jones na genge lake.
 
Mkuu Chelsea ilikuwa mbovu sn usifananishe na utd inayohitaji nguvu kdg, ila nakuunga mkono kwenye suala la timua timua mana km bodi haimpi pesa Ole anatakiwa ajiongeze auze wachezaji wasio na tija apate pesa ya kununulia anaowataka mbn upupu upo mwingi tu pale ambao akiwapa Aston Villa hawakatai.
 
Ila Chelsea katulia sana kwenye hii transfer window..6 deals closed
Kwenye msimu wa kwanza wa OGS pale united tulisihi sana zifanyike sajili nyingi ili baada ya hapo iwe ni kuongezea penye mapungufu tu madirisha yanayofuata. Kuna watu humu walipinga kuwa haiwezekani kusajili wachezaji 4-5 wa kikosi cha kwanza kwa dirisha moja lakini Chelsea anafanya tena kwa urahisi sana.

Kwa sasa united ilitakiwa kuwa inaboresha kikosi kwa mchezaji mmoja au wawili kila dirisha na sio kulilia wachezaji walau 3-4 wa kikosi cha kwanza. Ziyech,Werner,Havertz,Silva na Chillwell wanaingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza cha lampard labda tu ligi iwakatae. Lakini united timu tunayoambiwa ni tajiri zaidi duniani inashindwa kufanya hili. Mnapewa Maguire mnachanganyiwa na James na wanbisaka ili ionekane tumefanya sajili nyingi.

Kama ni habari ya kupandisha watoto wa academy,Chelsea pia amefanya hilo msimu ulioisha tena walifanikiwa kwa kiasi kikubwa lakini msimu huu wameingia sokoni kwa nguvu kubwa sana.

Inawezekana sisi malengo yetu sio tena ubingwa ila kuingia top 4 ili tushiriki uefa. Muda utatuambia vizuri.
 
Mkuu umeandika kwa hisia mno just calm down and everything will be okay.
 
Hizi tetesi zikiwa kweli na timu ikiwa walau kama hivi sio mbaya... January unaongeza tena
 
Mkuu hii timu itakuwa si tajiri kama tunavyoamini
 
Hizi tetesi zikiwa kweli na timu ikiwa walau kama hivi sio mbaya... January unaongeza tena
Sahzi hata wangepatikana Sancho na Upomecano ingekuwa poa,ila huyo beki niliona mahali wanasema hayupo tayari kwa sasa KWA sababu anasema anafurahia sana maisha ya Leipzig labda msimu ujao
 
Smalling, Phil jones na Rojo washawekwa sokoni kuuzwa ila Smalling anatakiwa na Roma huku Marcos Rojo Lazio inamtaka pia.,,,,
Diogo Dalot hauzwi maana Bisaka akiumia yeye ndiye replacement yake na hakuna mwingine. Kwa upande wa lingard sidhani kama atauzwa huyo atazeekea hapo OT.
 
Jamani mbona watu wanajilinganisha na Chelsea ktk usajili? Wale walikuwa na mapungufu mengi sana tena bado wanahitaji zaidi kusajili kama kweli wanataka kushindana zaidi. Golini bado wanapwaya sana pia hata beki wa kati bado pana uchochoro pia. Kilichofanya sisi tukimbizane nao ktk safari ya top 4 msimu uliopita ni majeraha tu ya wachezaji wetu muhimu.

Kwetu sisi kimantiki tulihitaji zaidi watu watatu tu, beki wa kati kuongeza nguvu pale tuna mabeki wawili tu active (Harry na Victor, Eric huwa anapata majeraha mara kwa mara), kiungo wa kati kuja kuongeza nguvu kwa Bruno na Paul hapa tayari tumemaliza Donny kawasili na mwisho ni mshambuliaji hapa haijalishi awe mtu wa mwisho au atokee pembeni upande wowote ule ila tunahitaji mtu anayefunga na mwenye uwezo wa kutengeneza magoli awe regular starter wa kuja kuongeza nguvu.

So far, sisi tunahitaji wachezaji wawili tu (tayari kiungo tumemaliza) ila kama tuna chance kusajili zaidi ya hapo it's okay. Kujaza wachezaji wengi wapya kwa wakati mmoja kuna muda ni hatari sana mnakuwa mnaanza upya kujenga timu. Napenda nione tukisafisha nyumba zaidi kuna wajinga wengi sana hatuwahitaji pale kuanzia Chris Smalling, Phil Jones, Jesse Lingard, Andreas Perreira na Marcos Rojo.
 
Back
Top Bottom